fremu

Modthryth, Thryth ('strength', cf. Old Norse Þrúðr, the daughter of Thor), and Fremu are reconstructed names for a character who figures as the queen of King Offa in Beowulf.

View More On Wikipedia.org
  1. Julius Husseni

    Kipi bora kati ya kuchukua Fremu ya elfu 30 eneo ambalo sio changanyikeni au elfu 50 sehemu iliyochangamka?

    Wakuu msaada kwa wale wabobevu wa uchumi kipi sahihi hapo kupangisha sehem frem penye watu sio wengi na bei 30 elf wakati huo huo kwa sh elf 50 eneo populated. Asanteni.
  2. Mzee Kimamingo

    Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

    Wasalam wana Jamvi. Naomba kwa wataalam wa Kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
  3. Trubarg

    Nimeshindwa kulipa kodi (VAT) kisa sijapanga fremu

    Nimeshangaa Sana kukosa huduma ya TRA (KULIPA KODI) kisa sijapanga fremu. Dunia ya Sasa haihitaji watu kuwa na fremu au kuwa ofisini ndiyo wafanye biashara. Kuna baadhi ya biashara ambazo zinaweza fanyika online vzuri Tu bila hata kupanga fremu. Kuna haja ya TRA kuja na mawazo mbadala, online...
  4. Planet Data bundles

    Nimefungua biashara lakini inaonekana mwenye nyumba kazindika Fremu zake

    Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 . Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
  5. Dr Matola PhD

    Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba. Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
  6. aBuwash

    Nahitaji dalali wa fremu Mbagala kwa ajili ya nafaka

    Naomba mtu yeyote anayemfaham dalali Mbagala awekee mawasiliano yake hapo chini nashida na fremu ILA IWE RANGI TATU PALE
  7. D

    Fremu inapangishwa

    habari. kuna fremu inapangishwa maeneo ya bunju A barabaran awali ulikuwa inatumika kama maabara kwa sasa inapangiswa inahitaji 270 kwa mwezi na kodi ni meiz 6. ina luku yake panoja na choo pia ina jumla ya vyjmba vyumba 3. kazi kwenu wapambanaji inbox me plz
  8. aBuwash

    Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
  9. Swahili AI

    Hii nchi kila kona fremu

    Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
  10. Lexus SUV

    House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Arusha na Moshi mjini

    Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA KILIMANJARO..., Kwa mahitaji ya..., 1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) , 2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA , 3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake , 4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka 4.1 Ofisi za taasisi, 4.2 GODOWN , 4.3...
  11. Akilindogosana

    Uchumi wa fremu, Framenomics

    Uchumi wa fremu (Framenomics, Frame + Economics=Framenomics), ndio uchumi halisi wa nchi hii. Uchumi wa kuagiza vitu na kuviuza. Kuimport na kuuza. Hakuna uzalishaji wa bidhaa au huduma wala hakuna exports. Changamoto ni nyingi sana, mipango, ardhi, mtaji, sheria za nchi, na umeme halafu Umeme...
  12. 2019

    DOKEZO Responded Mwamba ajenga fremu kituo cha Mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

    Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua...
  13. Lexus SUV

    Fremu ya biashara Moshi mjini inapatikana

    Habari wandugu, Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii.. FREMU IPO KARIBU NA...
  14. Hismastersvoice

    Soko jipya la Mbagala Zakhiem halikidhi haja, limejengwa chini ya kiwango pia wafanyabiashara wa mwanzo wamenyimwa fremu.

    Soko jipya lililopo Mbagala Zakhiem limejengwa kwa gharama ya sh. 2Billion, ujenzi uliofanyika umeweka vifremu vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji ya wafanyabiashara. Fremu nyingi wamegawiwa watu ambao hawakuwepo awali japo mkuu wa mkoa aliahidi wafanyabiashara wa mwanzo ndio watakaopewa...
  15. T

    Naomba kufahamu Gharama za ujenzi wa fremu za biashara

    Habari za wakati huu wana jukwaa Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji Kwa miaka mitano sas nime kuwa niki miliki eneo kubwa lilopo karibu kabisa na stendi baada kujitafakari...
  16. GENTAMYCINE

    Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  17. Hyrax

    Ni bidhaa gani naweza kuziuza nikiwa na gari au Bajaji, Gari Duka

    Wanakijiji wa JamiiForums mimi nipo Dar saivi ninafikiria jambo fulani la kujikwamua kiuchumi ila hii kidogo naipigia mahesabu kitofauti nataka ninunue ka-ist au bajaji then ukiachilia mbali sijui kusafirisha watu sijui uber au bolt nataka hicho chombo nitakachonunua kiwe ndio duka lenyewe...
  18. Dr. Zaganza

    Nahitaji fremu mtaa wa livingstone kwa ajili ya spea za gari

    Habari wakuu Mwenye kazi yake ,Nipigie kwa 0713 039 875 .Kodi hamna shida
  19. wilcoxon

    Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  20. Equation x

    Wapi naweza kupata top za milango na fremu za mninga kwa bei nafuu?

    Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha. Milango na fremu 16pc, ila kazi inaweza kufanyika kwa awamu.
Back
Top Bottom