father

A father is the male parent of a child. Besides the paternal bonds of a father to his children, the father may have a parental, legal, and social relationship with the child that carries with it certain rights and obligations. An adoptive father is a male who has become the child's parent through the legal process of adoption. A biological father is the male genetic contributor to the creation of the infant, through sexual intercourse or sperm donation. A biological father may have legal obligations to a child not raised by him, such as an obligation of monetary support. A putative father is a man whose biological relationship to a child is alleged but has not been established. A stepfather is a male who is the husband of a child's mother and they may form a family unit, but who generally does not have the legal rights and responsibilities of a parent in relation to the child.
The adjective "paternal" refers to a father and comparatively to "maternal" for a mother. The verb "to father" means to procreate or to sire a child from which also derives the noun "fathering". Biological fathers determine the sex of their child through a sperm cell which either contains an X chromosome (female), or Y chromosome (male). Related terms of endearment are dad (dada, daddy), baba, papa, pappa, papasita, (pa, pap) and pop. A male role model that children can look up to is sometimes referred to as a father-figure.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    FALSE Did Trump ask, “Mojtaba Khamenei, are you ready to meet your father?”

  2. H

    Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

    Habari wanajf Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza...
  3. Damaso

    What best lesson you learned from your father

    Mwaka 2010, nilianza safari yangu ya kujitegemea. Nikiwa bado kijana mdogo, ilikuwa ni wakati mgumu sana kwa mimi kuondoka nyumbani, nikiiacha nyuma familia yangu na maisha ya utulivu ambayo nilikuwa nimezoea. Kilichokuwa kinanichanganya zaidi siyo tu kwamba nilikuwa naondoka nyumbani, bali...
  4. secretarybird

    PostGE2025 Wote wanaopingana na kile kilichosemwa na Father Kitima ndio maadui wakubwa wa Tanganyika

    Wakuu, Watu wote wanaopinga kile kilichosemwa na na Father ni maqdui wakubwa wa nchi wenye nia ya kuficha uchafu wote uliofanywa na serikali. Yaani kwa lugha rahisi unaweza ukasema wanaopinga hoja za Dr. Kitima ni kama wametolewa ubongo na kuingiziwq kimba kumkichwa hata wasielewe kile...
  5. BLACK MOVEMENT

    PostGE2025 Press ya Father Kitima imeyeyesha Propaganda za Rais Samia leo

    Ndugu Samia Hassan Suluhu leo kama taatifa ilivyo anaongea na Makada wa CCM Kule Dar, na kama kawaida leo alikuwa aje na zile swaga zao za kila siku, za Walilipawa, Kwanini wachome nchi, Walitoka nje ya nchi, hawatutakii mema, na blaa blaa zingine. Sasa ile Press ya Kitima inabidi magwiji wa...
  6. Zweli Ntuli

    Msaidie kijana kumpata baba yake na familia

    Hello Brother, I have been following various information on the internet to find out where my father is. When I saw this page for Mbeya Region, I thought I should inbox you to ask for help. Maybe I can find out where my father is. Please, I need your help.... My name is Zweli Ntuli I am the...
  7. Lycaon pictus

    Kitabu: First they killed my father

    Spoiler Alert. Mwaka 1975-1979 dunia ilishuhudia ukichaa wa ajabu kabisa. Wakomunisti wa Cambodia(Khmer Rouge) walishika nchi. Kwanza wakapiga marufuku matumizi ya pesa kisha wakafurusha wakazi wote kutoka mjini, wakazi wa mji mkuu Phnom Penh, kama 2.5m walifukuzwa wote na kuambiwa waelekee...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    You can fail as a man but never fail as a father

    Hamjambo! Unaweza kufeli kama Mwanaume, kukosa pesa, kushindwa kuyaweka maisha yako kuwa mazuri. Lakini kamwe usikubali kushindwa kuwa Baba Bora. Kumpa mtoto wako, damu yako upendo hakuhitaji uwe na mamilioni ya peas. Hakuhitaji uwe na gari, hakuhitaji uwe na ghorofa. Kunahitaji upendo wako...
  9. MoroGent

    UNAKUMBUKA: A wreath for Father Mayor

    Salaam sana Wanajukwaa, Unakumbuka hadithi ya kitabu cha "A Wreath for Father Mayer:😀😀 Kitabu hiki ni hadithi fupi iliyoandikwa na S. N. Ndunguru (aliandika Stori maarufu ya SAFARI YA GARI MOSHI 😀 na kutafsiri Rosa Mistika cha Shabaan Robert). Kiujumla kitabu hiki cha hadithi fupi Kinaelezea...
  10. R

    Mauaji ya Enock yanadhihirisha namna mfumo ulivyo na shida

    Ukatili, impunity ya serikali/uongozi wa ccm TOKA JUU MPAKA CHINI inaanza ku permiate mpaka kwa watendaji wa chini huko vijijini. mauaji ya enock Soma DOKEZO - Kijana Enock Thomas Mhangwaock adaiwa kuuawa kikatili Msituni kwa kipigo kutoka kwa Watendaji wa vijiji vya Uyovu na Lyobahika
  11. D

    Santuri ya Father Kitime imeondolewa ghafla, Sasa ni Haki za wakenya!

    Ni mwendo wa kutumia Kila fursa. Ukiona uchochezi huu imebuma, unakamata mwingine fasta!
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Padri Muchunguzi: Tunaachaje kuzungumzia siasa wakati waumini wetu ni wanasiasa? Tutawafundishaje?

    Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
  13. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Je, ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?

    Je ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
  14. Q

    Ujumbe wa Fr. Kitima baada ya kushambuliwa: Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki

    Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X: "Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha. Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri. Huu ni Ujumbe wake kwetu.... Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi...
  15. kadiri kasimba

    JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

    Salam kwenu wakuu! Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae...
  16. DR HAYA LAND

    Being a responsible Father, and being a man generally is not easy and every Father that bounced had a reason trust me!

    Unapokua na kuwa Baba unaanza kuona picha tofauti. Hapa ndo unaanza kuona kuna kitu kinaitwa Afya ya Akili . Unapowatazama watoto wako Unapoiwaza kesho ya watoto wako. Uku ukidaiwa bills , ukidaiwa muda wa kukaa na familia , ukidaiwa kuwajibika kikamilifu ili kuhakikisha watoto na familia...
  17. Damaso

    Athari ya absence of father figure inazidi kuonekana

    Kila kukicha tunazidi kuona mambo ambayo kiukweli ndani ya familia huwezi kukuta kama kuna father figure wa maana.
  18. Financial Analyst

    Sipatii picha hio outrage ingekuwa vipi kama ndio single father angemuachia boda boda mtoto wake kupelekea maafa yake.

    Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni.. "Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa wanawake mnakataria watoto alafu watotonashindwa kuwalea" Lakini imewatokea kwa single mother...
  19. C

    Syria rebels burn tomb of Bashar al-Assad's father

    Syrian rebel fighters have destroyed the tomb of late president Hafez al-Assad, father of ousted president Bashar, in the family's hometown. Videos verified by the BBC showed armed men chanting as they walked around the burning mausoleum in Qardaha, in the north-west of the coastal Latakia...
  20. R

    I and the FATHER are one!

    Salaam. Shalom! Ujio wa mtu huyu duniani aliyetokea Mbinguni Kisha kuuvaa mwili wa mwanadamu, akaingia ndani ya tumbo la mwanamke Mariam bikra Kisha akazaliwa, umeendelea kuwa utata na sintofahamu Kwa wengi. Wayahudi waliokota mawe na kutaka kumrushia baada ya Kutoa kauli hii tata kwamba...
Back
Top Bottom