Sargio Aguero: Football itamkumbuka kwa lipi?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Mwamba amelazimika kustaafu bila kupenda kufuatia kupatikana na matatizo ya moyo
Binafsi katika nyakati hizi toka 2008 hadi Sasa naamini dunia imepata namba 9 mahiri wa 11 tu
1.Zlatan Ibrahimovic
2.Sargio Aguero
3.Lowerndosk
4.Haland
5.Luis Suarez
6.Cavan
7.podosk
8.Toti
9.Benzema
10.Drogba
11.Etoo

Aguero nitamkumbuka kwa kufunga magoli mengi akiwa na man City na hata Atletico club de Madrid
Kati ya magoli nitayakumbuka Kuna moja Aguero aliingia Sub akafunga goli lilowapa city ubingwa wa kwanza
Na Kuna mechi man U alimpiga city 4-2 Aguero alipiga goli mbili classic
Binafsi namkumbuka kwa magoli yake ya kibabe
Uwezo wake wakugeuka na kushoot kwa nguvu
Hakika Aguero ni tofauti Sana na washambuliaji wakuprogramiwa

Wewe itamkumbuka kwa lipi?
 
Fake 9 bora kuwahi kuiona tangu nimeanza kuangalia soka la nje 1994.
 
Nimejikita 2008 mpaka Sasa
Sijataka kuwaleta hao wengine
Namwongelea Aguero kwenye career yake
Nani hapo kasingiziwa??
Ulitaka umuome kane??
Anyway utamkumbuka Aguero kwa lipi
 
Mwamba amelazimika kustaafu bila kupenda kufuatia kupatikana na matatizo ya moyo
Binafsi katika nyakati hizi toka 2008 hadi Sasa naamini dunia imepata namba 9 mahiri wa 11 tu
1.Zlatan Ibrahimovic
2.Sargio Aguero
3.Lowerndosk
4.Haland
5.Luis Suarez
6.Cavan
7.podosk
8.Toti
9.Benzema
10.Drogba
11.Etoo

Aguero nitamkumbuka kwa kufunga magoli mengi akiwa na man City na hata Atletico club de Madrid
Kati ya magoli nitayakumbuka Kuna moja Aguero aliingia Sub akafunga goli lilowapa city ubingwa wa kwanza
Na Kuna mechi man U alimpiga city 4-2 Aguero alipiga goli mbili classic
Binafsi namkumbuka kwa magoli yake ya kibabe
Uwezo wake wakugeuka na kushoot kwa nguvu
Hakika Aguero ni tofauti Sana na washambuliaji wakuprogramiwa

Wewe itamkumbuka kwa lipi?
Mwamba wa Argentina aliyetikisa nyavu za EPL kibabe
 
Kwanza nianze kwa kuungana na wewe katika kufungua uzi kwa ajili ya kumkumbuka Kun, ila nitapingana na wewe sehemu moja kwenye list yako, me sidhani kama totti na poldoski wanastahili kukaa katika majina ya namba 9, hasa totti ni kama Rooney sio natural namba 9 ila Wana uwezo mkubwa sana wa kufunga

Pia siku hiyo Aguero hakutokea sub, jamaa alianza mwanzo mwisho ila pass ya goal ilitolewa na Mario baloteli alieingia akichukua nafasi ya Teves kama sikosei, nakumbuka Sana hii game maana nilikuwa nimetoka kufanya mtihani wa mock wa phys nimechakaa akili hadi mwili, nikafikia mbele ya television 2 zinazoonesha game ya city na utd, Rooney dakika za mapema kabia akiwatanguliza utd mbele ya Sunderland

Dakika za lala salama Dzeko akaweka kamba, moyo ukaanza kudunda na kufanya ninyanyuke kwenye seat ikiwa nimekaa mbele, nilikula bonge la kibao nikiambiwa nikae chini, sikuwa na namna ilibidi nikae tu kinyonge

ohhh dakika ya 95 sijui ile ndipo Mario alipoingia ndani ya box na mpira ila akaanguka na hakukata tamaa akausukuma ule mpira huku akiwa chini na kumkuta Kun Sergio, akadeshi ya kwanza akavuta,akadeshi ya pili akavuta,akadeshi ya tatu kifatacho ni maneno ya mtangazaji tu Aguerooooooo ohhhhh you can't believe this...!

Hii ni kumbukumbu yangu bora zaid kwa Kun Aguero maana alifanya Jambo ambalo lilinipa furaha sana na ata kusahau balaaa lililonikuta katika chumba cha mtihani na hatimae nikapata nguvu ya kwenda kujisomea Tena

Bila umambo mengi wa Pep pamoja na majeruhi ya mara kwa mara naamini jamaa angefunga magoli zaidi ya Rooney pale EPL,jamaa alikuwa na stamina sana kuna maeneo unasema hawezi kupita au kufunga ila atakachofanya huwezi kuamini, alikuwa so unpredictable, so sad maradhi yamemtoa mchezoni ikiwa bado tunamuhitaji
 
Aguero alikuwana uwezo mkubwa sana to akiwa Argentina na Independente.

Walivyomuuza wakapata nafasi kutumia pesa kujiendeleza, kujenga uwanja.

Ni legend wa premier league. Kama unamuweka Haaland Podoski, Lewadonski, Benzema kwenye list yako lazima umuweke Mbappe.

Mfungaji wa tatu kwa magori mengi Ufarance bingwa wa Kombe la dunia,miaka 22.
 
Mwisho wa siku ni maoni yangu
 
Kwanza nianze kwa kuungana na wewe katika kufungua uzi kwa ajili ya kumkumbuka Kun, ila nitapingana na wewe sehemu moja kwenye list yako, me sidhani kama totti na poldoski wanastahili kukaa katika majina ya namba 9, hasa totti ni kama Rooney sio natural namba 9 ila Wana uwezo mkubwa sana wa kufunga

Pia siku hiyo Aguero hakutokea sub, jamaa alianza mwanzo mwisho ila pass ya goal ilitolewa na Mario baloteli alieingia akichukua nafasi ya Teves kama sikosei, nakumbuka Sana hii game maana nilikuwa nimetoka kufanya mtihani wa mock wa phys nimechakaa akili hadi mwili, nikafikia mbele ya television 2 zinazoonesha game ya city na utd, Rooney dakika za mapema kabia akiwatanguliza utd mbele ya Sunderland

Dakika za lala salama Dzeko akaweka kamba, moyo ukaanza kudunda na kufanya ninyanyuke kwenye seat ikiwa nimekaa mbele, nilikula bonge la kibao nikiambiwa nikae chini, sikuwa na namna ilibidi nikae tu kinyonge

ohhh dakika ya 95 sijui ile ndipo Mario alipoingia ndani ya box na mpira ila akaanguka na hakukata tamaa akausukuma ule mpira huku akiwa chini na kumkuta Kun Sergio, akadeshi ya kwanza akavuta,akadeshi ya pili akavuta,akadeshi ya tatu kifatacho ni maneno ya mtangazaji tu Aguerooooooo ohhhhh you can't believe this...!

Hii ni kumbukumbu yangu bora zaid kwa Kun Aguero maana alifanya Jambo ambalo lilinipa furaha sana na ata kusahau balaaa lililonikuta katika chumba cha mtihani na hatimae nikapata nguvu ya kwenda kujisomea Tena

Bila umambo mengi wa Pep pamoja na majeruhi ya mara kwa mara naamini jamaa angefunga magoli zaidi ya Rooney pale EPL,jamaa alikuwa na stamina sana kuna maeneo unasema hawezi kupita au kufunga ila atakachofanya huwezi kuamini, alikuwa so unpredictable, so sad maradhi yamemtoa mchezoni ikiwa bado tunamuhitaji
Nakubaliana na wewe kwa sehemu kubwa ila ujue Podosk ni 9 kabisa ila style yake ya uchezaji ni Kama Thierry Henry ama Luis Suarez
 
podosk???? mleta mada ueleo wako wa football ni mdogo sana, sasa huyo nae ni mchezaji wa maana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom