forum

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. Policy Forum Breakfast Debate: Bomba la Mafuta la Uganda, EACOP,Ndio Mradi Mkubwa Kuliko yote Tanzania kwa Sana, Una Fursa Kibao!, WaTZ Tuuchangamkie

    Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
  2. Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

    Habari wanaJF, ninaomba kwenye uzi huu mtume link za nyuzi zote za stori za kweli zilizowahi kubamba hapa JamiiForums Mfano ile stori ya khumbu ya konda msafi, stori ya dereva Uber na mwanamke aliyebadilisha maisha yake n.k
  3. W

    Director of Policy and Planning Visits Pavilion on Behalf of Deputy Permanent Secretary as Fourth Local Content Compliance Forum Concludes in Mwanza

    The Fourth Local Content Compliance Forum (LCCF) in the Mining Sector concluded today in Mwanza, having brought together a wide range of stakeholders committed to enhancing Tanzanian participation in the mineral sector. Representing the Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Minerals...
  4. Heshima na zawadi ya kipekee kwako mtu wa aina yako hapa Jamii forum.

    Mwishoni nimekutag, hii ni kuonyesha kuwa nimetambua mchango wako kwangu hapa Jamii forum. Sina mengi ya kuelezea lakini naamini kuwa hii ni zawadi na pia ni kama kumbukizi kwako. Fanton Mahal Ahsante.
  5. Ms Mary Baine appointed as The New Executive Secretary of The African Tax Administration Forum (ATAF)

    03 June 2025, Pretoria —The African Tax Administration Forum (ATAF) is proud to announce the appointment of Ms. Mary Baine as its new Executive Secretary, effective 1 July 2025. Ms. Baine succeeds Mr. Logan Wort, who has served as ATAF’s Executive Secretary since its establishment in 2009. Ms...
  6. Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum

    Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV https://youtu.be/EiV1P-sOvHU?si=0xNqnamQJihTXFnh
  7. JamiiForums inaniathiri

    Inanipa sana wakati mgumu, Hasa nje ya mtandao huu Huko kwenye Whatsapp group Naona watu wanachart wanaongea pumba tu. Hawana fact Wala logic, nishazoea huku watu wanaongea kwa fact. Hali inayopelekea kugombana na baadhi ya watu kwa sababu hawana mawazo yenye akili. Issue ingine nakuwa free...
  8. Mliooana kupitia forum hii leteni mrejesho

    Wanandoa mliofanikisha kupitia forum hii msitufanyie hivyo bana, tupeni mrejesho nasisi wengine tuchague wenyewe bila shurti kama tunazika au tunasafirisha
  9. Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

    Shikamooni wakubwa, Kwanza nishangae, Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki. Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao. Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea...
  10. B

    TRA VS TPDC

    wakuu wapi kuna asali maana jamii forum hakujawai kosekana jibu kati ya TPDC vs TRA
  11. Ni wakati sahihi jamii forum kuwa na akili mnemba (AI) yake

    Matumizi ya akili mnemba yaani artificial intelligence (AI) yakiendelea kukua kwa kasi binafsi nadhani ni wakati sahihi mtandao wa jamii forum kuwa na AI yake kama ilivyo kwa grok ya X(zamani twitter), Gemini (google) Microsoft copilot na chatGPT
  12. Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

    Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu...
  13. A

    Forum maalum kwa wakongwe wa JF

    Wana JF na JF moderators forum hii iwe maalum kwa kiwatambua wakongwe wa jf kwa kuwataja Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe...
  14. Manispaa wamekuja dukani kukagua leseni, wadai sina Service Levy, nini maana yake?

    Leo Manispaa wamekuja dukani kwangu kukagua Leseni ya biashara. Hiyo ninayo,lakini wakaniambia Sina Service Levy. Nauliza nini maana ya Service Levy? Inamaanisha nini ijapo nimeilipa.
  15. C

    Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

    Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site...
  16. N

    Klaus Schwab ambaye ni mwazilishi wa World Economic Forum anajiuzulu kama mwenyekiti

    Klaus Schwab, mwanzilishi wa Jukwaa la Uchumi Duniani, amefahamisha wafanyakazi na wadhamini kwamba atajiuzulu wadhifa wake wa uenyekiti. Baada ya kuongoza Jukwaa kwa miongo mitano na kuunda mkusanyiko wa kila mwaka wa wasomi wa kimataifa, Schwab sasa ameanza mabadiliko ya kujiondoa. Soma zaidi...
  17. Mgeni wa Jamii Forums

    Habari wakuu Mimi ni mgeni nahitaji support yenu na ushirikiano wenu Ova
  18. 30. Ni umri ambao ule ubishi na kiburi cha ujana unaanza kushuka taratibu

    30-39 Ni umri ambao ule ubishi na kiburi cha ujana unaanza kushuka taratibu kwa maana unaanza kukubaliana na hali halisi😂 Ni umri ambao unaanza kujua kwa nini baba na mama yako walikuwaga wanazinguana kila siku. Ni umri ambao kama haujajenga, akili inaenda kasi sana na kupigana kwa namna...
  19. Diaspora forum

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hili ni jukwa la diaspora wa Africa mashariki Kupeana uzoefu na kupeana njia za kuruka majuu Kupeana utaratibu namna ya kuishi inchi za watu, namna ya kufika nchi za watu Kupeana michongo katika inchi hizo na kushikana mikono Nchi zote...
  20. Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

    "JF member" na "senior member" ni maneno yanayotumika sana katika muktadha wa majadiliano ya mtandaoni, haswa kwenye jukwaa la JamiiForums (JF). Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: * JF Member: * Hii ni neno la jumla linalorejelea mtu yeyote aliyesajiliwa na anayeshiriki kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…