fedha

  1. H

    JamiiForums Tanzania Fedha za Marathon zilete tija kwa walengwa ~ Dkt. Mwigulu Nchemba

    FEDHA ZA MARATHON ZILETE TIJA KWA WALENGWA ~ Dkt. MWIGULU ▪️Serikali kuendelea kuboresha miundombinu wezeshi Mkoani Dodoma. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka wizara na taasisi zinazonufaika na fedha za NBC Marathon zihakikishe zinatumika kwa uwazi na kwa kuzingatia thamani ya fedha...
  2. JamiiForums Tanzania Unatamani kuanza biashara ya viatu lakini hujui pa kuanzia? Huu ndio mwongozo muhimu unaohitaji kabla ya kuwekeza fedha zako

    Biashara ya viatu kwa rejareja ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu viatu ni hitaji la kila siku. Watu hununua viatu kwa ajili ya kazi, shule, michezo, sherehe, safari na matumizi ya kawaida. Hata hivyo, mafanikio hayategemei kuwa na viatu vingi pekee. Unahitaji kuelewa wateja...
  3. JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi: Mkandarasi wa Songea - Masasi amelipwa Bilioni 33 lakini kilichopo site hakiendani na fedha

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ametoa onyo kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Songea hadi Masasi kupitia Tunduru kilovoti 220 na kumtaka Mkandarasi huyo kuongeza kasi ya utekelezaji wa Mradi ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati uliopangwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Angalia utakatishaji wa fedha unaokuja

    CHAUMMA hawana wanachama wa kuwachangia. Watachota fedha toka hazina kupitia ubabe wa CCM, then wajifanye wamechangiwa....time will tell! Jiulize, Chaumma ilipata wapi hela za kuzunguka na helcopter? Nonsense! wanadhani watu wajinga!
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya Babati hatujalipwa fedha za kujikimu kwa miezi mitano

    Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita. Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa. Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo tuna mwaka hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mpango wenye nia ovu kukwamisha michango ya CHADEMA kwa kigezo cha fedha haramu na utakatishaji fedha

    Kuna tetezi zimegaa mitaani kuwa serikali ya CCM inataka kuanza kufanya figisu. Figisu zenyewe ni kutaka kuifuatlia michango ya Cdm ambayo mpaka sasa imefikia Tsh 90 mil+ Wanataka kuleta zengwe kuwa michango hiyo ni fedha haramu na kuna utakatishaji fedha ambao utatumika kufanya uharamia.
  8. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa, zazorotesha hali na mwenendo wa uchangiaji fedha kwaajili ya baraza kuu taifa Sept.15,2026.

    Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Na, kwa mvurugano wa chini kwa chini...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Ualimu Kaliua hatujalipwa Fedha za Kujikimu, waliolipwa wamepewa nusu

    Baadhi ya watumishi wa kada ya ualimu katika Halmashauri ya Kaliua hatujalipwa fedha za kujikimu hadi sasa. Wale waliolipwa wamepewa sehemu tu ya malipo hayo, huku kiasi kilichobaki kikiwa bado hakijalipwa. Ufuatiliaji unaonyesha kuwa hata baadhi ya watumishi waliopo kazini kwa muda mrefu bado...
  11. JamiiForums Tanzania Ashura Masoud: Tuhuma za Heche kula pesa hazina ukweli, hahusiki na fedha za CHADEMA

    Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati, Ashura Masoud, amesema kuwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha zinazomkabili Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, hazina ukweli wowote kwani kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, kiongozi huyo hahusiki na usimamizi wa masuala ya fedha za chama. Masoud amefafanua...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia imefulia? Imeanza kujibebea fedha za Wananchi zilizopo Benki. Eti inataifisha

    Serikali imesema kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026 imetaifisha mali mbalimbali zilizopatikana kwa njia ya uhalifu. Mali hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS bilioni 2.9, dola za Marekani 903,875, hati fungani tatu zilizopo Benki Kuu zenye thamani ya TZS milioni 490, nyumba na viwanja 46, magari...
  13. JamiiForums Tanzania IMF yaipatia Tanzania Dola Milioni 443.9 baada ya kukamilisha Tathimini ya Mwisho

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

    Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe. Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe. Mimi binafsi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Siasa Safi Na Fedha

    Habari Wana Jf,Nimetafakari Sana juu ya Maisha yetu wanadamu hapa Dunia! _Fedha inaweza kununua chakula sio hamu ya kula _Fedha inaweza kununua Dawa sio Afya! _Fedha inaweza kununua vitu vya Anasa sio Furaha! _Fedha inaweza kununua vifaa vya vita vya Kila aina sio Amani! Kusingiziana wanadamu...
  16. JamiiForums Tanzania Tunapoteza mwelekeo: Kwa nini kelele nyingi kwenye michango ya Tonetone, lakini kimya kwenye fedha za umma?

    Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Fedha zinazokusanywa mikutanoni zinawekwa banki na zinatoka kwa utaratibu maalum

    Mnyika amesema kuwa fedha za tonetone zinazokuswanywa mikutanoni zinawekwa banki, na kisha ili pesa itoke ni lazima ziwekewe saini na watu 2, hivyo pesa za makao makuu zinatoka zikiwa pesa ikiwa imesainiwa na katibu Mkuu. Tuhuma za matumizi ya pesa kwa viongozi ni uongo, pesa ziko salama
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi

    Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya nyumba zilishapata huduma, ila kuna wengine bado hatujapata hiyo huduma. Tukaambiwa kwamba sisi...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Lugomela: Niliwapatia fedha za posho baadhi ya madiwani kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM mwaka 2025 hawakutekeleza makubaliano

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo. Akizungumza katika kikao cha...
  20. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ipi hatma ya fedha za Basket Fund(HSBF) kwa vituo vya kutolea huduma za Afya?

    Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025. Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo hivi vya Afya kwani fedha hizi hutumika kununua dawa na vifaa tiba, kulipa bili za umeme na maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…