Leo nimeujaribu huu mchezo nimegundua watu wanatapeliwa, ukweli ule mchezo huwezi kushinda pesa nyingi kama watu wanavyodhani, aviator imetengenezwa kwa ajili ya kula tu sio kuliwa😀😀.
Leo nimetegeshea sh 100 nitaweka kwenye kitufe cha autobet Na kitufe cha autocash, cha ajabu kile kindege...