• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

financial services

 1. M

  What your Banker must give you monthly

  Taxing services has never been simple. For example, applying value-added tax (VAT) on financial services has been a practical nightmare. And when services and transactions are provided electronically, the problem becomes even worse. Think of transfer of your money from your bank account to your...
 2. princemikazo

  Swali la Kizushi kwa Machalii.

  O..!,,Oi Inakuaje Wakubwa.?Ok ngoja niende moja kwa moja kwenye swali...Et Wanaume wenzangu Ukimsalimia dem/Madem Na unaona kabisa wamekusikia na wamekausha..Kuwa tu Mkweli Rohoni huwa unaongea vitu gani??? @ChaliiYaKijengeJuu.
 3. princemikazo

  Nitapiga mtu nimpoteze aseee.!!

  "Hivi vibishoo vis*nge sana,Eti vinatembea vimebeba vibegi vinaweka na nywele dawa,vimenyoa viduku,Headphone kila saa masikioni!Simbilisi kabisa..!!Eti swagga!?alaf vinaibuka Nyumbani kuvizia wadogo zetu Qumamake yani nikikashika nanyoa kiduku asee Tena kwa bati,Ndorobo kabisa,Kiruu!!"Hiyo ni...
 4. princemikazo

  Ushauri: Kaka angu anateseka.

  Machalii wa humu Eroo Suphai, Ma mamiloo Takwenyaa,, Okay ngoja nichumpe mokomoko kwenye point, Nna kaka angu nnaemfata kabisa yeye ni wa pili kutoka mwisho kuzaliwa uku mimi nikiwa ndo wa mwisho.... Huyu broo ana mke ambae kamuoa mwaka jana tu apa mwezi kama wa9 ivi... Mkewe ni mpare wa Same...
 5. princemikazo

  Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

  Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza. 10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3 9: Jidenna,Nigeria billion 2.3 8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu) 7...
Top