fursa

  1. Nani anataka Fursa hii

    Unakaribishwa Niko Mbeya
  2. Fursa na Mitaji Sekta ya Ujenzi Inakuja, Kikubwa Tuwajibike

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada za kutafuta fedha kupitia wahisani mbalimbali wa maendeleo ili kusaidia Makandarasi wa ndani kuwa na uwezo wa kutekeleza miradi mbalimbali ya miundombinu nchini. Akiongea kupitia kipindi cha Mizani ya Wiki cha U...
  3. Nchi za Uarabuni wananunua mbolea ya ng'ombe. Tuchangamkie fursa

    India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe. Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.
  4. J

    Fursa za biashara kwa vijana 2024-20250

    Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi, siasa, teknolojia, elimu, mazingira na kadhalika
  5. Fursa ya masomo kozi ya Clinical Officer

    Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya limeshafunguliwa wahi kabla halijafungwa. Bofya hapa kujiunga na group letu la whatsapp kwa maulizo...
  6. Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

    Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi naanza kama ifuatavyo: 1. MLOWO Huu ni miongoni mwa miji midogomidogo inayokuwa kwa Kasi, ni Mji...
  7. Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar

    Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty...
  8. Zijue fursa zilizopo kwa Kila mkoa ili uamue vyema sehemu sahihi ya kuishi na kuwekeza kwa muda mrefu

    Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali ambazo tuna uhakika wageni katika eneo hilo hawazijui. Zipo fursa zilizojificha ndani ya fursa...
  9. Tunauza vitabu vya fursa za kidigitali na riwaya mbalimbali karibuni

    Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni 👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato 👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number 0684861947 / 0692436124
  10. I

    SoC04 Selikali iongeze wawekezaji wengi hata kwa kuwapunguzia kodi ili fursa za ajira ziwe nyingi kwa vijana

    Mtazamo wangu naona serikali iweze kupunguza kodi kwa wawezekaji ili waje kwa wingi vijana wengi waweze kupata ajira. Tazama hata nchi zilizoendelea ajira ni nyingi mpaka watu wanafuatwa na kampuni ili waajiriwe angali bado mtu yupo chuo. Hivyo inasababisha hata maendeleo kwa nchi kwani kodi...
  11. SoC04 Kuwapa fursa vijana wenye vipaji

    Serikali itoe fursa kwa vijana wenye vipaji na uwezo Serikali tungeomba iwape fursa vijana wenye uwezo na taaluma mbalimbali tanzania tumejaliwa kuwa na vijana wengi wenye uwezo mbalimbali katika sekta mbalimbali mfano kuna vijana wengi wanataaluma computer science wapo tu mtaani awana kazi...
  12. Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

    Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako. Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia. Hapa nina swali fikirishi Eti, kama ikatokea ukapewa fursa ya kurudi miaka 10 au 15 nyuma na kukutana na...
  13. Waafrika tuna shida sana na ndizo zinazo wafanya irene uwoya na wenzio kutokupitwa na fursa ya kufaidika na hamu yetu ya kupata miujiza na faraja.

    Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo. Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
  14. Wanawake wapewe fursa ya kushiriki michezo kwa maendeleo

    JAMII imetakiwa kubadili mitazamo hasi juu ya suala la ushiriki wa wanawake katika michezo mbalimbali ili nao waweze kupata haki yao ya msingi ya kuchangamana kupitia michezo hiyo. Wito huo umetolewa na mtaalam wa masuala ya kijinsia na mwandishi wa habari mkongwe nchini, Bi Hawra Shamte...
  15. Wakandarasi Wanawake wamshukuru Mwenyekiti Chatanda kwa kuwapambania katika fursa za miradi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wakandarasi Wanawake Kanda ya Kati na Mashariki Tanzania Bi. Hidaya Abri amemshukuru Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda kwa kuendelea kuwapambania wakandarasi wanawake kupata mitaji inayowawezesha kufanikisha Utekelezaji wa tenda za wadau wa Maendeleo ikiwemo...
  16. Tofauti za Kisiasa na Kikazi zisituletee uadui, bado tuna fursa ya kulinda udugu wetu

    TUKIVUTANA KATIKA MAENEO YA KAZI, SIASA, BIASHARA HAUWI ADUI YANGU Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA JITU LA MIRABA Kuna wakati huwa tunavutana katika hali ya kila mmoja kutetea maslai yake, kwangu hilo sio jambo geni na baya ilimradi tu tuwe na mipaka katika kuvutana huko...
  17. Z

    SoC04 Mageuzi ya kiuchumi na fursa ya ongezeko la watu duniani

    UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni Marekani ya sasa yenye ushawishi wa kiuchumi Duniani? Au ni Dubai ya sasa yenye majengo marefu ya...
  18. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  19. Stoo makazi fursa mpya ambayo inaweza kuzidi nyumba za upangaji

    Stoo makazi imekuwa ikutumika sana nchi zilizoendelea hususani zile nchi ambazo watu wake ambao hawataki kuhama na mali zao ili kulinda usalama mali zao zikiwa salama. Stoo makazi maranyingi zina unafuu wa usalama ukilinganisha na kunpanga nyumba alafu ukaondoka bila kuwa na muangalizi. Stoo...
  20. F

    Tunakaribisha tofauti za hoja na maoni kuhusu chama chetu CHADEMA kwani hii ni fursa kubwa ya chama kukua na uthibitisho wa demokrasia komavu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…