Unaitumia kila siku na unaishi ndani yake siku 7 za wiki, rangi 7 za upinde wa mvua juu ya kichwa chako, na noti 7 za muziki kwenye kila wimbo uliowahi kukutoa machozi.
Lakini swali ambalo watu wengi hawajawahi kujiuliza ni hili: Kwanini namba 7? Kwanini kati ya namba zote zilizopo duniani, hii...