fair

A fair (archaic: faire or fayre) is a gathering of people for a variety of entertainment or commercial activities. It is normally of the essence of a fair that it is temporary with scheduled times lasting from an afternoon to several weeks.

View More On Wikipedia.org
  1. The BIT between Tanzania and Canada does not provide fair terms. Tanzania has to stand its ground and terminate it

    What are Bilateral investment treaties (BITs) These are agreements between two countries that aim to promote and protect foreign direct investment (FDI)of the investors. BITs typically include provisions on fair and equitable treatment, (FET), National Treatment (NT), Most Favoured Nation...
  2. Kweli Dunia haiko Fair yaani Mwenzako anayejua anacheza AFL na asiyejua anacheza NBC Maporini Mbagala

    Inauma sana Kiukweli yaani Wenzako wakiwa Wanaongozwa na Ving'ora kwenda Estadio Du Lupaso Wengine wanakatiza tu Mitaani, Majarubani huku Wakikanyaga Nyanya za Watu, wakigonga Makopo ya Mkaa na kupigia Kelele Wakazi wakiitafuta Mbande Mbagala Kucheza na Waliofeli Wenzao. ANGALIZO Ukijijua tu...
  3. Mafuta ya tumeric na fair and love whitening yapi mazuri zaidi?

    Habarini wana jamii, naomba msaada wa kuyajua haya mafuta tajwa hapo juu. Nahitaji mafuta mazuri ya kung'arisha mwili mzima ambayo ntachanganya na lotion au ntapaka juu yake. Nataka kufahamu kama hayachubui, na je yana madhara. gani kama mtu alishawahi tumia. Naona yanasifiwa sana, kabla...
  4. Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima. Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona...
  5. K

    Uzito wa Gambo na Lema sio sawa kwenye ulingo. Sio fair kwa Gambo

    Kuanzia kwenye hoja na ku connect na wafanyabiashara Lema huwezi kumlinganisha kabisa na Gambo. Uwezo wa kujenga hoja za Arusha na kitaifa ni muhimu sana kwa Arusha. Sababu kubwa Arusha wanaamini kwa makusudi serikali kwa miaka mingi haikuwa upande wao kuanzia kodi, tanzanite na miradi ya...
  6. Tangu lini 'fair play' ikawa lazima? Kumfungia Chama na Aziz ni upuuzi

    Anaandika Eddoh Kumwembe, Unamfungia Chama, Aziz Ki mechi tatu, kisa? Walikwepa kuwapa mikono wapinzani. Na nasikia kanuni ipo kabisa, tangu lini 'fair play' ikawa lazima? Upuuzi kwa waliotunga na kuzipokea. Kuna mambo ya umuhimu hatutekelezi, tumeona wachezaji kupeana mikono ni muhimu...
  7. SoC02 Mfumo Huru wa Kompyuta wa Kupigiana Kura. Jina La Mfumo: Fair Election (FAEL)

    UTANGULIZI Katika Dunia nzima, nchi zote hufanya chaguzi zake ili kupata viongozi wake wa ngazi tofauti tofauti kupitia mfumo wa kupiga kura za mficho. Njia inayotumika kwa sasa nyingi huwa zinasababisha wizi wa kura, gharama kubwa za usimamizi wa uchaguzi, maafa kwa wasimamizi wa uchaguzi na...
  8. Fair Trade: A Gateway to Global Village

    A Dialogue towards Mutual Relationship - (One World; One Nation; Global Citizens) - A Book by Busara Bin Hekima Introduction The book is about Fair Trade; having a Mutual Relationship rather than the current Parasitic relationship which benefits some for the detriment of others. Rather than...
  9. Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

    Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu. Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue...
  10. S

    Ukipata Sup diploma ya afya unarudia mwaka, hii sio fair hata kidogo

    Mtu wa degree akipata sup anachomoa na maisha yanasonga Ila wa diploma akipata sup haruhusiwi kuingia mwaka unaofata mpaka achomoe Mbaya zaidi Kuna mitihani ya written na oral au Ospe au mitihani ya wodini Ukifaulu written na ukafeli oral unarudishwa nyuma unawaacha wenzako wasonge mbele wewe...
  11. K

    Paper ya Tax management officer ii utumishi

    Paper imeisha salama,ila haikua rahisi kivile. Muda nao ni changamoto, wengi wetu hatujamaliza maswali.
  12. S

    Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

    Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa. Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe" Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
  13. Fair play

    Hii sasa ni chuki sio utani wa jadi Sababu ulikuwa simba ndio unatumia hiyo advantage ili watu waamini? Simba ilikuwa na team bora na imara sana wacha chuki zako sope
  14. I

    This world is not fair at all! Hivi hii dunia ukiwa hard-working unakufa njaa?

    The people who are lazy by nature ndo wanaenjoy cake ya taifa na kula maisha maisha mazuri. Hebu imagine waliosoma arts ndo wanakula Bata walioeoma sayansi wanaugulia umaskini. Mfano Dkt. Tulia Ackson kasoma arts, Tundu Lissu kasoma Arts, Kabudi kasoma Arts, Mwigulu Nchemba kasoma Arts, Ndugai...
  15. Fundi nguo wa hayati mzalendo wetu hakua fair

    That's real
  16. I

    It is fair to say kuwa Money Heist is one of the best kama sio the best series of the decade?

    It was worth the wait kusema kweli. Series ambayo imekamilika kila idara yani inakufanya utamani kuangalia dakika inayofata nini kitatokea. Natamani mpaka wangekua ni watanzania jamani daah. Plot nzima imesimama vyema na mwisho wa series ile imemridhia kila mtazamaji. Kwangu mimi, hii ni...
  17. Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

    Leo tarehe 24, Nov. 2021kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea katika mahakama divisheni ya Uhujumu Uchumu na Rushwa ambapo leo Jamhuri italeta Shahidi Mwingine. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 23, 2021. Kesi yaahirishwa hadi...
  18. GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

    Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu...
  19. kocha wa simba Pablo Franco inawezekana ameletwa na GSM ili kuleta Fair competition kwenye ligi yetu pendwa

    kama title inavyosomeka hapo juu kutokana na uchambuzi wangu wa kisoka inawezekana kocha wa timu ya madrid ya bongo (kolo fc) pablo franco ameletwa na brand kampuni kubwa ya GSM ili kuleta fair competition kwenye ligue yetu pendwa kutokana na ndugu zetu hawa kuanza kulia lia mapema kwamba hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…