fedha

  1. J

    Chini ya Rais Samia kiasi cha fedha za mishahara kwa mwezi kimeongezeka kutoka TZS608bn mwaka 2020 hadi 856bn mwaka 2025

    Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja...
  2. A

    Wazo la kukopa fedha benki

    Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
  3. Kwa nini chadema imefanya siri majina ya watu waliochanga fedha za tonetone

    Ni vyema vyama vya siasa vikawa na uwazi kuhusu michango wanayopokea. Najiuliza chadema wana hofu gani mpaka wanakusanya fedha kwa siri kubwa sana?
  4. Mashine ya kuhesabia fedha

    Naomba kusaiwa kuhusu hizi mashine za kuhesabu fedha. Nahitaji kununua lakini sijui aina mzuri na bora na inayodumu kwa matumizi ya wakala na bajeti yangu kati ya laki 5 mpaka milioni moja. Naomba msaada wenu wadau maana nimetajiwa aina mbili Digi max na cassida ndiyo nimechanganywa zaidi kumbe...
  5. W

    Alaghahiwa na Wi-Fi ya uongo ya uwanja wa ndege, apoteza fedha na kukosa ndege

    Mtu mmoja alikwama kwenye uwanja wa ndegekatika jiji fulani, akisubiri ndege ya kuunganisha safari. Kama ilivyo kwa wengi wetu, alitafuta WiFi ya bure ili kupotezamuda. Akaona WiFi inayoitwa “Free Airport WiFi” na akajiungabila kufikiria mara mbili. Ndani ya dakika chache baada ya kujiunga...
  6. GE2025 Maigizo au Utakatishaji fedha? CCM njooni hapa tusemezane

    Hatua ya Kwanza Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme Hatua ya pili Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+...
  7. KUMBUKIZI | Zitto: Kikwete aliniita akaniambia ukisema leo unakuja CCM kesho nakupa 'Uwaziri wa Fedha'

    Mwanasiasa mkongwe na Kiongozi wa ACT Wazalendo aliyemaliza muda wake ameeleza kuwa sababu kubwa ya kuanzisha ACT-Wazalendo ilitokana na changamoto zilizuibuka katika chama alichokuwamo yaani CHADEMA mwaka 2012 baada ya kuanza kuundiwa mizengwe. Anasema alipofukuzwa katika chama hiko moja ya...
  8. GE2025 Zitto: Wafanyabiashara zamani waliichangia CCM kisirisiri kwa hofu ya kashfa zao kuibuliwa Bungeni

    Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao. ---- CCM...
  9. Jinsi wafanyabiashara watakavyorejesha fedha walizoichangia CCM

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free lunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya pesa kwa mbwembwe na hadharani watarejeshaje fedha zao walizochanga? Tukumbuke kwamba hawa...
  10. Mnatuchangisha fedha Ili mpate ajira mpya?sisi mlituchangia wakati tumeitwa na Tamisemi?

    Jibuni swali nyinyi maccm tafadhali
  11. K

    GE2025 Wadaiwa kukutwa na fedha walizotaka kuzigawa kwa Wajumbe Jimbo la Ulanga - Morogoro, TAKUKURU yaingilia kati

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wilayani Ulanga inawashikilia watu wanne wanaodaiwa kukutwa na mamilioni ya fedha zinazoaminika kuwa zililengwa kugawiwa kwa Wajumbe Wapigakura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Ulanga. Vyanzo vya habari vinaeleza kuwa...
  12. Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

    Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone. Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya...
  13. KERO Responded Wakulima wa tumbaku Mpanda Kati walalamikia makato ya 3% na kutolipwa fedha zao

    Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kutoa maagizo kwamba kabla ya siku kuu ya Nanenane Wakulima wote...
  14. A

    KERO Walimu Halmashauri ya Wilaya Itilima – Simiyu tumekatwa fedha vyama viwili CHAKUHAWATA na CWT

    Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinyume na taratibu za utumishi. Taratibu zinaeleza kuwa Mtumishi atajaza fomu...
  15. Kuomba Bank statement ina cost fedha?

    Wadau vipi kuomba bank statement inahitaji kulipia..? Kama kuna kulipia ni shingapi..?
  16. M

    Polepole: "Offspring" (mtoto) wa mwanamtandao ambaye ni waziri anazunguka nchi hii kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030

    Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030. Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao. Hii ngoma ni hatari sana.
  17. Leo hii ukipata kiasi gani Cha fedha utaachana na kuajiriwa?

    Leo hii ukipata kiasi gani Cha fedha utaachana na kuajiriwa? 👇👇👇👇👇👇
  18. Tiss,BOT,Hazina na Wizara ya Fedha Dira ya Maendeleo 2025/2050 punguzeni riba ya Mikopo hadi 12%

    Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia. Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
  19. Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  20. GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…