CDF mteule Jenerali Mkunda ni Mkagulu toka Wilaya ya Gairo

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa.

Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa).

CDF huyu ni Mkagulu siyo Msukuma kama wengine walivyodhani.
 
Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa, amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemwoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa) . CDF huyu ni Mkagulu siyo Msukuma kama wengine walivyozani.
Ukabila utatuua jamani
 
Unajipa moyo sana
 
Back
Top Bottom