falme za kiarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

    Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed. Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati...
  2. K

    Kwa nini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inaona mpango wa nyuklia wa Iran kama jambo la binafsi sana?

    Kwa sababu shambulio moja tu la droni kwenye kitu muhimu kama kituo cha kuondoa chumvi kwenye maji ya bahari (desalination plant) au bandari ya biashara linaweza kuleta madhara makubwa kuliko maelfu ya hotuba za kisiasa. Nchi za Ghuba kama UAE zinategemea sana vituo vya desalination kwa maji ya...
  3. Ritz

    SI KWELI Marekani imetangaza kujiondoa katika kambi za kijeshi za Qatar, Bahrain, Kuwait, Iraq, Jordan, Umoja wa Falme za Kiarabu, Syria,

    Wanaukumbi. BREAKING 🚨 Marekani imetangaza kujiondoa katika kambi za kijeshi nchini Qatar, Bahrain, Kuwait, Iraq, Jordan, Falme za Kiarabu, Syria na nchi nyingine za Ghuba. Picha zinaonyesha wazi kuwa Iran imeshinda vita hivi. ================ For English Audience ================ BREAKING...
  4. Etwege

    Somalia yafuta mikataba yote ya bandari iliyoingia na UAE

    Serikali ya Somalia imesema imefuta makubaliano yote iliyoingia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ikitaja kile ilichokiita tabia ya umoja huo kudhoofisha uhuru na umoja wa nchi hiyo. Taarifa ya kufutwa kwa mikataba hiyo iliyotolewa leo Jumatatu Januari 13, 2026, inagusa mikataba na...
  5. Just Pray

    Somalia yakatiza uhusiano wa kidiplomasia na Umoja wa Falme za Kiarabu

    Somalia imetangaza kukatiza uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu, na kufuta makubaliano yote ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha baraza la mawaziri siku ya Jumatatu, Baraza la Mawaziri limesema kuwa limebatilisha mikataba yote iliyofikiwa na...
  6. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa atembelea Ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25, 2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi. Majaliwa alipokelewa na Balozi wa Tanzania UAE Luteni Jenerali Mstaafu,Yacub Mohamed na watumishi wa ubalozi huo.
  7. Yoda

    Msikiti mkubwa zaidi Abu Dhabi, falme za kiarabu (UAE) wafungwa kupisha ugeni wa Trump

    Msemaji wa Ikulu ya Marekani kupitia ukurasa wake wa Twitter ametamba kufungwa kwa msikiti mkubwa zaidi huko Abu Dhabi, Falme za Kiarabu kupisha ugeni wa Boss wake Trump. Anasema ni mara ya kwanza katika historia msikiti huo kufungwa! Hakika Mmarekani ni lulu huko Mashariki ya kati ya matajiri...
  8. Cute Wife

    Hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zina athari gani kwa Tanzania? Tumetoa nini nyuma ya pazia?

    Wakuu, Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo; 1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina...
  9. L

    Rais Samia atunukiwa Tuzo ya 'Mother of the Nation' na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sheikh Mohamed Bin Zayed

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya Walimwengu. Anaendelea kuteka na kugusa mioyo ya watu, anaendelea kuifanya Dunia kuendelea kumjadili na kujifunza kutoka kwake uongozi bora , uchapakazi, uzalendo na uhodari katika kuinua na kuboresha Maisha ya watu...
  10. S

    Kenya yageukia Falme za Kiarabu kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa

    Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR). Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa fedha kwa ajili ya mradi huo kuamua kujitoa. Ujenzi wa reli ya kisasa inayokusudiwa kuunganisha...
  11. F

    Natafuta kazi za ufundi wa umeme katika nchi za Qatar, Oman na Falme za Kiarabu

    Unaweza kuniunganisha na agent nikapata kazi ufundi umeme Qatar au Oman au falme za kiarabu mshahara wa miezi miwili nimalipo ya agant passport nitafuta Kwa gharama zangu WhatsApp me 0621264212
  12. Roving Journalist

    Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 17 Septemba 2024, amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Saqr Ghobash, katika Ofisi za Bunge hilo zilizopo Abu Dhabi. Katika...
  13. Jackal

    Ripoti:Saud Arabia na Falme Za Kiarabu Zachochea Vita Ya Israel Kujilinda Dhidi Ya Magaidi Wa Hamas

    My take :Waarabu pia wamechoshwa na ugaidi wa Hamas. .... https://www.middleeastmonitor.com/20240321-saudi-uae-among-states-fuelling-israels-offensive-on-gaza-report-finds/
  14. MK254

    Falme za Kiarabu (UAE) zalaani vituko vya Houthi

    Hii ni baada ya hayo magaidi ya kidini kupigwa na Marekani, sasa kila mmoja anajtokeza kuwalaani..... The United Arab Emirates (UAE) has voiced serious concerns regarding the impact of recent attacks by Houthi militants on shipping vessels in the Red Sea, deeming them an "unacceptable threat"...
  15. Donnie Charlie

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA): Hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu

    DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imesema hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu kama taarifa za upotoshwaji zinavyodai. Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema katika taarifa kwa vyombo vya habari leo kuwa kama Mamlaka inayohusika na kutoa vibali...
  16. Etwege

    Mdude Nyagali: Tutawataka Watanzania walio nje ya nchi kuandamana zilipo balozi za Falme za Kiarabu duniani

    Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa. “Tumeambiwa kurudi tena Polisi Agosti...
  17. Roving Journalist

    Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) awasilisha Hati za Utambulisho

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Mjini Abu Dhabi...
  18. The Assassin

    Toka tupate uhuru, Dubai ama falme za kiarabu (UAE) imewahi kuisaidia nini Tanzania?

    Nimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo. Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo hata choo cha shule ambacho tumewahi kujengewa na waarabu wa Dubai nimekosa. Kwenye ulimwengu huu...
  19. Nyendo

    KWELI Tanzania yasaini mikataba minne ya makubaliano na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja

    Tanzania yasaini mikataba minne na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja. 1. Kuendeleza uwanja wa ndege wa KIA 2. Ushirikiano na Posta Tanzania 3. Kuendeleza misitu yote nchini na TFS 4. DP World na TPA
  20. Robot la Matope

    Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

    Mwezi February mwaka huu, Serikali ya Tanzania ilisaini hati ya makubaliano (MOU) na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kutusaidia kuendeleza misitu yote nchini, inayosimamiwa na Wakala wa misitu (TFS). Yani waarabu wanaoishi Jangwani wanatusaidia kuendeleza misitu. Kwanini...
Back
Top Bottom