Watalaam, nataka kuvuta hiki kifaa cha kuitwa food processor kwa ajili ya kurahisisha mambo jikoni, hofu yangu mchina kachafua sana kwenye electronics na bidhaa zake fake, ila nimefanya kautafiti kadogo nikaona kati ya Salter na westpoint naweza kuchukua moja wapo lakini sijajua ipi inafaa...