gachagua

Gachagua is a surname. Notable people with the surname include:

Clifton Gachagua (born 1987), Kenyan poet and writer
Nderitu Gachagua (1952–2017), Kenyan politician
Rigathi Gachagua (born 1965), Kenyan politician

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Gachagua akita Kambi nje ya Mahakama, Nairobi

    Aliyekua Naibu Rais wa Kenya, ameweka Kambi nje ya Mahakama Kuu Kenya ili kupambania kurudishiwa Cheo chake. Mawakili 20 bado hawaamini?
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Nimekutana na majaribio mawili ya kuuawa wa sumu

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai alikutana na majaribio mawili ya kuuawa kwa njia ya sumu kabla ya kuondolewa katika nafasi ya Naibu Rais na kusema kuwa Rais #WilliamRuto amemsaliti Akizungumza baada ya kutoka Hospitali ya Karen alipokuwa amelazwa amesema “Sihisi kama nipo salama...
  3. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua amepoteza stahiki za N/Rais Mstaafu (kwa kufukuzwa kazi na Senate)

    Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu. 1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000. 2. Malipo ya mkupuo Ksh 8.2m. 3. Posho ya mafuta Ksh. 108,0000(?). 4. Gari 2 (saloon cars). 5. Gari 4WD (1). 6...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Jinsi Mihimili ya Kenya ilivyo huru kulinganisha na ile ya Tanzania huu hapa

    Pamoja na kwamba Bunge la Kenya limemuondoa Madarakani Naibu wa Rais aitwaye Gachagua, Na kufikia hata kumpitisha Naibu Mpya aliyeteuliwa na Rais William Ruto, Lakini shughuli yote hiyo imezimwa na Mahakama ya Nchi hiyo. Hii ni Baada ya Bwana Gachagua kuwasilisha pingamizi Mahakamani, Akipinga...
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua kupinga Uteuzi wa Kilindi kuwa Naibu Rais

    Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti. Kupitia wanasheria wake, Kamotho Njomo & Company, Gachagua alitaka kuzuia Bunge la Taifa kujadili, kumchambua, kupigia...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari: Gachagua alikuwa na maumivu ya kifua, anaendelea vizuri

    KENYA: Daktari Mkuu wa Hospitali ya Karen, Dkt. Dan Gikonyo amesema Mwanasiasa Rigathi Gachagua alifikishwa kituoni hapo akiwa na maumivu ya kifua lakini anaendelea vizuri huku akifanyiw avipimo vingine. Amesema “Gachagua alifika Saa Tisa Alasiri, alisema alikuwa na maumivu makali kifuani...
  7. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha ELIMU ya Gachagua?

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya aliyekua Naibu Rais Kenya Rigathi Gachagua tafadhali. Ukimsikiliza matamshi yake Kuna kitu utang'amua
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Senate Nchini Kenya kumuhukumu Naibu Rais bila kumsikiliza. Je, anaweza akakata rufaa?

    Naibu Rais wa Kenya aliugua muda mchache kabla yakwenda kwenye baraza la Senate. Lakini pamoja na kuugua wajumbe wa baraza wameamua kupiga kura na kumwondoa bila kumsikiliza. Je, Naibu Rais anaweza kutumia mapungufu haya kwenda kukata rufaa kupinga maamuzi haya? Je, Rufaa anakata kwa nani?
  9. econonist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawakili wa Gachagua wakimbia Seneti

    Katikati Hali ya kushangaza, mawakili wa Naibu wa Rais Mh Rigathi Gachagua wamekimbia kwenye bunge la seneti baada ya ombi lao la kuahirisha kikao Cha kumuondoa madarakani Makamu wa Rais mpaka Jumanne ya wiki ijayo kukataliwa. Naona Gachagua kaamua kurusha taulo. Pia soma: Naibu Rais Gachagua...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  11. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Kesi ya kumuondoa Madarakani Gachagua. Kesi kuendelea kusikilizwa kesho Oktoba 17, 2024 saa tatu asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=nEuQW0S_9D8 Kesi ya kumng'atua Naibu Rais Rigathi Gachagua inayoendelea kwa sasa mbele ya Seneti imefuatia kupitishwa kwa hoja ya kumwondoa madarakani na Wabunge 281 ambao walikubaliana na madai yaliyowasilishwa na Mbunge wa Kibwezi Magharibi, Mwengi Mutuse...
  12. econonist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Shahidi wa kwanza kamaliza kesi ya Gachagua

    Huyu Shahidi wa kwanza upande wa Bunge la Taifa , Mh Mwenge Mutuse ameshamaliza kesi. Inaonekana alitoa lawama bila kuwa na ushahidi Maalum. Yani anaulizwa maswali na wakili wa Gachagua amebakia kushangaa. Kama yeye aliyeleta Muswada wa kumuindoa Gachagua madarakani anashindwa kujibu maswali...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rigathi Gachagua ameandika barua kujiudhuru wadhifa wake

    Wakuu Salaam, Nimekutana na na barua ambayo inasambaa mtandaoni ambayo inaonekana kama imeandikwa na Naibu wa Rais wa Kenya ikiwa na dhumuni la kujiudhulu, je kuna uhalisia wowote juu ya suala hili?
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maseneta wazuiwa kusafiri hadi hukumu ya Gachagua itoke

    Wajumbe wa Bunge la Seneti wamezuiwa kwa muda kusafiri nje ya nchi ili kuhakikisha Wajumbe wote wanashiriki katika kesi ya kumng'oa Naibu Rais Rigathi Gachagua bila usumbufu wowote. Bunge la Seneti linatarajiwa kutoa uamuzi wa shauri hilo ndani ya Siku 10 kuanzia Okt. 9, 2024 Kwenye taarifa kwa...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

    Wakuu, Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani. ~ Waliopiga kura ya hapana - 44 ~ Ambao hawakuchagua kokote - 1 Tanzania tutachukua muda gani kufikia huku?🌚 === Tukio linaloendelea bungeni Kenya ni upigaji kura ili kuamua hatma ya...
  16. Kingsmann

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto anavyopita njia ya Uhuru kwa Gachagua

    Ni kama historia inakwenda kujirudia kwenye siasa za Kenya. Ilianza kwa Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake, William Ruto kiasi cha kuharibu mambo kuanzia ofisini, kwenye kampeni na hata baada ya uchaguzi uliomuweka Dk Ruto madarakani. Kwa sasa ni zamu ya Ruto tena na Naibu Rais wake, Rigathi...
  17. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua asisafiri kwa Helikopta, ni hatari kwake kwa hali ilivyo!

    Naibu Rais wa Kenya Mr. Gachagua yupo hatarini kupoteza nafasi yake ama kwa kuondolewa kikatiba au kimafia! Sasa asijichanganye akakubali kwenda ama kutumwa safari kwa kutumia chopa. Mifano hai tunayo. Soma Pia: Kenya: Vurugu zaibuka pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua...
  18. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania tusifanye Nchi yetu kuwa Kampuni kama Gachagua alivyouchambua Mkataba wa Kugawana share za uongozi Nchini mwake!

    Tunasifia Katiba ya Kenya ni Bora lakini kiukweli ina Ujanja Ujanja mwingi sana ndani yake Watu wanagawana keki ya Taifa kwa ukabila na wanasainishana Mikataba kabisa Gachagua Leo ametoa Siri Kubwa sana tena kishujaa kama Shujaa wa Tanzania Jirani zetu ni mbumbumbu sana Mlale Unono 😀
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili Ogola asema “Kitendo cha Gachagua kuomba msamaha inaweza kutumika kama amekiri kosa”

    Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa. Gachagua anatarajiwa kuhojiwa na Bunge kuhusu tuhuma mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu, Rushwa, kukiuka katiba...
  20. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Wakenya na Rais Ruto naomba mnisamehe na familia yangu kwa makosa yoyote ambayo huenda aliyatenda akiwa ofisini

    Ruto wewe ni mkritsto Unampenda Mungu achana na mambo ya kuharibu hioo nchi kaa chini malizana na naibu wako Hakuna sifa mtu atatoa kwa kelele zinazoendelea huoo kenya Naibu Rais Gachagua leo ameomba radhi kanisani Ameomba kama binadamu na kama kuna sehemu amekosea anaomba wamsamehe Kama...
Back
Top Bottom