forex

  1. Watu wa Forex , hii pullbacks strategy inaonekana ina faida sana, kuna mwenye uzoefu nayo?

    Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy. Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana. Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo...
  2. Forex ni kamari ya kimtandao: "Emmanuel Mpawe Tutuba (Governer Bank of Tanzania)"

    https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163 ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania amenyoosha maelezo kwamba Forex ni kamari, ndugu zetu kina Fbn Nuru2023 heartbeats Extrovert...
  3. Africa: Tanzania’s Tourism Sector Hits $4 Billion, Surpasses Gold as Top Forex Earner

    https://atqnews.com/africa-tanzanias-tourism-sector-hits-4-billion-surpasses-gold-as-top-forex-earner/#:~:text=Africa:%20Tanzania's%20Tourism%20Sector%20Hits,Top%20Forex%20Earner%20%7C%20ATQ%20News
  4. M

    Forex trading Vs cryptocurrency

    Habari wadau. Naomba kujua utofauti kati ya Forex trading na Cryptocurrency ili nijue nakaa wapi ili niwe vizuri zaidi
  5. Trading yangu ya kwanza ilikua KSH/TSH, hapa ndo utapata uelewa mzuri wa forex kuliko mentor uchwara

    Kwa wale ambao ni wageni forex na wanatamani kuingiza ela,, ni vema ukaanz ana pair KSH/TSH kwa lugha nyepesi unawezaa kuplay part kama wale jamaa wa border na ukatengeneza pesa nzuri, miaka 8 nyuma nlianzaga kutrade ksh/tsh mpakani lakini ata nliondoka bado nliendelea kutrade mjini, issue iko...
  6. Forex sio ngumu:fanya hivi ndio washikiria nchi ndio chawa wa CCM.

    Uwezi kulalamika pesa fulani au nchi imekuwa kikwakozo na biashara.Sasa Kuna watu ukiweka mada naomba washindane bei ya nyama ya ng’ombe kujibu mada tu. Maana inaweza kuwa betting
  7. Forex: Biashara ya Uchumi, Sio Betting

    Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au hata kuelewa mabadiliko ya pesa zao kwa sababu ya mfumuko wa bei, wengi hushindwa kujibu zaidi ya...
  8. Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.

    Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na kununua sarafu za kigeni. Mfano Kubadilisha Dola za Marekani (USD) kuwa Euro (EUR) au Shilingi za Tanzania...
  9. Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

    Akiongea na East Africa huyu kijana anayeitwa Sir Samwel anasema anaingiza hadi Milioni 50 kutokana na Forex
  10. Bei ya bitcoin ama hisa za CRDB pamoja na FOREX znapatikana vp? Twende pamoja

    Kwa wale ndugu zetu wa trading, hasa wa DSE na MT4/5, ulishawahi kujiuliza bei ya hizo securities zinapatikana vipi? >Bitcoin ni nini? Kuna majibu 2 Bitcoin ni aina mpya ya pesa inayotumia cryptography kama njia ya usalama wakati wa kuthibitisha miamala. Pia, wengine wanaweza kusema ni asset...
  11. N

    Dogo aliacha chuo ili afanye biashara ya forex! Mtaani kumekuwa kugumu anaomba tumsaidie arudi kuanza chuo tena

    Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje). Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa...
  12. Je, Unajua Kuna Aina Gani za Masoko ya Forex na Yapo Wapi?

    Watu wengi wamekuwa wakisikia kuhusu soko la Forex lakini wachache sana wanaelewa kuwa Forex si soko moja tu, bali ni mtandao mkubwa wa masoko yanayoendeshwa katika sehemu mbalimbali duniani. Hebu fikiria — kila kona ya dunia, kuanzia Sydney hadi New York, watu wanabadilishana fedha saa 24 bila...
  13. Kwanini watu wengi hufikiri forex ni betting, wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa

    Watu wengi wamekuwa wakilalamika hata kuona forex ni kama utapeli au betting sababu kubwa mapokeo ya watu ya mekuwa kinyume chake wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa. Sababu kuu kwa nini watu hufikiri forex ni betting Wengi huingia bila elimu wala mkakati mfano Mtu anaona app au video ya mtu...
  14. Forex experts tukutane hapa kujadili namna ya kutrade new Trump market

    Hali sio nzuri kwa upande wangu naweza kupandisha trade double lakini ikifika kuanzia saa 5 narudi nilipokuwa. Muds naomba kuweka link ili kunusuru traders https://youtu.be/5J01qKDAziM?si=fgGr9YmXU2BlCFxN Kiukweli hali ya sasa inalazimisha kuwa scalper 5min unaingia na kutoka kitu ambacho sio...
  15. Advantages za Aviator Online Gaming over Forex Trading na Betting

    Forex Trading, Aviator Online Gaming (Kindege) na Betting ni vitu tofauti lakini concept na outcomes zake ni kutengeneza au kupoteza pesa. Ni psychological game ambayo inafanya kazi. Kwa kutumia Formula ya Fibonacci Sequence ( i.e 1,1,2,3,5,8,13,21....) ambayo inatumika kwenye Forex Trading...
  16. In-Depth Investigation of Moving Averages for Trading Systems

    In-Depth Investigation of Moving Averages for Trading Systems Introduction: After two decades immersed in the ebb and flow of financial markets, I've seen countless trading strategies rise and fall. Moving averages, in their myriad forms, remain a cornerstone of technical analysis. However...
  17. A

    DOKEZO Hatari sana: Utapeli unaoenea kwenye biashara ya forex Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa na utaalamu wa masoko ya kifedha, inasikitisha kuona jinsi baadhi ya watu wameigeuza kuwa mtandao...
  18. Forex vs Betting

    Utofauti kati ya forex na betting ni upi?
  19. Miliki Sasa App/Site ya Kuuzia Digital Files Online - File Moja Uza kwa Wengi

    Want to own an app/site for Selling eBooks, PDFs, Magazines, Exams, Photos, Drawings, Music, Software, and More to thousands of customers online? We offer a ready-to-use web system that you can fully own! 📲 +255 657 685 268 🔥 Powerful Features Included: ✔ Instant Payments & Downloads –...
  20. Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

    Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…