freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Baada ya kushinda kesi ya Mbowe, nini hatma ya mauaji ya Akwilina?

    "Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje? Kwanini hakutoa barua za mawakala? Athari walizopata warufani. Uhuni huu utaisha lini?" - Mch...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe usimfanye Tundu Lissu kuwa bidhaa

    Ndugu zangu, Aidha kwa kujua au kutokujua ndugu Lissu kageuzwa bidhaa au chanzo cha kupata hela. Kwenye miji na majiji kumeibuka mtindo wa watu wenye ulemavu au wanaoongopa ulemavu kusukumwa kwenye baisikeli za magurudumu manne na kuzunguka mitaani kuomba chochote kitu ili mradi maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Jaji Mgeta: They were convicted of those counts on the mere statements

    "Nimesoma rufaa ya kesi ambayo Freeman Mbowe na wenzake walifungwa, Jaji wa mahakama kuu wanasema "nothing more is said in the judgement about evidence. They were convicted of those counts on the mere statements". Yaani wakihukumiwa bila ushahidi.. Kwanini mnawaonea watu hivi? Ni dhuluma...
  4. JamiiForums Tanzania Aibu kwa Mahakama baada ya kuthibitika kuwa ilikuwa ikitoa hukumu kwa kuwaonea akina Mbowe

    Siku ya leo, Jaji wa mahakama kuu, Irvin Mgeta, ameandika historia, baada ya kubatilisha hukumu iliyokuwa imetolewa na Hakimu, Thomas Simba, wa mahakama ya Kisutu, hapo mwezi March, 2020, ambapo aliwatia hatiani viongozi hao wa Chadema, kwa Makosa 10 Kati ya 11, waliokuwa wameshitakiwa nayo...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

    Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta. ====...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa aliwashauri Zitto na Mbowe wakubaliane kuachiana Uenyekiti

    Dar es Salaam. Imepita miaka minane tangu Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake walipofukuzwa Chadema kwa madai ya usaliti; sasa ameibuka na kusema ni kosa kubwa analolijutia mpaka leo. Mbali na Zitto, wengine waliofukuzwa walikuwa Profesa Kitila Mkumbo ambaye kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tumfute machozi Freeman Mbowe, tusikubali aachie uenyekiti 2023. Ametupigania sana

    Kwenye nchi hii unaachane kumfuta machozi mtu kama Freeman Mbowe? Hata kama unamchukia kiasi gani ina maana aliyofanya na anayofanya hamuyaoni? Freeman Mbowe hili ni jina linalopaswa kuwa kwenye kumbukumbu za kudumu nchi hii, huyu ni mpiganaji halisi hakuna vita ambayo hajawahi kushinda...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

    Wahenga wanasema kuwa tenda wema usingoje shukrani. Ndiyo msemo inabidi mh Mbowe na wana Chadema kuukubali na kuutumia ili maisha yaendelee. Huyo hapo chini ni ndugu Lijualikali ambaye sasa ni mh DC. Ambaye aliibuliwa na kutengenezwa na Chadema. Kweli dunia ni msongamano.
  9. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mkoani Kagera kuhudhuria Mazishi ya Profesa Baregu

    Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki Maziko ya Mjumbe Mstaafu wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwesigwa Baregu . Taarifa zinaonyesha kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya kumuaga Prof. Mwesigwa Baregu

    Mbowe ameshiriki Ibada hiyo katika Kanisa la KKKT usharika wa Kunduchi Beach. Hayati Mzee Baregu alikuwa Mjumbe Mstaafu wa Kamati kuu ya Chadema.
  11. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki: Freeman Mbowe atinga Jimbo la Mtama

    Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno. Hebu jionee mwenyewe.
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye hili la Sabaya, Mbowe ni Mwalimu wa Siasa. CCM ikasome kwake

    KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM Anaandika Mbatizaji Mkuu Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti kipo na kufikishwa Mahakamani, akafunguliwa mashtaka na hivi karibuni ilikuwa siku ya hukumu yake...
  13. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yatinga Ruangwa, Umati wajitokeza kumpokea Freeman Mbowe

    Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi. Video hii ya Mapokezi...
  14. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

    Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie. Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe's Challenge

    By Ezekiel Kamwaga Of Accidental Leaders In a recent article on NewAfrican, Samia Suluhu Hassan was described as an “Accidental President”. Before the unexpected death of her predecessor, John Magufuli on March 17, 2021, few would have predicted that she would be Tanzania’s first woman...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndio kiboko ya Mbowe na CHADEMA

    RAIS WA JMT MAMA SAMIA KUMSTAAFISHA UENYEKITI WA CHADEMA NDUGU FREEMAN MBOWE IFIKAPO MWAKA 2023. Na; Philipo Mwakibinga Muda kidogo nilijiuliza sana bila kupata majibu juu ya azma na uamuzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe (Mwamba) kutangaza kuwa ifikapo Mwaka 2023 atang'atuka uenyekiti wa...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki . Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo. Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe: Hayati Rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu, hakuwa mvivu hata kidogo

    Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza. Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na...
  19. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mbowe apokea zawadi toka kwa Wanachama wa CHADEMA waliohudhiria kikao cha ndani

    Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana, Bali haitawezekana milele, kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe, au kama hayupo basi familia yake ilipishwe gharama ya utapeli wa ndugu yao. Chadema haifi na wala haitakufa. Hii hapa ni video...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

    Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi, huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA . Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…