g55

The Ginetta G55 is a specialist sports car, which has been built by Ginetta Cars since 2011. It is built to the FIA GT3 regulations, and the cars are raced in a one-make series; the Ginetta GT Supercup. In addition to this, they are also used in the GT3 class of competitions such as the British GT Championship. It was an evolutionary update of the Ginetta G50, which is a GT4-class car.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    G55 kujitoa Chadema siku chache zijazo?

    Kundi la G55 linahusisha viongozi na makada wa Chadema waliotia nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, liko mbioni kutafuta chama mbadala kutimiza ndoto zao. Soma pia: G55 Kundi hilo limewaambia waandishi wa habari jana Aprili 22 jijini Dar es Salaam kuwa...
  2. Q

    G55 wajipanga kuhama CHADEMA, lengo ni kusaka frusa za Ubunge, Udiwani.

    Ni baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama. My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.
  3. Yoda

    PreGE2025 Muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu unawatosha G55 kuanzisha chama chao kipya kushiriki uchaguzi?

    Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
  4. K

    Atatoka Chama tawala atawapitia G55 ataenda nao Hadi ACT je huyu ndiye au tumsubiri ajaye

    Wale wanaoamini katika falsafa za Mwalimu Nyerere wakumbuke maneno haya CCM itangushwa na wana CCM wenyewe No reform no election ni falsafa muhimu sana kwa wakati huu lakini Hawa wanaoihubiri kwa nguvu sana sio wanaoenda kunufaika nayo Aminini nawambieni yupo huyu mtu mwenye...
  5. Allen Kilewella

    Kina Mrema 2024 walikuja na kauli mbiu ya "watake wasitake" hivi ni nzuri kuliko ya No reforms No Election?

    Mwaka 2024 wakati John Mrema akiwa ni sehemu ya viongozi wa CHADEMA Makao Makuu, walitoa kauli mbiu ambayo ilitumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Kauli mbiu hiyo ya "WATAKE WASITAKE" ilikuwa inaashiria kumbukizi ya kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 na kwamba kwenye uchaguzi wa 2024...
  6. Just Pray

    PreGE2025 John Mrema: Viongozi wa dini wamesapoti G55 "Hakuna kuzuia uchaguzi"

    "Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata kidogo, na ilipofika tarehe 12 hawakwenda kusaini. Lakini vilevile tunapenda kuchukua fursa hii...
  7. Just Pray

    Video: G55 Wanaogopa maswali ya waandishi wa habari, wamzuia Chief Odemba kuuliza swali

    Hili kundi la G55 likiongozwa na John Mrema wanakwepakwepa kujibu maswali ya waandishi hawayajibu kama walivyouliza, kituko zaidi kilichodhihirisha kuwa wanaogopa maswali magumu :AAAA: :AAAA: wamemzuia kwa nguvu zote Chief Odemba kuuliza swali ambalo lazima wamejua ni jiwe lingewapiga utosini...
  8. Allen Kilewella

    PreGE2025 G55 kundi lenu halina Mgombea Urais?

    Kila siku mnasema kundi lenu linawakilisha watia nia wa udiwani na ubunge. Mbona sijasikia mkisema mna mtia nia ngazi Urais!? Naona kama hizi bidii zenu ni kubwa sana kama vile zinachagizwa zaidi na Mgombea Urais kuliko hao watia nia wa Udiwani na Ubunge mnaowataja Kila siku. Jee G55 kundi...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Ado Shaibu: G55 wakitaka kujiunga ACT Wazalendo kwa nia ya kugombea tutawapokea

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akieleza namna chama hicho kilivyoweka milango wazi kwa mtu yeyote kutoka kwenye chama chochote cha siasa nchini aliyekuwa tayari kujiunganao
  10. W

    PreGE2025 Mbunge wa Covid 19, Salome Makamba amesisitiza alichofanya Lissu ni kinyume na sheria za nchi. Asema G55 'wasichukuliwe poa'

    Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba, amesema kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ataendelea kuwa hivyo hadi atakapotoa taarifa rasmi ya kuondoka. Kauli hii ameitoa leo, Aprili 15, 2025, nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, alipokuwa akizungumza na...
  11. Komeo Lachuma

    Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje? Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa...
  12. Mshana Jr

    PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo...
  13. Tlaatlaah

    PreGE2025 Tetesi: G55 kuiwakilisha CHADEMA kusaini kanuni za uchaguzi mkuu kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa

    Zoezi hilo litafanyika katika ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi kesho juma mosi tar.12.4.2025, huku ikisemekana kwamba G55 watashiriki zoezi hilo muhimu endapo hapatakuwepo na muwakilishi wa chadema kwenye hafla hiyo ya kisheria. Una maoni gani juu ya jambo hili ndugu mdau?🐒 Mungu...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Kubenea: Zaidi ya asilimia 50 waliosaini waraka wa G-55 wanatoka Kaskazini. Ningekuwa CHADEMA ningewafukuza

    Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni. Pia soma >...
  15. Tlaatlaah

    Well done g55 kwa kuipuuza na kuipinga useless and nonsense agenda ya Tundu Lissu ya no reform no elections kwa uzito na ukubwa unao stahili

    Mmefanya kazi nzuri tangu mwanzo, ya kutetea uhuru na haki za wanachadema, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura. Wanachadema na wananchi kwa ujumla, wamewaelewa vizuri sana na wanawaunga mkono kwelikweli. Na katika maeneo mengi nchini mpaka sasa, no reform no elections imepuuzwa, imepingwa na...
  16. Allen Kilewella

    Maoni yangu kuhusu waraka wa G55 ya CHADEMA

    Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document) Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
  17. BOB LUSE

    WANAUME WAKO VITANI LISSU NA HECHE, G55 Wanawaza kugawana Nyara!

    Ukipenda kula vitu mlivyoteka Nyara vitani,Nenda vitani,sio ukae nyumbani na familia yako, walioenda kupambana wakirudi nawewe unufaike na mgao! G55 nguvu zao zielekezwe kupinga uchaguzi usio wa haki uliosababisha watu kadhaa kupoteza Maisha na wengine Mali zao na kupata ulemavu. Watu...
  18. M

    G55 wakamatwe kama Waalim wasio na Ajira walivyokamatwa

    Tanzania tunaamini kuna taasisi mbalimbali zinazosajiri Taasisi kulingana na malengo. Mfano Brella inasajiir makampuni. Wizara ya Mambo ya Ndani inasajiri Taasisi mbalimbali zikiwepo za dini, na kupewa uhuru wa kutumia jina la Tadisi husika katika shughuli zao za kila siku. Hivi karibuni...
  19. Knock life

    Kwanini watu wa karibu na Mbowe ndo hao hao wapo G55 ina maana harakati zote , za kufungwa , kunyanganywa mali zilikuwa bortion?

    Unajua katika hii dunia trust no one . Haiwezekani watu wakufunge Wakunyanganye Mali Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha. Haiwezekani . #Kataa Ccm #No reform no Election.
  20. Z

    Sugu na Lema nao kujiunga G55?

    Kuna kila dalili kuwa wanachama wengi waandamizi wa Chadema wapo nyuma ya G55 ni suala la muda tu,. Chadema ipo kwenye mchakato wa kuzaa Chadema Asili. Punde Lisu ataachiwa Chadema yake anayo itaka yeye.
Back
Top Bottom