fair

A fair (archaic: faire or fayre) is a gathering of people for a variety of entertainment or commercial activities. It is normally of the essence of a fair that it is temporary with scheduled times lasting from an afternoon to several weeks.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    UE Statement: Elections in Tanzania were neither free nor fair

    Elections in Tanzania were neither free nor fair October 30, 2025 In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights. “As Tanzanians went to the polls today, the...
  2. baz kaiza

    Dunia haiko fair kabisa Waliotakiwa kuwa Jela ndo wako uraiani na ambao walitakiwa kua Uraiani ndo Wako Jela

    Ukiangalia mambo yana vyo kwenda kuna watu waolitakiwa kua Uraiani ila ndo hao wako jela ila ambao walistahili kua jela ndo hao wako uraiani. Dunia haiko fair kabisa
  3. S

    KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  4. ELI COHEN

    Tuseme ndio umekuwa rais, na unataka kuwa fair square!, ni hatua gani utazifanya kuboost uchumi wa wananchi wa kawaida angalau hata kwa asilimia 35%

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  5. Mr Beach Boy

    Na Hii shahada yangu, niuze matikiti? This is not fair.

    C Bora nisingesoma kabisa How come na shahada yangu niuze matikiti kwenye deli... Hii sio haki
  6. Mr Beach Boy

    Dah, life is not fai. Wale washikaji ambao walikuwa hawana akili kichwani tukiwa darasani Leo wanamaisha mazuri

    Wale washikaji ambao walikuwa hawana akili kichwani tukiwa darasani Leo hii wanakazi zao za maana na biashara za kutisha. Sisi ambao darasani tulikuwa na akili na morality ya kufatuta maisha lakini mpaka Leo maisha hatuna ajira hatuna. Kila siku tunaona watu wapo kwenye magari makali nyumba...
  7. Bueno

    Hii Dunia Haipo Fair Hata Kidogo

    Wapo washenzi kwenye hii Dunia wanacheza rafu sana. Wewe uki-play-fair wenzako wanaingia na miguu yote miwili, watakuvunja kua makini. ...........................
  8. Minjingu Jingu

    Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

    Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
  9. W

    al masry wako fair play

    salamu ndugu zangu..!? al masry kwa nilivyowaona wanacheza mchezo mzuri wa fair play. katika mchezo uliopita pengine unaweza kusema walikuwa na uhitaji wa magori mengi lakini hili nakataa nakataa kwasababu wao hawakuwa wamiliki wa mpira tena kwa yale mashambulizi ya simba ni wazi wangekuwa...
  10. GENTAMYCINE

    Hii siyo Fair kabisa.......!!

    Yaani Mume Shujaa kasafiri zake kwenda kuleta Heshima nchini Misri huku nyuma Mke Maharage ya Mbeya nae anazurula kwa Waganga wa Kienyeji (Marafiki) Mkoani Tabora.
  11. D

    Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Hizi ndio "Prison Cells" za Ujerumani na Denmark.. =========== Shikamoo Wazungu..
  12. Mkurya mweupe

    Usaili wa ajira za ualimu hauko fair

    Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni mhitimu wa degree ya ualimu mwaka 2015 kutokana na kumuona yupo serious na kazi hiyo Kinachonishangaza ni...
  13. B

    Maisha hayako fair kabisa

    👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure 👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba 👉Watu wanasoma diplomasia na...
  14. Mohamed Said

    Elite Bookshop Sabasaba International Trade Fair

    ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani. Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to Zanzibar," kitabu kinachotumika kusomesha Kiingereza na wakati huo huo mwanafunzi anajifundisha historia...
  15. Mohamed Said

    Mazungumzo Sabasaba International Trade Fair Banda la UDSM

    MAZUNGUMZO SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR BANDA LA UDSM 1 Nimetembelea Banda la Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam nimekuta nje wameweka vitabu vingi vya historia. Nimeanza kutazama kitabu kimoja baada ya kingine. Sikuona kitabu cha Abdul Sykes. Nimemuuliza niliyemkuta pale kulikoni...
  16. J

    Anaupiga Mwingi: Wakulima wa Tanzania sasa ruksa kushindana kwenye Soko la Kenya kwa Fair competition!

    Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto Kamwene 😃😃
  17. ze kokuyo

    Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130

    Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema. Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya...
  18. P

    Salary rate ya Fair Competition Commission ipoje?

    Habari zenu wakuu, Salary rate ya FCC inakuwa vipi? Kuna rate zao FCCGSS from 4 to 12 inakuwa inahesabika vipi? Asanteni
  19. Mikhail Tal

    Fundi kaniambia gharama zake za kujenga msingi 750,000 ni fair au ananipiga?

    Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room. Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu. Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga. Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe...
Back
Top Bottom