Ruto wewe ni mkritsto
Unampenda Mungu achana na mambo ya kuharibu hioo nchi kaa chini malizana na naibu wako
Hakuna sifa mtu atatoa kwa kelele zinazoendelea huoo kenya Naibu Rais Gachagua leo ameomba radhi kanisani
Ameomba kama binadamu na kama kuna sehemu amekosea anaomba wamsamehe
Kama...
Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
Wakili na mwanaharakati Morara Kebaso wameshambuliwa na baadhi ya wananchi wenye hasira kali katika ukumbi wa ‘Bomas of Kenya’ wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani nchini Kenya.
Soma Pia: Yanayojili hoja ya kumuondoa...
Wakenya walikusanyika kwa wingi na kuanza kuimba kwa nguvu "RUTO MUST GO." Mkutano huo ulilenga kujadili kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, na umeshuhudia wananchi wakionesha hasira na kutoridhishwa na uongozi wa sasa.
Cheche kali za kisiasa na wakati mwingine vurugu zilishuhudiwa huku...
Huenda haitazidi ijumaa ya kesho..
Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
Corruption, bullying, undermining Ruto; 10 reasons why MPs want DP Gachagua gone
Deputy President Rigathi Gachagua will face his moment of truth on Tuesday afternoon when the impeachment motion will be tabled before Parliament.
In a document seen by Citizen Digital, Kibwezi West MP Eckomas...
Hoja maalum ya kumwondoa ofisini Makamu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, imewasilishwa bungeni na Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mutuse Mwengi.
Kwa mujibu wa Spika wa Bunge Moses Wetangula, hoja hiyo imeafikia vigezo hitajika kulingana na kanuni za bunge la kitaifa nchini Kenya, ambapo ili...
Kwa sasa, kuna mijadala inayoendelea kuhusu hatua ya kumuondoa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hatua hii imechochewa na malalamiko ya kisiasa na madai mbalimbali kutoka kwa wapinzani wake na baadhi ya wanasiasa ndani ya serikali. Wanaounga mkono hoja ya kumwondoa Gachagua madarakani...
Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao kutokuwa na uhusiano mzuri.
Amesema hayo wakati alipohojiwa na kituo cha Redio, amesema “Sina tamaa ya...
Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, amejigamba kwa kudai kwamba yeye ndie pekee aliesababisha na kuchangia pakubwa Rais Dr. William Ruto akashinda uchaguzi wa 2022, la si hivyo bila jina lake kuwako kwenye karatasi za kupigia kura, kamwe asingeshinda urais wa Jamuhiri ya Kenya wakati huo...
Gachagua impeachment motion to be tabled next week with 300 signatures collected
National Assembly members are expected to table the impeachment motion against Deputy President Rigathi Gachagua on Tuesday next week, with reports indicating that the collection of signatures was close to reaching...
Siasa za Kenya kuna wakati zina shangaza sana sasa sijui ni kusalitiana au vipi?
Bunge la Kenya linataka kumkong'oa Naibu wa Rais wa Kenya Rigadhi Gachagua.
Naibu Rais huyo wa Kenya anakabiliwa na tuhuma za kuendeleza ukabila kwa watu wa mlima Kenya pia kutokuelewana na Raisi William Ruto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.