The Ginetta G55 is a specialist sports car, which has been built by Ginetta Cars since 2011. It is built to the FIA GT3 regulations, and the cars are raced in a one-make series; the Ginetta GT Supercup. In addition to this, they are also used in the GT3 class of competitions such as the British GT Championship. It was an evolutionary update of the Ginetta G50, which is a GT4-class car.
https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R
➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa....
➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa wanaipigania Tanganyika...
➡️Awapa jina sahihi linalowastahili kuwa wanapaswa kuitwa "Kikundi cha Wasaka...
Wakuu .
G55 wamejinasibu Kama wapo tayari kuongia katika uchaguzi October -2025.
Hoja zao ni hizi hapa
Endapo Chadema isiposhiriki uchaguzi Mkuu watakosa haki ya wao kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani.
Na Endapo wasiposhiriki uchguzi chama kitakosa ruzuku hivyo kitashindwa kujiendesha ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar...
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi ndani ya Chama hicho La G-55 na Kusadiki kusema Kuwa hilo linakiuka misimamo na maazimio...
Tangu kundi la G55 linalohusisha makada wa Chadema wanaotaka chama hicho kishiriki uchaguzi, kumekuwa na maswali mengi kuhusu malengo ya kundi hilo.
Kundi hilo linakuja na msimamo wa kutaka kushiriki uchaguzi kinyume na kampeni ya No reforms No election (Hakuna mmabadiliko, hakuna uchaguzi)...
Lissu hakupata kura za wajumbe kwa asilimia 49, hizo zilienda kwa mstaafu, bado wapo, na huwa unawatukana katika mikutano yako. Wengine wako na wewe kimkakati, lakini ni G55, unafanya nao ziara na vikao. Baadae wanageukiana wanacheka halafu wanasonya.
Hizo asilimia zikibadilika zinaweza...
Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election.
Hapa chini ni...
Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leadership character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi.
Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi...
Salaam wakuu,
Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi
waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
Kwa hali inavyoendelea sasa ndani ya Chadema kumeibuka mvutano kati ya Timu Lissu vs Team Mbowe
Kwa haraka haraka Team Mbowe walianza kutengwa na kufurushwa makao makuu na wengine wakionywa kutoshiriki hata msiba unaomhusu Freman Mbowe na Injinia wa Mpango Huu ni Mchaga Godi Lema kwa madai...
Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless, uongozi wa CHADEMA ondoeni hii aibu kwa kuwafuta hawa wahuni
Sikujua kama Mrema angezungumza makapi kama haya, nilidhani ana hoja za msingi kumbe ni pointless
Mrema ameonesha uma kiasi gani hafanani na elimu aliyopata chuo kikuu
Anatia aibu...
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora na Kanda ya Magharibi, wakiwemo watia nia wa ubunge katika majimbo mbalimbali, wamejitokeza hadharani kulaani vikali kundi la G-55 lililoibuka ndani ya chama hicho, wakilituhumu kukiuka misimamo halali na maazimio...
Mtia saini namba 55 katika waraka wa watia nia wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 2025, maarufu kama G55 James Kabepele, amekana kuhusika katika waraka huo akiwataja wahusika kuwa ni wasaliti wa Chama.
Kabepele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora...
https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw
Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama:
Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa...
Ni kweli No Reform No Election inatakiwa kutekelezwa na Mamlaka LAKINI siyo kwa mwaka huu wa Uchaguzi.
CHADEMA ijipange baada ya uchaguzi wa mwaka huu kwa No Reform No Election mpaka mabadiliko yapatikane kuaanzia Katiba hadi Tume Huru ya Uchaguzi.
Uchaguzi wa mwaka huu kama inavyoonekana...
“G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi...
"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.