fikra

  1. M

    Tusipinge kukosoana kwa kuwakosoa wanaokosoa. Tusiwateke, kuwatesa wala kuwaua wakosoaji. Tuteke fikra zao

    UZALENDO SI NINI? Leo 5/2 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa chama tawala cha CCM. Kina rekodi nchini na barani Afrika lakini kubwa, ndicho chama kilichoasisi na kuhubiri UZALENDO katika taifa hili. Bado wanao au hawana, lakini neno UZALENDO lilikuwa ni tunu ya TANU na CCM: Havikuachana. Neno...
  2. Allen Kilewella

    Tatizo letu watanzania siyo rangi ya mtu, bali uduni wa fikra

    Kuna rafiki yangu analalamika kuwa uchumi wa nchi yetu umemilikiwa na watu ambao kwa mtazamo wake anadai siyo watanzania. Anadai miradi yote mikubwa kwa sasa nchini inafanywa ama kumilikiwa na Waarabu, wahindi, wazungu na hivi karibuni na wachina na wale weusi wachache wanaoonekana ama ni...
  3. Desierto

    Zamani ukisikia mjane fikra inakutuma ni mama wa makamo

    Hata vitabu tulivosoma au majarida yalikuwa yanatuonesha kwamba ni mama watu wa miaka kuanzia 35 huko. Ila sasahivi wajane ni vibinti vya umri mdogo kabisa yaani vingine hata 18 havina kabisaa.
  4. CHAGOSI GERALD

    MAKALA YA SABA “JKT na Vita Dhidi ya Uporaji wa Fikra za Vijana”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakipotei kwa njaa, hakipotei kwa maradhi, hakipotei kwa umasikini tu. Kizazi cha taifa hupotea pale fikra zake zinapotekwa na kupotoshwa. Hii ndiyo hatari kubwa inayotukabili leo. Tazameni vyombo vya habari vilivyotujaa ndani ya nyumba zetu. Vijana wetu wakiwasha...
  5. Prof_Adventure_guide

    Wamezuia wajibu wetu wa Kikatiba, lakini hawawezi kuzuia fikra zetu

    Leo hii, vijana nguvu kuu ya taifa, chemchemi ya matumaini tumezuiliwa kutimiza wajibu wetu wa kikatiba. Tumezuiwa kuzungumza, kuuliza, kushiriki, na hata kufikiri kwa uhuru tuliozaliwa nao. Swali linabaki: Nchi hii ni ya nani? Kwa nini tunaishi kama wageni katika ardhi tuliyoirithi kwa damu na...
  6. C

    CCM msitupigie kelele mnapo kuwa mnagonga meza kwa shangwe pale bungeni huwa mnaona mnatunga sheria za kuwakomoa CHADEMA na fikra zinakomea hapo

    Mkiwa na viongozi wasio na maono haya ndio madhara yake, mnapo kuwa kwenye vikao vya chama mnapitisha mambo huwa hamuwazi nje ya kikao hicho , na manapo kuwa mnapitisha sheria za hovyo pale bungeni kwa umoja na mshikamano mkubwa kabisa huwa hamuwazi nje ya pale.sasa mnatulalamikia nini huku...
  7. DuaZaMama

    Deusdedith Soka: Unaweza ukamuua Soka Lakini huwezi ukauwa fikra ambazo mimi ninafikiri, March 13, 2024

    Leo nimewaza tu nakumkumbuka kijana Deusdedith Soka ambaye aliwahi kusema "Unaweza ukamuua Soka Lakini huwezi ukauwa fikra ambazo mimi ninafikiri. Kwa sababu fikra zangu ni kupigania haki. Hata kama nikifa leo, kesho au kesho kutwa, ninaamini Fikra zangu zitaendelea kuishi. Wako mamilioni ya...
  8. B

    Msaada wa fikra Kwa wachumi

    Hivi kama una mkopo bank, na hiyo bank ikafilisika. Ni Nini hatima ya mkopo uliokuwa nao?
  9. D

    Kwa Wasabato tu na wenye Fikra Huru

    Wapenda katika bwana salam kwa jina la bwana wetu yesu kristo!! Ukihisi hujakua kihisia, au huwezi kushkilia Mihemko, au re avaluate mapokeo yako Logically tafadhali pita nimelileta kwenu kwasababu binafsi limenishinda!! Nimekuwa na mwanafunzi wa Bible kwa muda sasa karibu miaka mitano au...
  10. papag

    Fikra hadidu ya Masoud Kipanya

    Unasemaje?
  11. KENZY

    Watanzania badilisheni mitazamo kwenye fikra ndo mpate mabadiliko!

    Wanasema "Mali bila daftari huisha bila habari!". Leo ngojeni niwachane watanzania wenzangu acheni kukaa kizwazwa!, kuna watu mmekaa humu kufuatilia nini kinajili nakusubiri upate taarifa mbaya kwa yale usiyoyapenda na usiempenda!. Kama unayahitaji mabadiliko kwa namna hiyo ndugu saa inafanya...
  12. ELI COHEN

    JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  13. kalisheshe

    Waandishi waliomuhoji ndg. H. Polepole ni wapuuzi , walidhihirisha ufinyu wa fikra za watanzania wengi

    Kulikua na maswali mengi mazuri ya kumuhoji ndg polepole ila waandishi walituangusha hasahasa yule zungu. Nimesikitika sana
  14. Stephano Mgendanyi

    Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa

    Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa Na John Jayros Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wa Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema akichaguliwa tena atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo kuboresha uchumi baada ya...
  15. DuaZaMama

    James Mbatia: Upinzani wa fikra sio uadui

    Mwana siasa nguli na Mwanachama wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa Watanzania kuenzi misingi ya majadiliano yenye hoja badala ya kuendeleza chuki na mifarakano inayotokana na tofauti za kimtazamo. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mbatia amesema kuwa hali...
  16. Stability

    Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc. Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
  17. Elly official

    Dini ni uongo unaopumbaza na kuendeleza fikra za kitumwa

    1. UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, dini imekuwa na nafasi kubwa katika maisha ya watu—ikiwapa matumaini, maadili na mwongozo wa maisha. Lakini katika upande wa pili wa sarafu, dini pia imekuwa kifaa cha kihistoria cha udanganyifu, unyonyaji, uongo, na utumwa wa kiakili. Kwa bara la...
  18. The Burning Spear

    Mtu Mwenye fikra finyu pekee ndo anaweza kusema wakenya wanaharibu nchi yao

    GT Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao. Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri ambalo halijapitia madhira kama ya Kenya. Wanachofanya wakenya ni kutafuta kuheshimiana ili serikali...
  19. W

    Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  20. Tormenter

    Umri wako sio gereza, acha kujihukumu na ondoa hiyo fikra

    USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO... Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu— Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani. Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako...
Back
Top Bottom