furaha

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Israel furaha yake ipo kwenye uvumbuzi wa siraha na kupiga adui zake kama mlivyo Watangawizi, furaha yenu ni mikopo na kufungana jela

    Israel, kazi zingine ni kama gelesha tu Ila chaguo lao namba moja, ni tekenorojia hasa ya uvumbuzi wa siraha na uwezo wa kuzitumia Wamewekeza akili mingi kwenye jambo hilo kuliko kingine chote Hii hasa ni kutokana na nchi zinazoizunguka Israel kutoa matamko ya kijinga kuwa eti wataifuta...
  3. JamiiForums Tanzania Naona ACT Wazalendo leo wana furaha sana, inaonekana kuna mtu watampokea, je ni nani?

    Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo? 1. Sugu? 2. Gwajima? 3.Mbowe? 4.Yeriko Nyerere? 5. Wenje? 6. Wale Covid 19? mmoja wao? Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia Yanibubujisha Machozi Ya Furaha Mpaka Kuvimba Macho Utafikiri nimeng'atwa na Nyuki waliochokozwa katika Mzinga wao

    Ndugu zangu Watanzania, Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta...
  5. JamiiForums Tanzania Kero za Kubaki Bachela – Maisha ya Kuazima Furaha kwa Wengine!

    Wakuu Nimerudi tena na hawa kataa ndoa, nimekaa nikaangalia maisha ya mabachela (na mimi nimewahi kuwa mmoja wao), nikagundua kuwa kubaki hujaoa kwa muda mrefu ni kama kujitesa. Maisha ni ya muda, ya kubahatisha, ya kuomba msaada kwenye kila jambo. Kero kuu za maisha ya bachela: 1. Hakuna mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Ili tuishi kwa amani na furaha. Tupatieni majina ya Wachezaji wa Simba tuwazike na Mtujulishe wamefikia wapi kwa sasa

    Tayari uongozi umepitisha. Ijumaa tunaenda maliza match ya Mikia. Wallah wabillah hawa mikia hawatachukua Kombe. Labda siyo mimi Komeo la Chuma. Uongozi umetoa fungu la kutosha kufanikisha zoezi hili. Wachezaji wa Simba wazikwe. Yanatakiwa majina yao kamili na tarehe zao za kuzaliwa. Hii...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna viuchokozi vinaongeza hamu, msisahau kuwachokoza wawape mavituz kwa raha na furaha

    Hii ni mada ya chakula cha usiku kwa wakubwa, kama hupendi mambo hayo usifungue huu uzi. Leo huyu baba watoto wangu kanikuta nimekaa kigodani naandaa chakula kafika akanisalimia huku...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushindi Wa Professa Janabi Wanibubujisha Machozi Ya Furaha nikiwa Nimepiga Magoti Mbele Ya Picha Ya Rais Samia Kumshukuru kwa Ushindi huu aliotupatia.

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu cha maana hapa duniani kama kutafuta amani na Furaha yako!

    Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Timu za Kariakoo Jengeni viwanja vyenu ili kuongeza furaha za mashabiki wenu

    Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa ligi yetu imekuwa mara ipo namba 5 Afrika ..na blah blah kibao...huku timu kubwa zikitegemea uwanja...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watu huonekana kuwa na furaha zaidi wakiwa ‘single’ kuliko wakiwa kwenye mahusiano?”

    Wapo watu ambao baada ya kuachana na wapenzi wao huanza kung'aa, kuwa huru, na hata kujiendeleza zaidi. Je, ni kwamba mahusiano yao yalikuwa kikwazo? Au kuna kitu watu hukosea wanapokuwa kwenye mahusiano? Tujadiliane kwa uhuru — labda kuna funzo kwa wote.
  12. JamiiForums Tanzania Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup

    Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na msongo kwa kutaka kuikoga Simba ambayo ipo kimataifa. Ushauri yanga wekezeni kwenye ubora wa kiufundi...
  13. JamiiForums Tanzania Waliojiajiri wana furaha sana kuliko walioajiriwa

    Za leo wakuu.Kila mtu kuna namna anapata riziki zake hapa duniani. Nimefanya uchunguzi kwamba watu waliojiajiri wana maisha ya furaha sana. Wanasiasa wengi wana hela na vyeo ila ukichunguza hawana amani. Walioajiriwa maofisini ni lazima uamke asubuhi ukasaini hata kama bado usingizi ni mtamu...
  14. JamiiForums Tanzania Kila nikitazama nyuso za wanaonizunguka ni kama hazina furaha

    Hichi kitu nimeanza kukinotice tokea mwezi wa tatu mwishoni people hawana furaha kabisa yaani hata mtu akifurahi ni kama analazimisha kufurahi hakuna furaha ile ya kutokea ndani. Mimi mwenyewe sina furaha means kukosa furaha kwa watu wengi Kuna cause ambayo ni common ukiachilia mbali ugumu wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni furaha isiyo kifani kuona kila mtanzania anamudu mahitaji yake ya kila siku

    Nitoe wito au ushauri wa viongozi waliopa madarakani, serikali inayoongozwa na Rais Samia Hassan Suluhu. Tanzania kuna kila aina ya resources ambazo zinamudu kumfanya kila MTANZANIA awe na uwezo wa kumudu MAHITAJI yake ya kila siku maishani mwake. Tutangulize uzalendo, mtanzania mwenzako ni...
  16. JamiiForums Tanzania Pamoja tunaweza kuwapatia tabasamu | furaha ya mtoto ipo kwenye mambo madogo sana ya kidunia

    Habari za wakati huu waungwana, natumaini Mungu anaendelea kutujaalia uzima mpaka siku hii ya leo. Natumaini humu jukwaani tupo watu wa imani mbalimbali, kwa ndugu zangu wakristo leo ni ijumaa kuu siku ambayo wanaomboleza kuteswa na kufa kwa Yesu Kristo. Hivyo basi siku ya jumapili...
  17. JamiiForums Tanzania Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kusherekea Sikukuu ya Kumwagiana Maji ya Kabila la Wadai yarejesha kumbukumbu za utotoni

    China ni nchi yenye historia ndefu sana pia ikiwa imesheheni utamaduni wa aina mbalimbali. Sikukuu zote za jadi zinazofanyika huwa zinaakisi mila na desturi zake nyingi. Kwa wageni wanaoishi China kama mimi ama hata watalii wanaokuja kutoka nje, kusherehekea sikukuu hizi za jadi za China huwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

    Some timez ilimradi haiumizi hesabu, afya au status yako ... Fanya maamuzi ya kuushtua moyo wako kwa furaha ... utakuja kujishukuru siku unakufa ..... Sababu Kama mwanadamu unahitaji pia Mambo kias flan ya kukufurahisha yakaweka alama / kumbukumbu ya furaha ktk maisha. .... Anyway mdada alieko...
  20. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atastawi kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa

    Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema kuwa wanaelewa anachomaanisha, wanasema kuwa anamaanisha hivi sasa yupo kwenye shamba la AK baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…