Nadhani tactics ni kama nyenzo inategemea unataka kufanya nini na una nyenzo ya aina gani kwa kufanya nini kama ukikosa Kisu unaweza kutumia msumeno - lakini hauwezi kutumia Kisu ili kukata miti unahitaji Shoka...., Hivyo basi unanunua nyenzo kutokana na nini unataka kufanya
1) VERROU tactic...