fomu

Fotomuseum Antwerp, also known as FOMU, is a museum of photography in Antwerp, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzanians

    Alichokifanya Gwajima kwenda kuchukua fomu ya ubunge ni moja ya mambo ya hovyo sana

    Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada...
  2. Alloyce PR

    Wachambuzi wa X, Wakimbiaji wa Fomu!😆

    "Wasomi wetu na wale wanaojipachika medali za 'tuna uchungu na nchi', wakisikia muda wa kuchukua fomu unakaribia, huingia mitini kama mwizi wa kuku aliyekanyaga msumari, hukaa kimya, vichwa chini, sawa na beberu aliyevishwa viatu ili asichomwe mwiba! Ukishazuka uongozi usiyotimiza matakwa ya...
  3. T

    Ili tule pesa ya Shabiby kura ya maoni Gairo ni kumshindanisha na Prof. Joel Mmasa mgombe mwenye nguvu. Tutamchangia pesa ya fomu Profesa.

    Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Bovan Mwakyambiki achukua Fomu kutia nia Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa

    Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bovan Mwakyambiki achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025. Akizungumza mara baada ya Kuchukua Fomu hiyo, Bovan amesema kuwa Hatua hii si tu ya kisiasa, bali ni ishara ya ujasiri, utayari na...
  5. MSAGA SUMU

    Pasco Mayalla kubadili upepo, aelekea Mbeya kuchukua fomu.

    Taarifa hii imenifikia asubuhi hii. MwanaJF mwenzetu Pasco Mayalla amechukizwa na ushindani mdogo wa kisiasa uliopo katika majimbo ya Dar es Salaam na ameamua kuelekea Mbeya kugombea ubunge. Ndugu Mayalla anatajwa kama moja ya wanasiasa nguli na mwenye maamuzi magumu kisiasa kama alivyo na...
  6. MASHUKE ORIGINAL

    Leonard Mahenda Qwihaya a.k.a Manguzo açhukua fomu kugombea ubunge jimbo la Ilemela kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.

    Mjumbe wa halmashauri kuu Mnec Leonard Mahenda Qwihaya achukua fomu kugombea jimbo la Ilemela. Mama Mabula ajiandae kuachia jimbo.
  7. W

    GE2025 Khalif Ifn Karim achukua fomu ya kugombea udiwani kata ya Upanga Magharibi

    Mdau wa Michezo nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vijana kata ya Upanga Magharibi Khalil Ifn Karim amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani kata ya upanga Magharibi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  8. Dr Adam Francis

    GE2025 Mafuriko ya uchukuaji fomu ni kipimo cha nguvu ya CCM

    Nimepitia mitandao ya kijamii leo, na habari zilizotamalaki ni makada wa CCM kuchukua fomu. Ni wazi sasa wimbo wa "Tunazima zote, tunawasha kijani" leo umepata maana halisi. Mwitikio huu mkubwa unatoa uthibitisho wa ukweli wa takwimu kuwa hiki ndicho chama chenye wanachama wengi zaidi nchini...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Catherine Magige achukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia CCM, Arusha

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Catherine amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi, Juni 28, 2025...
  10. W

    GE2025 Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo, Shinyanga

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo. Amechukua fomu hiyo leo Juni 28,2025 katika Ofisi za CCM Kata ya Ngokolo huko mkoani Shinyanga. Zoezi la uchukuaji fomu katika Chama Cha Mapinduzi CCM limeanza leo na watia nia mbalimbali...
  11. W

    GE2025 Shaban Nkunya ahukua fomu jimbo la Kawe kupitia CCM

    Hemed Shabani Nkunya, Mfanyabiashara na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbweni Mpiji mkoani Dar es Salaam ametia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kawe mkoani humo kwa tiketi ya CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC Mhandisi Dkt. Gwamaka Mafwenga Achukua fomu kutia nia ubunge jimbo la Rungwe

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Dkt. Gwamaka Samwel Mafwenga leo, Jumamosi Juni 28.2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Rungwe...
  13. The Zanzibar Echo

    Tanzania: Viongozi waanza kuchukua fomu za ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
  14. PAYE

    GE2025 Richard Kasesela achukua fomu ya Ubunge Rungwe, Mbeya

    Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya, Jimbo hilo ambalo lilikokuwa linaongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Anton Mwantona. Jimbo hilo linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke na...
  15. Parabolic

    PreGE2025 Naghenjwa Kaboyoka wa CHADEMA atimkia ACT Wazalendo

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam. Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni. Mwaka 2020 Kaboyoka...
  16. Liutenant

    Nitasimama na Joel Nanauka kama atachukua fomu ya ubunge wa Mtwara mjini

    Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili. Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali Shehe THE BIG SHOW kipindi hiki msikosee
  17. GENTAMYCINE

    Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
  18. L

    Uzi Maalumu Kwa Ajili ya Matukio Yote Ya Uchukuaji na Urejeshaji wa Fomu Za Ubunge Kupitia CCM 2025.

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niweke uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya matukio yote ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za Ubunge kupitia CCM Katika Majimbo yote Tanzania Bara. Hii itasaidia kufahamu nani na nani wamechukua Fomu sehemu Fulani. Lakini pia baadaye kutakuwepo na Uzi wa Majina...
  19. M

    CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  20. DuaZaMama

    GE2025 CCM Moshi: Fomu ya Ubunge ni 500,000 na Udiwani ni 50,000

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Vijijini kimewaita wanaotaka kugombea ubinge,udiwani na viti maalum kujitokeza kuchukua fomu huku wakitaja gharama ni Sh.500,000 na 50,000. Aidha,kimepiga marufuku wagombea kuambatana na wagombea,shamrashamra za matarumbeta ngoma,misafara ya watu na...
Back
Top Bottom