funzo

"Grift of the Magi" is the ninth episode of the eleventh season of the American animated television sitcom The Simpsons. Being the final episode to air in the 1990s, it originally aired on the Fox network in the United States on December 19, 1999. In the episode, mafia boss Fat Tony successfully extorts a large sum of money from Springfield Elementary School, forcing Principal Skinner to close it down. However, a toy company called Kid First Industries, led by Jim Hope, later buys the school and privatizes it. Classes now start focusing on toys and marketing only, and soon a new toy called Funzo that resembles the children's ideas is released by Kid First Industries in time for the Christmas shopping season. Bart and Lisa decide to destroy all Funzos in Springfield but Gary Coleman, Kid First Industries' security guard, tries to intercept them.
"Grift of the Magi", which satirizes the commercialization of Christmas, was written by Tom Martin and directed by Matthew Nastuk. The episode features several guest appearances; Tim Robbins as Jim Hope, Gary Coleman as himself, Joe Mantegna as Fat Tony, and Clarence Clemons as a narrator that tells the viewers at the end of the episode how the story ends.
Around 7.76 million American homes tuned in to watch the episode during its original airing. It was first released on DVD in 2003 in a collection of five Christmas-related Simpsons episodes, titled Christmas With the Simpsons.
Critics have given "Grift of the Magi" generally mixed reviews, particularly because of its plot. The episode has been praised for some of its gags and Coleman's appearance.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

    Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika. Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
  2. JamiiForums Tanzania FUNZO: Enyi vijana watafutaji mnaojiweza kiasi kiuchumi msizoeane kabisa na wenye nyumba wenu

    Habari wana jamvi Nimeona niweke huu uzi asubuhi sababu mida hii ndo wenye nyumba huwategeshea vijana wapangaji wao wanaoonekana kujiweza kdg kiuchumi na kuwaelezea shida zao ili wawasaidie. Kuna dogo mmoja kumpa mwenye nyumba wake 30 au 20 ilikuaga kawaida. Siku mzee yule akamfuata dogo...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga imetoa funzo kubwa kwa Simba na wengineo. Italiandika tena kwenye msimu ujao wa Klabu Bingwa?

    Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni. Daima huwa naitazama mechi kiufundi na kunasa cha kuondoka nacho, achilia mbali matokeo. Huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi Mpesa ilivyofanikiwa Afrika ikashindwa kwenye soko la Ulaya - Funzo wa madevelopers

    Katika ubunifu ambao umefanikiwa sana Afrika ni mobile money hasa ikizaliwa kutoka Safaricom Mpesa. Ubunifu huu tofauti na ubunifu uliozoeleka kuanzia ulaya ukaletwa Afrika, huu ulitengenezwa mahususi kwa mazingira ya kiafrika na ndio maana mbile money imefanikiwa sana afrika. Vodafone kuona...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nataka kulala masikini kuamka tajiri

    Siku moja kuna rafiki yangu wakaribu alifiwa na baba ake mdogo kama ujuavyo watanzania tuliowengi tunatabia yakushirikiana katika shida na raha basi siku ya maziko nilikaa pamoja na vijana wenzangu, tulikuwa tukipeana habari mbalimbali kama ujuavyo watu wa rika zinzofanana wanapokaa pamoja...
  6. JamiiForums Tanzania Funzo tunalopaswa kujifunza kufuatia kifo cha mwenzentu Le Mutuz, tuandike wasifu wetu wenyewe

    Kufuatia kifo cha member member mwenzentu wa JF Le Mutuz pamoja na mengi mengineyo lakini kubwa hakuna wa kuandika wasifu wa marehemu wala historia yake maana kazi hiyo aliifanya yeye mwenyewe. Hivyo natoa rai katika mambo ya maana sana aliyofanya Le Mutuz ni pamoja na kuandika historia yake...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa Viongozi wa Mwanza

    Habari wanajamii bila shaka mko vizuri, japo kuna changamoto za hapa na pale kama report ya CAG na mengineyo. Ila leo nakuja kwa kuwashauri na kuwahimiza kufanya mabadiliko na siyo kuwa na mazoea. Nikianza na viongozi wa idara ya Maji Mwanza (MWAUWASA), jamani mjifunzeni kwa wenzenu wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

    Baada ya uvamizi wa urusi ndani ardhi ya jirani yake ukraine kumetokea hali tofauti ya namna vikosi vinaweza kupata umiliki ndani na nje ya uwanja wa medani. Matumizi ya silaha kubwa kama vifaru yameonekana kuwa vulnerable kwani imekuwa rahisi kushambuliwa na silaha nyepes za kubeba begani, "...
  9. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma Afrika Mashariki ni funzo tosha

    Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia aibu, waandamanji waliojitokeza kwa mujibu wa takwimu ni zaidi ya asilimia 77, hapa swali ni je nani...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma Senegal, funzo jingine kwetu

    Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja." Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja. Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane Sonko hadi nguvu ya umma ilipoamua kutoa hukumu yake ya haki: Ousumane Sonko sasa yuko huru baada...
  11. JamiiForums Tanzania Usichana wa kijinga umemponza Sasa amekuwa kikojozi

    Jamani inatia huruma na inasikitisha sana ,kumbe na matashtiti yake yote na kiingereza kingi kumbe bibie huyu ni kikojozi daaaah 😭😭😭 Unaambiwa tatizo huyu bibie lilimuanza baada ya kukata utumbo ili eti awe pisi kali 🤣🤣🤣 Za ndaaaaani kabisa zinasema huyu dada hawezi kabisa kukaa na mkojo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza chokochoko na Moldova, haijapata funzo la kipigo pale Ukraine

    Urusi imepokea kipigo kikali pale Ukraine na kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hadi imeanza kukusanya mateja mtaani na wafungwa kuipigania, licha ya yote hiyo imeanza kuchokoza kataifa kengine ambako kako nje ya NATO... Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has suggested that Moldova is the...
  13. JamiiForums Tanzania Kila jambo ukilichukua kama funzo utaenda mbali zaidi

    LAWAMA HAIJAWAHI KUPONYA MTU. Mara nyingi tumekuwa tukilalamikia vitu ama watu lakini tumeweza kujiuliza kwa nini vitu au watu hao utokea kwenye maisha yetu? Mtoto anazaliwa mara ya kwanza hewa ya oksijeni inapopita kwenye mapafu uanza kulia na baadae ataitegemea hiyo kwa maisha yake yote...
  14. JamiiForums Tanzania Rafu aliyochezewa leo Inonga iwe ni funzo kwake kuacha sifa za kijinga, ushamba na utoto

    GENTAMYCINE (Shabiki Tukuka wa Simba SC) nilishawahi kuandika Mada (Thread) hapa hapa JamiiForums ya Kuwaonya akina Inonga na Sakho juu ya Uchezaji Wao wa anao anao mwingi na kutafuta Sifa kwa Majukwaa huku Nikionya kuwa ipo Siku yatawakuta makubwa. Sikueleweka na baadhi ila nina baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Funzo la Hadithi ya Paka na Panya

    Watawala na Watawaliwa:-"Inawezekana tatizo la panya kwa paka lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni" - Mwl. J. K. Nyerere
  16. JamiiForums Tanzania Uzinzi wa Ohola na Oholiba, funzo kwa jamii za Wakristo

    UZINZI WA OHOLA NA OHOLIBA, FUNZO KWA JAMII ZA WAKRISTO Ohola (Samaria) na Oholiba (Yerusalem) binti za mama mmoja, wazinzi na waliogeuka chukizo mbele ya Mungu. Ni unabii wa Mungu uliotolewa kwa kinywa cha nabii Ezekieli (Eze 23:1-49) Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Bwana Yesu apewe sifa...
  17. JamiiForums Tanzania Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

    1. Daudi pamoja na kudharaulika umbile lake lakini alimuua Goliath 2. Petro pamoja na kuaminiwa kote lakini aliweza kumkana yesu Mara tatu 3. Yusuph pamoja na kukataliwa na nduguze lakini akageuka kuwa nguzo kuu 4. Yusuph pamoja na ugwadu wa kitambo kirefu lakini aligoma offer ya game kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Unapotaka kufanya biashara epuka kabisa madalali wa uswahilini. Kilichonikuta kimenipa funzo

    Nipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri. Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja...
  19. JamiiForums Tanzania Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano. Muda wa...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Russia iwe funzo kwa ulimwengu wa sasa, Mabunge yawe Huru

    Kwa mtu yoyote asiyehusika moja kwa moja na hii vita lazima atakuwa ana upande wake wa kushabikia. Ila jambo moja la wazi na pasi na shaka hii vita imekwamisha ustawi wa Uchumi wa Dunia nzima na kuhatarisha usalama wa kila Binadamu. Hadi sasa ukiangalia taarifa za Urusi kila siku wanatoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…