freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Unafikiri nini kilikuwa kinaongelewa kati ya Lipumba na Mbowe kwenye picha hii?

    Uongozi ni kama koti la kuazima; Mbowe na Lipumba sasa si viongozi tena! Pia soma Mirambo arithi mikoba ya Profesa Lipumba CUF Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
  2. mirindimo

    James Mbowe amwaga pongezi kwa ATC 'Any Time Cancellation'

    Nichukue nafasi hii kipekee kuwapongeza Air Tanzania kwa namna wanavyo badili ratiba za ndege mara kwa mara. Mfano leo ndege ya Air Tanzania iliyokuwa iruke kwenda Kigoma saa 5:40 imesogezwa mpaka saa 9:30 sababu wanasema ni Operation yaani siyo hata kwamba hali ya hewa ni mbaya au ndege mbovu...
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Mbowe: Taifa lina maumivu makubwa. Nisiposema haya nitakuwa mnafiki au 'Mswahili'

    Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa taifa bado lina maumivu makubwa, akibainisha kuwa wapo watu walioko magerezani ambao wanastahili kula matunda ya nchi yao pamoja na Watanzania wenzao. Ameyasema hayo leo wakati wa msiba wa Mzee Mtei...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Mbowe: Tulipata hazina kubwa sana kufanya kazi na Mzee Mtei na alikuwa muaminifu sana na akili kubwa

    Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa karibu wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amesema kuwa Mzee Mtei alikuwa Muasisi wa sarafu ya kwanza ya Tanzania. Soma Pia: Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia
  5. R

    Mbowe awasili Msibani kwa Mzee Mtei

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewasili muda huu katika msiba nyumbani kwa marehemu Edwin Mtei, aliyefariki dunia Januari 19. Mtei alikuwa ni mwasisi wa CHADEMA pamoja na mwenyekiti wa kwanza wa chama hicho. Kufuatia kifo chake, CHADEMA...
  6. Idugunde

    Kwa mateso haya ya gerezani ingekuwa ni Freeman Mbowe angekuwa ameshajipeleka Ikulu na kupewa juisi na kuwasaliti watanzania

    Mbowe alipenda sana siasa za kujaza tumbo lake. . Alikuwa yupo tayari kuuza watu ili mradi yeye na tumbo lake washibe na kwenda chooni. Kwa namna alivyoteswa Tundu Lissu leo hii Mbowe angekuwa ameenda Ikulu kunywa juisi za Ceres. Lissu hanunuliki. Na hii ndio Sababu CHADEMA inazidi kuwa na nguvu.
  7. aise

    PostGE2025 Mwenyekiti msaatafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe Yuko wapi?

    Mwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi? Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini? Carlos The Jackal
  8. R

    Freeman Mbowe, sijasikia kauli yako kuhusu mauaji ya watanganyika, wanachama "wako". Umeyafurahia mauaji haya? Hapana!

    Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana. Mchango wako ni mkubwa kisiasa kwa taifa hili. Usiharibu historia...
  9. baz kaiza

    Yuko wapi FreeMan Mbowe kamanda wa anga?

    Mbowe alizoea kuishi kwa siasa za kilaghai siasa kupitia damu za watu na kutengeneza wealth. Alivyokuja mwamba Magufuli akaona kumbe upinzani wanapiga kelele then unawaita Ikulu unawapa bahasha zenye minofu then wanatulia baadae njaa ikiuma wanawasha tena moto then unawaita tena mzee akaona...
  10. J

    Freeman Mbowe muasisi wa Kampeni Kwa Chopa apewe maua yake!

    Sasa Utaratibu wa kampeni kwa Chopa umekuwa maarufu sana hata CCM wameupenda Freeman Mbowe akasajili Wazo lake awe analipwa na vyama vya siasa watakaofanya “ Kampeni kwa Chopo” Ahsanteni sana 🙏✔️
  11. The Palm Beach

    Yericko Nyerere katika kesi ya uhaini ya Tundu Lissu apiga U-TURN, amtaka Lissu akubali maridhiano ya Mbowe style!

    "....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi hii, Ninaamini Kesi hii haiwezi kuisha kwenye mkondo wa kisheria, Kesi hii ni ya Kisiasa, Hivyo...
  12. Just Pray

    GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Arusha: Mbowe atoke hadharani na aseme 'No reforms No election'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, ametoa wito kwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho ngazi ya taifa, Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na kuunga mkono kaulimbiu ya chama ya “No Reforms, No Election”, kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa msimamo...
  13. figganigga

    Inauma sana, Zitto Kabwe anamiliki Chama chake binafsi na Freeman Mbowe ni mtembea pote

    Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba Dunia kweli duara. Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣 Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣...
  14. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Freeman Mbowe amefutwa uanachama CHADEMA Agosti 17, 2025

  15. Waufukweni

    GE2025 Bwege: Dalili zote zinaashiria Mbowe hayupo CHADEMA

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anasema "Dalili zote Mbowe hayupo CHADEMA" Soma > Bwege: Polepole Kathibitisha CCM ndiyo tatizo, inavunja Katiba ya Chama na Tanzania na inadharau maoni ya Watanzania
  16. figganigga

    Tetesi: GE2025 Freeman Mbowe akubali kushiriki Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekutana naye akipima Suti

    Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA. Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA. Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam. Baada ya...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    Freeman Mbowe anajiunga lini Chaumma?

    Sio siri wala kificho tena. Mliopo karibu na Freeman Mbowe mwambieni asijifiche tena, atoke kichakani na kulitangazia Taifa siku gani anahamia Chaumma. NB Poleni kwa msiba wa spika mstaafu Job Ndugai. Atapewa mazishi ya kitaifa?
  18. M

    Freeman Mbowe kumbuka Wanachadema walienda kanisani kumlilia Mungu uachiwe kwenye kesi ya Ugaidi

    Ndugu Freeman Mbowe, kumbuka kwa miaka takriban 20 ulikuwa kwenye familia inayokupenda, kukuheshimu na hata wengine kuwa tayari kuyatoa maisha yao kwa ajili yako na uongozi wako. Ulipotuhumiwa kwa makosa mabaya kabisa ya kuuza madawa ya kulevya na Ugaidi ni wanachadema waliopambana kukutetea na...
  19. Ritz

    Tetesi: Freeman Mbowe kutimkia CHAUMMA

    Wanaukumbi. Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA. Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi. Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa...
  20. W

    SI KWELI PreGE2025 Mbowe achukua jengo la ofisi kuu ya CHADEMA

    Wakuu nimekutana na hiki kipeperushi hapa kinadai kuwa aliyekua Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amechukuwa jengo la ofisi kuu za chama hicho.
Back
Top Bottom