Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi Milioni 4 kwa ajili ya futari
Soma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa...
Huwa nazungumza sana akiba ya pesa za kigeni sababu ni kitu muhimu sana kwa nchi. Nchi inatakiwa kutumia kwa busara sana pesa za kigeni. Hizo ndizo tunaagizia mafuta, madawa, kulipa madeni na mahitaji mengine muhimu. Ukisikia serikali haina pesa ujue hasa inamaanisha haina hizo reserve...
Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe.
Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi.
Amesema pia wanaosema hajafanya chochote waangalie mabadiliko yaliyopo ndani ya jimbo hilo ikiwemo ongozeko la shule...
Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu,
Pia ni hekima michango hii ikawa inakatwa kodi fulani fulani...
Mimi niliona mfanyakazi mwenzangu analipwa $300 (750,000) kumtumia mwanaume soksi chafu alizokua amezivaa. Huyo mbaba alikua anapenda jasho la soksi za wanawake. Baada ya miezi kadhaa huyo dada aliacha kazi ili full time awe anauza nguo zenye jasho na ambazo ameshazivaa sharti la wanunuzi ni...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Fedha ya chama hicho Godbless Lema ameeleza kuwa mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali ambayo utamuwezesha mtu yeyuote kuchangia kwa kutumia...
Habari wanaJF,
Ni mimi tena, na nimeamka salama. Nimechelewa kuingia kazini leo, ila Mungu ni mwema nimeanza. Kuna habari njema naitegemea kutoka sehemu (ntawajuza mambo yakiiva). Ngoja tuendelee kuongea kupoteza pressure...
Umewahi kushangaa kwa nini kuna watu wanapiga hatua, hata endapo wana...
Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ambayo yamesajiliwa kwa mjibu wa sheria ya mwaka 2002 ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, mashirika hayo yanawajibika kufanya marejesho ya taarifa za shughuli zake pamoja na taarifa zilizo kaguliwa na kuidhinishwa na mkaguzi aliyesajiliwa na Bodi ya Wahasibu...
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 19.491 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2023/2024, ambayo ilikadiriwa kukusanya Tsh. bilioni 21 kutoka mapato ya ndani.
Akizungumza...
Waswahili wakitumia fedha na baadaye kujiona wahitaji wanahesabu yale matumizi ni bure ni kama wamepoteza fedha.
Iwe ulihonga, ulinunua pombe na kitimoto, ulinunua midoli, gari, nyumba, ulifungua duka likafail hiyo pesa hujapoteza bali ulitumia ila hali ya umaskini ndio inakufanya uhesabu...
Nchini Kyrgyzstan Serikali ya nchi hiyo inajenga uwanja wa kisasa kweli wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu 45,000 kwa gharama za Dola Milioni 60 tu za Marekani sawa na shilingi Bilioni 154 za Kitanzania.
Huko Arusha Serikali ya CCM wanajenga uwanja wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024.
Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Ni muda sana sijaandika uzi, wakuu kwanza habarini,
Aseh mimi ni muhitimu wa chuo cha fedha hapa Tanzania, nimesoma masomo ya uhasibu na IT, nImekua nikijihusisha na shughuli za hapa na pale ila Mungu si Athumani napata chochote kitu.
Wazo langu bi kufungua consultation firm lakini kwa sasa...
ULEGA AAGIZA UTEKELEZAJI MIRADI SEKTA YA UJENZI KUZINGATIA THAMANI YA FEDHA
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameelekeza Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuhakikisha wanazingatia thamani ya fedha wakati wa utekelezaji na usimamizi wa miradi mbalimbali nchini ikiwemo barabara, madaraja...
Waziri wa Fedha, Mwigulu amejigamba Mbungeni kuwa "Anayeonge ndiye Waziri Fedha, mikirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu tumetoa pesa kama awamu hii ya Sita
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.