familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkaguzi wa Polisi Kata ya Kisangura aendelea kuzifikia familia na kutoa elimu ya kukabiliana na uhalifu

    Mkaguzi wa Polisi wa Kata ya Kisangura, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameendelea kuzigusa na kuzifikia familia mbalimbali katika kata yake kwa kushiriki nao upendo kupitia utoaji wa elimu ya kukabiliana na uhalifu pamoja na msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya mahitaji ya shule...
  2. M

    Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  3. M

    Kuna wanawake wapo karibu zaidi na ndugu zao kuliko mume, hata baada ya kufunga ndoa na kuanzisha familia hutaka kurudi kwao na watoto, mnawaonaje?

    Hili halihusiani na wanawake kurudi kujifungulia kwao, ni wanawake wanaotaka kurudi kwao moja kwa moja. Ndugu wana nafasi yao kubwa sana lakini ndoa ni muungano wa mume na mke kuunda maisha yao pamoja. Kwa mfano, kama umekulia nyumbani kwa wazazi wako, hiyo haimaanishi hawakuwa na ndugu zao ...
  4. K

    Samia, Kikwete na genge lao hawajali usalama zaidi ya familia zao na pesa

    Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari unaendea, mikataba bila ufuatiliaji ya kifisadi inaendea, mauaji ya vijana mpaka leo hakuna mwenye...
  5. Kipima ubora wa Maji (TDS Meter): Je, Maji unayokunywa ni safi? Linda afya yako na familia yako kwa kipima TDS

    💧 TANGAZO LA KIPIMA UBORA WA MAJI (TDS METER) 💧 Je, unajua ubora wa maji unayokunywa kila siku? Linda afya yako na familia yako kwa Kipima TDS cha maji! ✅ Hupima haraka kiwango cha uchafu kwenye maji ✅ Sahihi na rahisi kutumia ✅ Kidogo na rahisi kubeba popote ✅ Kinafaa kwa maji ya kunywa...
  6. Kwanini familia ya Dewji imegandamana na timu ya Simba?

    Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao. Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha...
  7. Ilivyo ngumu kuvunja maagano na viapo katika koo na familia

    Naileta mada hii kutokana na mwenzetu mmoja ambaye tulijadiliana naye! Hivyo naomba pia niwashirikishe nanyi kwakuwa pengine na kwa vyovyote wahitaji wapo Tunapokuwa wakubwa na kujitambua huwa kuna vitu tunaviona sio vya kawaida kwenye ukoo na hata kwenye familia. Na mara nyingi vitu hivyo...
  8. R

    Mwekezaji abaomoa nyumba ya Mzee wa miaka 90, familia yalala nje

    Familia ya Mzee wa Mila afahamikae kwa jina la Chacha Wasinyo Changu (90), Mkazi wa Kitongoji cha Mirimisi, kijiji cha Mrito, Wilaya ya Tarime, inalazimika kulala nje kwa siku ya 5 mfululizo baada ya makazi yao kubomolewa. Tukio hilo linadaiwa kufanywa na Samweli Ngocho, Mkazi wa Kijiji cha...
  9. Dw swahili: Familia nyingi bado zinatafuta wapendwa wao waliopotea Tanzania

    Nchini Tanzania familia nyingi bado zinahangaika kutafuta miili ya wapendwa wao waliopotea wakati wa machafuko ya wakati na baada ya uchaguzi uliofanyika miezi mitatu iliyopita. Mashirika ya haki za binadamu yanasema mamia ya watu huenda walizikwa kwenye makaburi ya pamoja, huku serikali...
  10. P

    Miaka 15 iliyopita: Nilitetea ukweli, familia ikaniona mbaya

    Wasalam, Miaka 15 iliyopita kuna uncle wangu mmoja ambaye hatukuwa tunapisha sana umri alifariki kwa ajali akiwa anatoka Dodoma kuja Dar. Labda nikupe historia kidogo ya huyu uncle ambaye pia alikuwa rafiki na mshikaji wa karibu sana. Huyu uncle alikuwa mtu wa mambo mengi sana kwenye kutafuta...
  11. Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?

    Wakuu, naombeni experience zenu hapa chini! Mdahalo huu unalenga tafakari ya kina kuhusu nafasi ya familia katika maisha ya mtu. Swali ni “Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?” Kuanzia malezi, upendo, changamoto, maadili, na...
  12. R

    Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  13. K

    Magufuli hakuwa rafiki mzuri ndiyo maana familia wapweke

    Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa. mifano miwili 1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye...
  14. A

    KERO Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) halijanitendea haki, nimeachishwa kazi, familia yangu inateseka

    Mimi naitwa Matson Mathias Ngonyani ni Baba wa Watoto wanne na nina ulemavu wa masikio, kitaaluma ni Afisa Muuguzi niliajiriwa na Wizara ya Afya Mwaka 2019 kisha nikahamishiwa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kwa mpango wa kuazimwa Mwaka 2021. Nilipohamia Dodoma katika Ofisi ya TNMC...
  15. Ukikaribia mwisho wa maisha, utagundua vitu vyote ulivokuwa unapigania havina maana. Familia na afya ndo vyenye maaana zaidi

    Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi: https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/ ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
  16. Sio polisi wote wanapenda ila wengi wenu watawaponza na familia zenu

    Kuna mapolisi wengine ni wana hofu na mungu ila ni ngumu kuwaona na wanapigwa vita. Nakumbuka kuna mkuu wa kituo pale magomeni alikuwa mtu wa swala tano ,yani hataki kuona mtu kaonewa ila walimuondoa. Kwa mambo ya ajabu yaliopo hapa tanzania mlitakiwa nyie muoneshe mfano sio kuwafurahisha...
  17. Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
  18. Wizara ya Afya: Kuna watu wenye nia ovu wanaotumia jina la Waziri Mchengerwa kutapeli kuwa anaozesha mwanae

    Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia? Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo moja kuu: kuwahudumia wananchi kwa kutoa taarifa za sera, huduma, tahadhari na maamuzi ya serikali...
  19. Uwezi amini kale kagest ka Hayati Magufuli hapa chato kama mpaka kunguni, kamebakia na wateja wa shoo time, familia kabomoeni kana mtia dhambi.

    Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
  20. GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

    Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea.... https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12. Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe..... Ni kile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…