falme za kiarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Toka tupate uhuru, Dubai ama falme za kiarabu (UAE) imewahi kuisaidia nini Tanzania?

    Nimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo. Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo hata choo cha shule ambacho tumewahi kujengewa na waarabu wa Dubai nimekosa. Kwenye ulimwengu huu...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KWELI Tanzania yasaini mikataba minne ya makubaliano na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja

    Tanzania yasaini mikataba minne na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja. 1. Kuendeleza uwanja wa ndege wa KIA 2. Ushirikiano na Posta Tanzania 3. Kuendeleza misitu yote nchini na TFS 4. DP World na TPA
  3. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

    Mwezi February mwaka huu, Serikali ya Tanzania ilisaini hati ya makubaliano (MOU) na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kutusaidia kuendeleza misitu yote nchini, inayosimamiwa na Wakala wa misitu (TFS). Yani waarabu wanaoishi Jangwani wanatusaidia kuendeleza misitu. Kwanini...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme

    Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO. Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu. Sio hilo...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta kushirikiana na Posta ya Falme za Kiarabu

    Tangu awamu ya 6 imeanza Waarabu wanaitafuta Tanganyika kwa kila hali.
  6. Diversity

    JamiiForums Tanzania KWELI Tanzania yaingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000

    Tanzania imeingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000. Kukamilika kwa miradi hii kutapelekea Bei ya Umeme kupungua sana.
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia akutana na Kuzungumza na Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Maitha Al Shamsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dubai: Rais Samia ahudhuria Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) ya maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020

    Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Falme za Kiarabu kuondoa marufuku iliyowekwa kwa Wasafiri wa Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaondoa marufuku iliyowekwa kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Omicron kwa Wasafiri waliotembelea Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania muda mfupi kabla ya kusafiri. Marufuku hiyo itaondolewa kuanzia Januari 29. 2022 Mataifa mengine ni Kenya, Afrika Kusini...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Dubai, UAE: Wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kusafiri nje kuanzia Januari 10

    Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema zitapiga marufuku Raia ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kusafiri nje. Waliopata chanjo kikamilifu wanatakiwa kupata ya nyongeza (Booster) ili kukidhi vigezo vya kusafiri Hata hivyo, marufuku hiyo itakayoanza Januari 10 italegezwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Covid: Falme za Kiarabu wazuia ndege zao kuja Tanzania

    Hii ni habari kwa mujibu wa taarifa ya habar ya Azam saa mbili usiku huu. Serikali yashangazwa na uamuzi huo wa Falme za Kiarabu . Habari ndio hio.
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dubai, UAE: Ndege kutoka Tanzania kutoruhusiwa kutua kuanzia Desemba 25

    Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron. Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania UAE: Maambukizi ya Virusi vya Corona yafikia 695,619

    Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha. Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982 wamefariki dunia na idadi ya visa imefikia 695,619. Zaidi ya 80% ya watu UAE wamepata angalau dozi moja ya...
Back
Top Bottom