fundi

  1. JamiiForums Tanzania Muongozo wa bei kwa fundi welding

    Habali wana jamvi. Husika na kichwa cha habari hapo juu Naomba kujua bei za madirisha ya chuma mageti na vitanda kulingana na vipimo vyake. Asante
  2. JamiiForums Tanzania Fundi Maiko Tukutane hapa!!

    Dah! Aisee Acheni jamani Yanatukuta mengi Hamjui tu,Utundu wa kujifanya Fundi umeme kila switch nyumbani naweka mwenyewe kuna siku Nikavamia ile Inaitwa Junction Box kwa Jirani...Acheni Jamani Kumbe Tangu siku Ile Sishangai kuona samaki Anazama Baharini.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Fundi tunataka nguo zetu za Idd

    Leo ndo Idd, hutuambii kitu.
  4. JamiiForums Tanzania Fundi urembo wa nguzo anahitajika kwa bei nafuu

    Kazi ya kuweka urembo kwenye nguzo 6, pamoja na mkanda wa slab wenye mzunguko wa mita 50. Hela iko mfuko wa shati, laki 4; haiongezeki ila inaweza kupungua.
  5. JamiiForums Tanzania Wenzetu Uganda wana Fundi Michelle (haki sawa kwa wote)

  6. JamiiForums Tanzania Ramani ya fundi Maiko, inachorwa bila proportions lakini nyumba inasimama

  7. JamiiForums Tanzania Gharama za vitu sasa ipo juu lakini Fundi ujenzi bei yake iko palepale

    Habarini waja JF, Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk Lakini fundi bei yake palepale, tell me why. Kwa namna niliyowaza bado sipati jibu, japokuwa na kipato chao hawa watu ila hawaishiwi vibweka na...
  8. JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona nguo Morogoro Mjini anahitajika

    Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi. mwenye uhitaji huo nicheki...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi anahitajika Fundi (Security Services Technician Trainee)

    Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24. Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na...
  10. JamiiForums Tanzania Huyo unayemwita fundi wako ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea

    Habari! Kuna mafundi aina nyingi, na kwakuwa binadamu tumejaa woga basi tunamchagua mtu mmoja ndiye fundi wako katika sekta fulani. Ukweli ni kwamba huyo ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea. Mifano ni mingi njtakuja kuwaletea. Usimwamini fundi!
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme tukanunue wote vifaa original, malipo 50,000 to 100,000

    Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana, Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
  12. JamiiForums Tanzania Fundi simu anapatikana

    Hiyo link ni Display na bei zake Hiyo bei ni pamoja na ufundi Share link Epateletech epate ==== SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch zake na upande wa pili ni system charge TECNO ✓Tecno smart bei ya kubadilisha touch ni 17k ambazo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa fundi nguo, yaani mshonaji nguo

    Namtafuta fundi nguo wa kike awe na umri chini ya miaka 33 Awe tayari kuhama alipo na kufuata eneo la kazi Awe tayari kujifunza ujuzi nafasheni mpya. Ashone nguo za kiume na kike kama hajui zingne awe tayari kujifunza. Awe tayari kufanya kazi kwa muda mrefu yaani miaka mingi Awe tayari...
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba ya contemporary inavuja na ukuta unaoza

    Tahadhari ni muhimu na watu tuliwaambia,nyumba za hidden roof sio za kupunguza gharama. Ona sasa fundi Maiko kamliza mtu,nyumba inavuja na ukuta unaoza,anaanza upya kufumua. Hakuna kitu rahisi,cheki hapa👇
  15. JamiiForums Tanzania Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

    Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona? Yanga SC...
  16. JamiiForums Tanzania Je, hii ramani imekamilika?

    Habari nyingi wakuu.. Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi. Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
  17. JamiiForums Tanzania Fundi nguo wa hayati mzalendo wetu hakua fair

    That's real
  18. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Ndugu zangu wa Jamii, Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur. Asanteni sana
  19. JamiiForums Tanzania Fundi welding na mziba pancha wanahtajika.

    Habari ndugu zangu nimefungua kijiwe cha welding na compressor kwa ajili ya kuunga vyuma na kuziba pancha za magari yote , Hivyo wanahtajika vijana wawili kwa ajili ya kazi hizi alie tayari ani pm Location ushrombo karibu na sheli ya moil.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali inavuna ilichopanda: Fundi Maiko Syndrome - Goba Collapse

    Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko. Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama. Jengo lililoanguka huko Goba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…