Kiongozi wa chama cha DCP na Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua amepuuzia madai kwamba aliwalipa makundi ya vijana kuharibu mali wakati wa maandamano ya Juni 25 ya GenZ akidai kuwa serikali inahusika na uharibifu wa mali hiyo. Hata hivyo viongozi wa upande wa serikali wanashinikiza kukamatwa...
Gavana wa Embu, Cecily Mbarire, amemshambulia vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kufadhili makundi yenye vurugu kuingia kwenye maandamano ya vijana hivi karibuni na kusababisha uharibifu mkubwa mjini Embu na Kiritiri. Mbarire alisema kuwa hatua hiyo ilikuwa njama ya...
Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?”
Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu vya Starehe hadi watakapoomba radhi
Amesema "Wamelipwa Elfu Hamsini kila mmoja (Takriban Tsh. Milioni...
Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Mheshimiwa Rigathi Gachagua amesema maisha yake yapo hatarini akimtuhumu Rais William Ruto kuhusika na tishio hilo.
Gachagua amesema alipewa taarifa kuwa maafisa wa serikali wakishirikiana na polisi walipewa amri ya kumuwekea sumu kwa njia hewa akiwa...
NTV Kenya:
Wamepost video za walinzi wa aliyekuwa makamu wa Rais wa Kenya wakifyatua risasi hewani kuwatawanya wahuni waliovamia na kuleta vurugu wakati Gachagua akilaunch chama chake.
Riggy G anaungana na makamu mstaafu wa Rais Kalonzo Musyoka, Waziri mstaafu Matiangi, Wamalwa na Martha Karua...
Inawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo.
My take:
1. Ukabila, maana anatokea Mt. Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity
2...
Tanzania ni nchi ya wazembe na vijana wa hovyo sana !kwa nchi zingine tusingesikia eti polisi wanavamia mkutano wa upinzani ni kama wanavamia jambazi au ni oparesheni ya kukamata magaidi. Nchi yetu Bado Ina umaskini wa fikra na sisi ni watumwa wa uhuru wetu wenyewe!
Lissu kufikishwa mahakamani...
Makamu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua amemuita Rais William Ruto "kamanda halisi" wa Kikosi Maalum cha Sudan (RSF) kutokana na madai ya kufanya biashara za kifisadi na kiongozi wa kikosi hicho, Mohamed Hamdan Dagalo, maarufu kama Hemedti.
Wakati ambapo vita vya RSF na jeshi la Sudan...
Aliyekuwa Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Rigathi Gachagua, amesema kuwa kuna kitengo cha siri ambacho kinapanga utekaji nyara wa vijana ambao umekua ukiripotiwa nchini humo, ambapo watu 7 wakiwa wameripotiwa kutekwa na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa Usalama siku za hivi huko nchini Kenya.
Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027.
For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President.
Wiper Leader Kalonzo Musyoka and Deputy President Rigathi Gachagua. FILE
A political marriage between...
Home Sweet Home!
Thanking God for the gift of my family. The smell of fresh grass, sounds of chirping birds is what a happy family needs. I will remain forever grateful to God, for giving me a loving and supportive family. We are happy to be home, where I was born and brought up!
I can’t wait...
Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
Naibu wa Rais aliyeondolewa Madarakani amekimbilia Mahakama ya Rufaa kupinga Naibu Jaji Mkuu kuteua Majaji watatu wa kusikiliza kesi yake Mahakama kuu...
Kesi ya kupinga Kuondolewa Madarakani kwa aliyekua Naibu Rais Gachagua inaelekea pazuri na punde mahakama inamrejesha kwenye mamlaka yake ya awali. Asante Katiba.
Huku wanasiasa wakisisitiza vijana wajiajiri. Gachagua yupo mahakamani kutetea arudishwe kazini. Maana Mshahara mwezi hapati baada ya kutumiliwa na Seneti
Usalama katika makao makuu ya DCI katika Barabara ya Kiambu umeimarishwa huku Naibu Rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua akitarajiwa kujitokeza kuhusiana na madai ya majaribio kadhaa ya kumuua.
Malori ya polisi yenye vifaa vya kudhibiti umati ya watu yamewekwa nje ya boma.
Security has been...
Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria.
Soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.