fomu

Fotomuseum Antwerp, also known as FOMU, is a museum of photography in Antwerp, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. GenuineMan

    Hawa vigogo wamechukua Fomu Ubunge.??

    NAomba kufahamu political status ya hawa waheshimiwa. 1. Job Yuston Ndugai 2. Bashiru Ali 3.Paramaganda Aidan Mwaluko Kabudi 4. Joyce Ndalichako 5.Mzee Mkuchika 7.Dorothy Gwajima.
  2. Zanzibar-ASP

    PM Kutangaza bungeni kuwa angechukua fomu halafu leo kaogopa: Hivi Majaliwa alikuwa hajui au alikuwa anatikisa kiberiti?

    Hatimaye kila kitendawili cha hatma ya kisiasa ya Majaliwa katika nafasi ya waziri mkuu kimehitimishwa rasmi leo baada ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwa 'masikitiko' makubwa kutangaza rasmi kuwa hatachukua tena fomu za kugombea ubunge wa jimbo la Ruangwa, na hivyo kufuta ndoto zote...
  3. THE FIRST BORN

    Hii Chukua Chukua Fomu haina tofauti na ile ya 2020

    Hakuna Jipya Chini ya Jua hii hali ya kila mtu kutia Nia ya Ubunge kwa Chama cha Kijani hata 2020 ilikua hivihiv yani ilikua kituko kila mtu aliutaka ubunge. Hadi Kina steve Nyerere nao walitia Nia. Kwa wenye Akili mtaunganisha doti hio ni michezo kile kipindi kila mtu alitia Nia kuaminisha...
  4. R

    GE2025 Judith Lukunye achukua fomu kuwania Udiwani Goba

    Judith Audax Lukunye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania udiwani kupitia Chama cha MapinduI ndani ya kata ya Goba wilaya ya Ubungo Soma pia...
  5. MamaSamia2025

    Ninawapongeza wanaCHADEMA kwa kuacha harakati zao kwa muda ili kufuatilia zoezi la uchukuaji fomu CCM

    Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
  6. GENTAMYCINE

    Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  7. and 998 others

    Dr Stergomena Tax ashauriwe kuchukua Fomu Jimbo la Kawe

    Jimbo lipo wazi na hapo jimboni ndio kambi na hospitali kubwa ya jeshi ulipo hivyo uhakika
  8. DuaZaMama

    GE2025 Thom Mnkondya ajitosa ubunge jimbo la Tunduma

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Mtaalamu wa ardhi na Mjasiriamali Kijana Bw. Thom Mnkondya, Leo Jumanne Julai Mosi, 2025, amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tunduma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Ofisi za CCM Wilaya ya Momba. Thom, ambaye amejizolea...
  9. SSH2025_2030

    Jerry Muro kapigwa ganzi haelewi achukue Fomu Jimbo gani?

    DC Mstaafu kapigwa ganzi kelele anapigia KAWE Fomu anachukulia Hai Maombi ya Jasusi Mkuu wa KAWE hayatamuacha salama
  10. mcTobby

    Kila nikiwatathmini wanaochukua fomu za kugombea ubunge,Najifunza hili jambo

    Wadau,salamu wote. Ipo hivi kila nikifuatilia aina ya watu wanaochukua hizi fomu ,sio kwamba wana interest sana na kutatua matatizo ya watu na kuleta maendeleo. NEVER. Wengi wa hawa watia nia wanatafuta kitu kinaitwa "political muscle" au nguvu ya kisiasa kwa ajili ya Kuziwekea ulinzi...
  11. Azim Sokoine

    Kesho nachukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ruangwa

    Habari wakuu, Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo. Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
  12. Raia Fulani

    Uchukuaji fomu usiwatishe. Ni mradi kama mingine

    Natatizwa na wanaohofia hili wimbi la uchukuaji fomu, hasa za ubunge kwa tiketi ya ccm. Ni haki yao kulingana na katiba yao na ilani yao. Kadhalika ni takwa la kikatiba mradi tu ujue kusoma na kuandika. Binafsi naamini kuwa vyombo vya uteuzi ndani ya ccm havitafanya makosa kama awali. Bunge...
  13. Pfizer

    Rais Samia: Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa CCM wanaoendelea kuchukua fomu

    Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini, kuchukua fomu za maombi ya kugombea nafasi za uongozi katika vyombo vya dola. Hatua hii ndiyo msingi wa maandalizi ya kwenda kwa wananchi, kuwaomba ridhaa...
  14. W

    GE2025 Fomu ya ubunge CHAUMMA ni Tsh. 50,000

    Wakuu Sasa mshindwe nyinyi tu. CHAUMMA imetangaza rasmi kufungua dirisha la uchukuaji wa fomu za ubunge na udiwani kuanza hapo kesho Julai 1, 2025 huku gharama ikiwa ni Sh. 50,000 kwa ubunge. Ubunge viti maalum - Sh. 50,000 udiwani viti maalum - Sh. 10,000 Ujumbe wa baraza la wawikilishi -...
  15. M

    Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

    Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP. Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
  16. F

    Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  17. W

    PreGE2025 Sophia Mwakagenda ajitosa kuomba ridhaa jimbo la Rungwe kupitia CCM

    Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Rungwe kupitia CCM. Pia soma Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda atangaza...
  18. S

    Mangungu Jana amechukua fomu kimya kimya Kilwa Masoko

    Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
  19. M

    Ndiyo maana Gwaji Boy kachukua fomu, kumbe kuna asiyempenda meza itapinduliwa soon?

    ...... ...... Ningeshangaa, mbali na kutamkiwa wazi kuwa hatakiwi, leo kapata wapi ujasiri tena wa yeye kwenda kuchukua fomu? Kumbe kuna mapinduzi ndani ya chama la mapinduzi? Watajuwana wenyewe huko
  20. S

    Bw Murtaza Mangungu Jana jumamosi amechukua fomu kimya kimya kugombea ubunge Kilwa Kaskazini

    Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
Back
Top Bottom