Je, wajua faida za diplomatic passport?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,086
2,000
Diplomatic passport Haiwezi kukusaidia ukiwa kwenye nchi yako. Ila huyo mwenye nayo akitoka nje na kuishi kama mabalozi na wanaoenda kufanya shughuli za Kitaifa anaenjoy vast of benefits.

Mfano:

1. Fast check to airports kwake na familia yake.

2. Diplomat immunity in case of anything kwake na familia.

3. No tax on movement from country to country. Soma ticket zako za safari, ile part ya Kodi diplomats hawana.

4. Free vehicle licence plates zile za CC na CD zile za kijani kama hapa kwetu tz.

5. Red carpet treatment under international laws.

6. Anaweza kusafiri kwa siri kati ya nchi na nchi na is subject to international law.

7. Diplomat is subject to any tax to a country he is living maana yake anaweza dai kodi yoyote kwa purchase zozote alizofanya kwenye nchi husika.

Kwa hiyo kuwa diplomat kuna faida nyingi sana kama ambazo Rais wa nchi anaweza kupata akiwa nchi nyingine. Kwa kuwa yeye anawakilishwa na Diplomats kwenye nchi hizo.

I once did a job interview na European Union Tanzania Delegation. Wakati nabargain on remuneration nilizungumzia kuhusu makato ya kodi ya PAYE. Balozi wa kipindi hiko aliniambia wao (Diplomats wote) na Delegation nzima ya EU hawalipi kodi yoyote. Kwa hiyo unaweza kuona hii benefit kuwa hata wafanyakazi wa Tanzania ambao wameajiriwa na balozi za nchi zingine are not subject to Tax under international Law, sijajua kama hii ni kwa balozi zote au ni EU peke yao. Ila this might be the case of an example.

Britannica
 
Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
729
1,000
Kaka yangu haitaki hata kidogo, aliipata ya Tanzania anasema alikwenda Europe kwenye mkutano kwanza wahudumu wa immigration wakawa wanauliza diplomat from which country anawajibu Tanzania ni kama walionyesha dharau flani hivi.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,284
2,000
I once did a job interview na European Union Tanzania Delegation. Wakati nabargain on remuneration nilizungumzia kuhusu makato ya kodi ya PAYE. Balozi wa kipindi hiko aliniambia wao (Diplomats wote) na Delegation nzima ya EU hawalipi kodi yoyote. Kwa hiyo unaweza kuona hii benefit kuwa hata wafanyakazi wa Tanzania ambao wameajiriwa na balozi za nchi zingine are not subject to Tax under international Law, sijajua kama hii ni kwa balozi zote au ni EU peke yao. Ila this might be the case of an example.

Britannica
This is true, niliwahi kuajiriwa na FCO ya UK na kuwa posted Dar es Salaam pale UK Embassy as a political advisor, tulilipa kodi kwenye manunuzi tuu, kwa vile pesa yote ilikuwa inatoka kwao, tulikuwa exempted kodi zote, ila walitoa uhuru kwa wazalendo wanapenda nchi yao, wanaweza kuamua kuchangia kwenye PAYE as individuals.

Hata miradi yote ambayo ni donor funded, ina tax exempt.

Hiyo kazi niliiacha mwenyewe kwa uzalendo tuu, ila kiukweli hali ninayoipitia sasa na huu uzalendo katika mazingira haya ya sasa..., naikumbuka FCO!.
P
 
sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
14,964

Unapitia hali gani mkuu? Katika zama hizi za serekali ya wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,018
2,000
Diplomatic passport Haiwezi kukusaidia ukiwa kwenye nchi yako. Ila huyo mwenye nayo akitoka nje na kuishi kama mabalozi na wanaoenda kufanya shughuli za Kitaifa anaenjoy vast of benefits.

Mfano:

1. Fast check to airports kwake na familia yake.

2. Diplomat immunity in case of anything kwake na familia.

3. No tax on movement from country to country. Soma ticket zako za safari, ile part ya Kodi diplomats hawana.

4. Free vehicle licence plates zile za CC na CD zile za kijani kama hapa kwetu tz.

5. Red carpet treatment under international laws.

6. Anaweza kusafiri kwa siri kati ya nchi na nchi na is subject to international law.

7. Diplomat is subject to any tax to a country he is living maana yake anaweza dai kodi yoyote kwa purchase zozote alizofanya kwenye nchi husika.

Kwa hiyo kuwa diplomat kuna faida nyingi sana kama ambazo Rais wa nchi anaweza pata akiwa nchi nyingine. Kwa kuwa yeye anawakilishwa na Diplomats kwenye nchi hizo.

I once did a job interview na European Union Tanzania Delegation. Wakati nabargain on remuneration nilizungumzia kuhusu makato ya kodi ya PAYE. Balozi wa kipindi hiko aliniambia wao (Diplomats wote) na Delegation nzima ya EU hawalipi kodi yoyote. Kwa hiyo unaweza kuona hii benefit kuwa hata wafanyakazi wa Tanzania ambao wameajiriwa na balozi za nchi zingine are not subject to Tax under international Law, sijajua kama hii ni kwa balozi zote au ni EU peke yao. Ila this might be the case of an example.

Britannica
unawaza vya bure bure ndo maana tafuta hela, hela ikiwepo hutawaza hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njinjo

JF-Expert Member
Feb 15, 2019
2,278

Watu wa JF sijui huwa mnaanzisha sredi mpate umaarufu au la! Wewe unatujuza kitu hujui chungulia mstari wako wa mwisho. Leo umenikumbusha ulivyoshadidia kuwa Dr Shika anayo mahela huko Russia, wewe mtu mwenyezi mungu anakuona
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,086
2,000
This is true, niliwahi kuajiriwa na FCO ya UK na kuwa posted Dar es Salaam pale UK Embassy as a political advisor, tulilipa kodi kwenye manunuzi tuu, kwa vile pesa yote ilikuwa inatoka kwao, tulikuwa exempted kodi zote, ila walitoa uhuru kwa wazalendo wanapenda nchi yao, wanaweza kuamua kuchangia kwenye PAYE as individuals.

Hata miradi yote ambayo ni donor funded, ina tax exempt.

Hiyo kazi niliiacha mwenyewe kwa uzalendo tuu, ila kiukweli hali ninayoipitia sasa na huu uzalendo katika mazingira haya ya sasa..., naikumbuka FCO!.
P
Pole sana Mkuu ulipata ajali Dodoma hata hutoi taarifa mkuu, Pole Sana tunazidi kukuombea kaka

Britannica
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom