fomu

Fotomuseum Antwerp, also known as FOMU, is a museum of photography in Antwerp, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

    Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika. Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili. Wananchi walio wengi wamekumbwa na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Delivery note, invoice, receipt voucher, local purchase order , issue voucher, form namba 2 na fomu ya uhakiki wa vifaa; mwenye uelewa wa hizi nyaraka

    Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka. Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya kishenzi, mtu anapoomba mchange ili mpate huduma ya maji au umeme mnamwacha peke yake ila akishapambana mnakuwa wa kwanza kujaza fomu

    tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme. Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mpina arejesha fomu ya kuomba UNEC wa CCM Mkoa wa Simiyu na UNEC CCM Viti 15 Tanzania Bara

    a
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania imetia saini fomu ya kujiunga na muungano wa Chakula Shuleni

    Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya ya mwanafunzi na maendeleo yake kitaaluma. Mhe. Kipanga amesema hayo jijini Dodoma katika hafla ya...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali wanakwepa kujaza fomu za mali wanazomiliki,lmimi ni nani nitaje nyumba zangu

    Salama wandugu Kuna baadhi ya viongozi wa umma na mawaziri na wabunge mpaka dakika hii bado hawajajaza fomu za Mali zao wanazomiliki unafikiri kwa nini, iweje sensa mtake kujua mwananchi anamiliki nyumba ngapi ?hapa mnatwanga maji kwenye kinu hata kama mtapata taarifa zitakuwa za uwongo ,Mimi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ubunge EALA ni Vita kali CCM. Mpaka sasa ni makada 64 tayari wamevuta fomu

    Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo. Idadi hiyo inaashiria mchuano...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka : Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wanaohitaji Ubunge wa EALA "East African Legislative Assembly "sasa ruksa kuchukua fomu.

  9. JamiiForums Tanzania Kuzuiwa kwa fomu 2c: Mapato ya mauzo ya dawa Muhimbili yaongezeka hadi billioni 14

    Kufuatia serikali kupitia wizara ya afya kuzuia matumizi ya fomu ya dawa namba 2C ya NHIF; Kwa mujibu wa waziri wa afya, mapato ya dawa ktk hospitali ya Taifa Muhimbili yameongezeka kutoka wastani wa billion 2-4 kwa mwaka hadi kufikia wastani wa billioni 10-14. Fomu 2C ya mfuko wa taifa wa bima...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi ya Fomu ya 2C inayotumika kuchukua dawa maduka ya nje

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana kuna udanganyifu mkubwa unafanyika. Fomu ya 2C ni karatasi inayoandikwa dawa nakupatiwa mgonjwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatumia nguvu kubwa kutaka wanachama wake kujaza fomu TUF 15?

    Chama Cha walimu Tanzania, kwasasa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi walimu kujaza form ya TUF 15 ambayo ukiisoma inataka mwanachama aijaze ili kuridhia makato yanayokatwa na mwajiri kwenda CWT. Swali ninalojiuliza kama makato yao yamekuwepo miaka yote Tena wakati mwingine bila ridhaa ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

    Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi. Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia. Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati. Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
  13. JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro ameharibu uchaguzi wa ndani kwa kuchukua fomu za wagombea wa Kata zote kabla hazijajadiliwa

    Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022, tena ukizingatia kuwa tangu uteuliwe kuwa Katibu mkuu wa CCM huu ndio uchaguzi wako wa kwanza, nenda Jimbo la Hai ukajifunze somo la uchaguzi wa CCM kutoka kwa Katibu wa CCM wa wilaya ambaye...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyevuliwa Umeya Moshi autaka tena, achukua fomu kuomba upya

    Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine. Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura...
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

    Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka. Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge wa jimbo la Hai ofisi ya CCM ulikochukulia na kurudishia fomu za Ubunge haifanani na hadhi yako

    Kichwa cha habari kinajitosheleza. Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai. Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM...
  17. JamiiForums Tanzania Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  18. JamiiForums Tanzania Canossa (Mshindi wa 5 kitaifa, form IV 2018) kuwa shule ya kuigwa kwenye matumizi ya teknoloja ya ufundishaji

    Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ntashindwa kulipata dole gumba la mdhamini huyu,nawezaje kumuondoa na fomu nimepakua?

    Nimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000 Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata. Nawezaje kubadili mdhamini..?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, hizi Sarakasi ninazoziona katika Uchukuaji wa Fomu za Chaguzi ndogo (za awali) za CCM zinaashiria nini kwa 2025?

    Kuna Wagombea wanafichiwa Fomu, kuna Wagombea wanatishwa Wasigombee, kuna Wagombea wanachafuana, kuna Wagombea wanawadharau Wenzao na kuna Wagombea pia wanasema CCM ni yao hivyo Washamba Washamba wasipoteze muda Wao kutaka kuchukua Fomu na Kugombea. CCM kuweni sana Makini na yaliyopo!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…