g55

The Ginetta G55 is a specialist sports car, which has been built by Ginetta Cars since 2011. It is built to the FIA GT3 regulations, and the cars are raced in a one-make series; the Ginetta GT Supercup. In addition to this, they are also used in the GT3 class of competitions such as the British GT Championship. It was an evolutionary update of the Ginetta G50, which is a GT4-class car.

View More On Wikipedia.org
  1. Benson Mramba

    Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

    Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k. Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote Kinachoendelea...
  2. Ngwathra

    Records za matusi kwa g55

    Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa. Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki...
  3. The Burning Spear

    Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  4. BLACK MOVEMENT

    Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

    Wakuu, Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
  6. The Palm Beach

    Benson Kigaila mwana G55: Akiwa kwenye kiti moto cha Odemba wa StarTV, akijiuma uma na kujichanganya

    https://www.youtube.com/live/nvKNTGAG-9Q?si=H3CYz7QBr2c2gMz9 Sasa unaweza kuelewa ni kwanini hawa jamaa wa wanaojiita G55 ni wajinga wa kiwango cha huyu mzee Benson Kigaila.. Akataa katakata kujibu swali la mke wake kuwa miongoni mwa wale wabunge 19 na kwamba kama ni yeye ndiye aliyesaini fomu...
  7. C

    PreGE2025 ITV, Azam na wengine mmekuwa wanafiki? Press za G55 mnaonesha kwa airtime ya kutosha lakini mikutano ya CHADEMA kimya!

    TV station kubwa za Tanzania yaani ITV, AZAM, TBC, STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana. Nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanaojitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa, lakini mikutano ya CHADEMA inayoungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Chukulia Chadema ingechukua nchi 2015. Alafu hii G55 na Covid19 ndio IPO kwenye safu ya viongozi

    Habari za jumapili! Hawa wanaoitwa Njaa55 tukirudi nyuma kidogo kama mwaka 2015 wote wangekuwa sehemu ya Safu ya viongozi wa taifa hili. Hawa COVID-19 ambao yadaiwa wameingia bungeni kimagumashi nao ndio wangekuwa viongozi wa nchi yeti. Wanaitwa Wasaliti. Wanaitwa Njaa55 Kali kama ya mtoto...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

    Wakuu, Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya. Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dkt. Lwaitama awashangaa G55, awapa dongo zito, "No reforms, No election"

    Dkt. Lwaitama awapiga za uso G55, awapa elimu nzito ya utofauti kati ya cheo cha kuteuliwa na kuchaguliwa, asisitiza 'no reforms, no election' Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  11. M

    G55 haifika mbali

    Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA. Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
  12. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Tetesi: Mbowe kuungana na G55, kuondoka Chadema ili kwenda kutekeleza 'nusu mkate', huenda atahamia ACT wazalendo!

    Habari za ndani kabisa kutoka vyanzo vya uhakika zinasema CCM wako katika mkakati wa kupitisha na kubariki kwenda kutekelezwa kwa mpango wa 'nusu mkate' utakaowezesha kuwagawia ushindi wapinzani walau majimbo 50 ya uchaguzi (30 Tanganyika, 20 Zanzibar) katika uchaguzi wa 2025 huku ukimuhusisha...
  13. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Hakuna mfuasi yoyote wa G55 mwenye ubavu wa kupata ubunge kwa chama chochote

    Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema. Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA...
  14. P

    Ni Wakati wa Freeman Mbowe Kujiunga Chama Kipya Na G55..! Lakini lazima kipewe hatamu ya Uongozi...!

    Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu: Itakuwa ndiyo nguzo...
  15. Genius Man

    Ni wazi kujiondoa kwa G55 kuna ajenda ya siri ya kutaka kuyumbusha chama lakini hii nayo inampigia promo Lissu duniani kote

    Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama. Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

    Wakuu, Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
  17. Sumbaye

    Kuhusu sakata la G55 CHADEMA, Mbowe anahusika kwa asilimia 100

    Wataalamu wa historia wanasema historia hutuambia kwa nini tupo hapa. Nimelazimika kutafakari na kurejea matukio mbali mbali yanayomhusu Mwenyekiti Mbowe kabla ya kupumzishwa na wanachama kwenye nafasi ya wenyekiti wake. Nimerejea matukio mbali mbali hususani baada ya mwenyekiti Mbowe kutoka...
  18. Z

    Ndani ya kipindi kifupi tu Lisu amekipasua chama vipande viwili, G55 na timu Lissu

    Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu. Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani...
  19. chiembe

    Kwa tukio la jana la Mahakama ya Kisutu, bado uongozi wa chadema haujawaelewa G55 kwamba ni vigumu kuzuia uchaguzi kwa maandamano?

    Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka. Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
  20. M

    Walioupande wa Lissu ni wale waliowahi kupata misukosuko ya mapambano G55 hawajawahi. chunguzeni

    Ukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini. Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya Lema, Boniyai, Heche, Tundu Lissu,Pambalu,na Rais wa Mbeya Sugu nk. Hili ni kundi gumu silo la...
Back
Top Bottom