fatuma

  1. Shujaa Mwendazake

    Fatuma Karume: Mwanasheria Mkuu anapanga hila za kuwavua uwakili Jebra Kambole na Edson Kilatu

    Ameandika Shangazi Fatma Karume kwenye ukurasa wake wa Twitter: "Kilangi kawapeleka Jebra Kambole na Edson Kilatu mbele ya Kamati ya Maadili ili na wao WAVULIWE UWAKILI na majina yao yafutwe kwenye ORODHA ya Mawakili. Kosa lao: Kutoa maoni yao Mtandaoni. Kilangi, AG kuwa Advocate no. 1 ni...
  2. Erythrocyte

    Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

    Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani . Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa...
  3. Terrible Teen

    OR - TAMISEMI muondoeeni Dr. Fatuma Ramadhan Mganga Mke wa Spika Ndugai kuwa DED - BAHI DC

    OR - TAMISEMI kwa heshima kubwa nawashauri mumuondoe mara moja Mke wa Spika Y. Ndugai kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya BAHI, MKOA WA DODOMA. Mama huyu, Dr. Fatuma Ramadhan Mganga anatumia uhusiano wake wa kifamilia na Job Ndugai kukwaza utendaji kazi wa Serikali. Mama huyu kwa sababu...
  4. TheDreamer Thebeliever

    Je, ni sahihi kwa Mwana FA kujiita Gwiji wakati Fatuma Binti Baraka na fahari zake zote mpaka umauti unamfika hajawahi jiita gwiji?

    Habari wadau..! Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA achana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza. Je, ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki kipya kujivisha ma vyeo kama Gwiji,King n.k wakati hawajawai kuliletea taifa hata tuzo moja ya...
  5. Kurzweil

    Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

  6. R

    CHADEMA na ACT-Wazalenda, wapeni Shangazi Fatuma Karume na Maria Sarungi Viti Maalum

    Si vema kuwaacha hawa katika mapambano haya. Wapeni Viti Maalum waingie Bungeni. I guess you will appreciate the contribution they are going to make in the house!
  7. ACT Wazalendo

    GE2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  8. S

    Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

    fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa...
  9. ngoshwe

    Fatma Karume, yanayofanywa na Kambole ni sahihi?

    Taarifa hii imeandikwa na Wakili wanaodai kutetea Haki za Binadamu akina Jebra Kambole kwa nia ya kujipatia kesi kinyume cha taribu za taaluma ya Mawakili na kusambazwa mitandaoni:. "..Ndugu yeyote wa washtakiwa waliohukumiwa jela leo kifungo cha maisha awasiliane nami inbox au Wakili Jebra...
Back
Top Bottom