g55

The Ginetta G55 is a specialist sports car, which has been built by Ginetta Cars since 2011. It is built to the FIA GT3 regulations, and the cars are raced in a one-make series; the Ginetta GT Supercup. In addition to this, they are also used in the GT3 class of competitions such as the British GT Championship. It was an evolutionary update of the Ginetta G50, which is a GT4-class car.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    G55 kama wamechanganyikiwa

    Naona mchomi ameandika ktk x yake yeye ni mbunge wa chadema 2025- 2030 ili hali hajapitishwa hata chama ambacho ndio chenye mamlaka, au kuenguliwa na tume au kushindwa kabisa na ccm. Bado siwaelewi
  2. Upekuzi101

    PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

    G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani. Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi...
  3. M

    G55. Ni kundi hatarishi kwa Chadema, Ni kundi la Mbowe? Kama ndivyo, Mbowe alikuwa pandikizi maalumu ndani ya Chadema?

    Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti zilizopo Siamini ninachokiona ndani ya Chadema, Ifahamike, sina ufahamu wala uhakika juu ya niliyetaja...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Je, G55 ndio Wale Nyoka ndani ya CHADEMA?

    Habari za Jumapili! Kila chama kina watu ndumilakuwili,snitch, Wasaliti na Nyoka. Kijasusi Tofauti kubwa ya Nyoka na Panya ipo kwenye kujificha na kujihami. Nyoka anaweza kuingia katika Nyumba yako akakaa hata Miaka mitano Mpaka akawa chatu au Nyoka Mkubwa na wewe usijue kuwa ndani ya nyumba...
  5. sinza pazuri

    G55 kufanya press conference leo

    Usikose kutegea sikio press conference ya G55. Itafanyika leo saa 5 asubuhi. Demokrasia kwenye chama lazima ilindwe kwa nguvu zote.
  6. DR Mambo Jambo

    G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  7. A

    PreGE2025 G55 wanatakiwa kufukuzwa na kufutwa uanachama CHADEMA haraka sana iwezekanavyo

    Bado naendelea kushauri uongozi wa CHADEMA uwafute uanachama hawa matapeli wa kisiasa wanaojiita G55. Kuendelea kuwasubirisha ni kuwapa airtime isiyoyalazima. Hawana msaada wowote kwa sasa zaidi ya kubomoa chama. Habari za kuponyana majeraha hazina tena maana ni vyema kwenda na wale...
  8. Joseph Ludovick

    PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

    Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
  9. DR HAYA LAND

    Prof Jay, Umejenga jina lako kubwa ila unaenda kuharibu legacy yote kwa kukosa maono hasa ukijiunga na G55

    Watu ambao mpo karibu na Prof Jay jaribu kumuongoza Vyema huyu Kijana . Maana watu hasa wapinzani walijitoa Sana kwako. Unaposema utaingia katika uchaguzi bila reform je umetazama mbele na ustawi wa Taifa lako? Najua yawezekana nyie G55 mpo kimkakati na mmesha hakikishiwa usalama wa kesho...
  10. Tindo

    G55 ni tawi la covid19, CDM halisi kuweni macho

    Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe. Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa...
  11. H

    PreGE2025 Hakuna Watia Nia Waitwao G55, Watia Nia Wote Halali Wakubali Kwa Kauli Moja Kuweka Nguvu Kwenye NO REFORMs NO ELECTION

    Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli. CHADEMA wana utaratibu wa kuwatambua watia nia kwa ngazi zote. Utaratibu wenyewe ni kama ifuatavyo: 1. Kwa ngazi ya ubunge, mwenye...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

    Wakuu Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu...
  13. sonofobia

    PreGE2025 Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA. Wapinga chama kususia uchaguzi mkuu

    Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo vitakavyoonekana kufanyika ubadhilifu. Licha ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  14. Carlos The Jackal

    PreGE2025 TUNDU LISSU, wewe ni mwanasheria, Watia Nia G-55 Si lazima wagombee kupitia CHADEMA, wanataka kulitumia jina la chama Kwa Masilahi yao, WAFUKUZWE

    Vyama Nchi hii ni zaidi ya 10, Mkutano Mkuu ulikubali No Reforms, No Election. Inawezekana Mwenyekiti Mbowe na Genge lake walikua wanafanya Siasa za udalali Kwa Lengo la kuwafanya CCM wapandishe DAU zaidi . Kwa Lugha nyingine, zile kelele za kukushambulia huku Mbowe akisifiwa na kumwagiwa...
  15. chiembe

    Wanachama CHADEMA waugomea uongozi wao wa kitaifa, wawalima barua kupinga "no reform no election" Lissu,Heche wakalia kiti moto

    Mbombo ngafu, Lissu na Heche wakalia kiti moto, wapingwa nchi nzima.
  16. L

    PreGE2025 G 55 wasikilizwe na wao wawe na dhamira njema ya kutokiua chama

    Hali hii siyo nxuri G55 imeundwa kwa convenience ya kuendeleza maumivu na kubomoa chama. hapa hakuna nidhamu ingawa wana haki ya kusikilizwa na kisha warejee kwenye vikao halali vya kamati kuu, Baraza kuu na Mkutano Mkuu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Back
Top Bottom