faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Faida za mtu anaekupenda wakati wewe humpendi

    Akupendae humpendi,umpendae hakupendi. Ni vile watu kutokujua tu,ukitaka penzi la kweli mkubali mtu anaekupenda,kwa sababu atakua mtiifu,mvumilivu,msikivu kwako na ,anayekujali. Atakupa penzi lote kwa sababu ana mapenzi ya kweli.Haijalishi hata Kama wewe humpendi,jizoeshe kuwa nae tu. Lakini...
  2. Nini faida na hasara ya Tume ya Uchaguzi?

    Salam wana JF Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wananchi, wanasiasa, viongozi wa dini, taasisi mbalimbali pamoja na baadhi ya Viongozi wastaafu kutaka iundwe Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, 2020. Upande wa pili kumeibuka kundi linalopinga uwepo wa Tume Huru ya...
  3. Nini faida za strawberrymwilini?

    Naam! Habali za kazi ndugu wana jukwaa kama kichwa cha Habari kinavyosema. Kwa wale wataalamu, wa afya nilikuwa naomba kueleweshwa faida kiafya ya kula matunda haya, nimeona yanaliwa sana ila faida zake katika mwili sijajua. Asante!
  4. Faida za kula nyama nyeupe

    Nyama nyeupe ni ipi? Hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote. Nyama nyekundu ni ipi? Hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa, mfano ni nyama za wanyama wote...
  5. Je, wajua faida za diplomatic passport?

    Diplomatic passport Haiwezi kukusaidia ukiwa kwenye nchi yako. Ila huyo mwenye nayo akitoka nje na kuishi kama mabalozi na wanaoenda kufanya shughuli za Kitaifa anaenjoy vast of benefits. Mfano: 1. Fast check to airports kwake na familia yake. 2. Diplomat immunity in case of anything kwake na...
  6. I

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Habari za kutwa wanajamvi poleni na majukumu. Leo naomba msaada kwa wale waliowahi au wanaendelea kutengeneza faida ya Tsh 30,000 na kuendelea kila siku. Tafadhali zingatia kueleza yafuatayo: 1. Aina ya biashara 2. Mtaji unaotumia kuzalisha faida ya 30,000 Kumbuka waliofanikiwa sio wachoyo...
  7. Kuna faida gani ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Salaaam. Wakuu mi naona hakuna haja ya kufanya tendo la ndoa kabla hujaoa/kuolewa. Unakuta mtu yupo na girlfriend au boyfriend wake kwa muda na kwa lengo la kuja kuona ajabu asilimia75% wanashiriki ngono kabla ya kiapo cha ndoa. Kwa mtazamo wangu huko n kushusha thaman ya neno harusi au ndoa...
  8. Zijue faida za mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipindi cha ujenzi na mara baada ya ujenzi kukamilika

    Kupitia sera ya kitaifa na mkakati wa nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ni Dhahiri na lazima kwa taifa kuwa na miundombinu imara. Ujenzi wa reli ni nguzo kubwa katika kuchochea na kupunguza gharama na muda wa safari kwa abiria na mizigo. Mataifa yenye nguvu duniani yamejengwa na...
  9. Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo. Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio...
  10. Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Kumekuwa na malumbano kuwa biashara ya duka hasa rejareja haina faida. Leo nitaleta baadhi ya bidhaa tu kupinga malumbano hayo (maana ndo ishu nnayoifanya) Just kabla sijaanza, ukitaka kuona mafanikio ya hii biashara wewe muuzaji uwe mtaji wa kwanza. Kichwa chako kiwe mtaji dukani pia mazoea...
  11. Kama una pesa na muda wekeza kwenye kilimo faida utaipata!!

    Habari wana ndugu kwa sasa nawashauri kama una fedha na muda wekeza kwenye kilimo cha Kahawa Mbinga Moshi au Morogoro kilo 9000 mpaka sasa ninavozungumza. Cha pili mahindi gunia sasa ni 100,00 Mbeya iyo na nyanda za juu kusini ndio wakulima wakubwa Arusha na mikoa mingine ya kaskazini unazan...
  12. Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Disclaimer (cha kuzingatia): This is not a get rich quick scheme (hauto tajirika ghafla ndani ya masaa au siku kadhaa), imenichukua mwaka kufikia wakati ambapo naweza pata faida ya millioni moja na kadhaa ndani ya siku 3. Nimejifunza mengi hapo kati, hopefully haitokuchukua mda mwingi kama mimi...
  13. Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

    Zijue faida 11 za kulala uchi au mtupu nyakati za Usiku UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo nzito laini za kulalia? Watu wengi hujifunika mashuka na wengine hujifunika mablenketi kabisa.Katika makala haya, utakufumbuliwa macho uanze kulala...
  14. T

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake. WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
  15. G

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East. Hivyo UAE, SAUDIA, IRAN na kule Malaysia, Vietnam na kadhalika ndio nakutaka. Je, kuna mtu anaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…