Kama una pesa na muda wekeza kwenye kilimo faida utaipata!!

dan yah

Senior Member
Apr 14, 2017
103
62
Habari wana ndugu kwa sasa nawashauri kama una fedha na muda wekeza kwenye kilimo cha Kahawa Mbinga Moshi au Morogoro kilo 9000 mpaka sasa ninavozungumza.

Cha pili mahindi gunia sasa ni 100,00 Mbeya iyo na nyanda za juu kusini ndio wakulima wakubwa Arusha na mikoa mingine ya kaskazini unazan sh ngapiau nunua safirisha cha tatu.

Ndizi mkungu mdogo shambani sh 12 wakati halo awali sh 2 au elfu 3. Naona muda wa MTU anaepiga kilimo hiki ndo kipind chake cha kuwa alipokuwa anapadream.

Nakuwekeza sio kulima tuu ata ukitaka nunua safirisha it paid also
 
Habari Tanzania nimefanya short research nimeangalia watumishi wa umma na binafsi ukilinganisha na wakulima na wanunuzi or madalali wanahela hawa yaniii wanaowekeza kwenye kilimo embu twende sawa, kwa sasa biashara inayolipa ni kilimo au udalali wa mazao yafuatayo.

1- Kaawa kilo now ni sh 9000 Mbeya hiyo ni kaawa iliyokobolewa ukitaka wekeza kwenye kilimo hiki ni njombe iringa na mbinga

2- Ndizi mkungu sh 10,000 ambao halo awali ulikua sh 2000 au 3000 wekeza kilimo iki mikoa ya Mbeya na morogoro arusha

3 Gunia ya debe sita huko Mbeya ni 80,000 arusha 150,000 sasa mungu akupe nini wekeza nyanda za juu kusini utatusua
Sasa

Employed people Mshahara mpaka mwisho wa mwezi na hautoshi kitu kutokana na mfumoko wa bei
 
Ndio maana niko shamban hapa!! Usione naandika jf...jua nimempa mwenzangu pump apige dawa..nangoja achoke nimpokee!! Tunakomaa ..mwanaume anakula kwa jasho sio kwa kuwa mnafiki ili upate cheo!!!

Hata nchi iwe na uchumi mgumu kama nondo...lazima watu wale!!

Kilimo kwanza viwanda baadae
b602fa5ca483fc82161906be131ab99e.jpg
c56ea41f5b671d2bb96b69b35a637720.jpg
 
Habari Tanzania nimefanya short research nimeangalia watumishi wa umma na binafsi ukilinganisha na wakulima na wanunuzi or madalali wanahela hawa yaniii wanaowekeza kwenye kilimo embu twende sawa

Gunia la maindi tafadhalini
 
Unalima.wapi na unalima.nini
 
Habari wanandugu kwa sasa nawashauri kama huna fedha na muda wekeza kwenye kilimo cha

kaawa mbinga moshi au morogoro kilo 9000 mpaka sasa ninavozungumza
Cha
pili maindi gunia sasa ni 100,00 Mbeya iyo na nyanda za juu kusini ndo wakulima wakubwa arusha na mikoa mingine ya kaskazini unazan sh ngapiau nunua safirisha cha tatu

Ndizi mkungu mdogo shambani sh 12 wakati halo awali sh 2 au elfu 3
Naona muda wa MTU anaepiga kilimo hiki ndo kipind chake cha kuwa alipokuwa anapadream
Nakuwekeza sio kulima tuu ata ukitaka nunua safirisha it paid also
Mkuu Kaawa ni nini?
 
Ndio maana niko shamban hapa!! Usione naandika jf...jua nimempa mwenzangu pump apige dawa..nangoja achoke nimpokee!! Tunakomaa ..mwanaume anakula kwa jasho sio kwa kuwa mnafiki ili upate cheo!!!

Hata nchi iwe na uchumi mgumu kama nondo...lazima watu wale!!

Kilimo kwanza viwanda baadae
b602fa5ca483fc82161906be131ab99e.jpg
c56ea41f5b671d2bb96b69b35a637720.jpg
Blaza ulikuwa unapiga solo ukaamua pumzisha mabega sio.
Safi sana, next week nina icho kibarua.
Kazi tu
 
Ndio maana niko shamban hapa!! Usione naandika jf...jua nimempa mwenzangu pump apige dawa..nangoja achoke nimpokee!! Tunakomaa ..mwanaume anakula kwa jasho sio kwa kuwa mnafiki ili upate cheo!!!

Hata nchi iwe na uchumi mgumu kama nondo...lazima watu wale!!

Kilimo kwanza viwanda baadae
b602fa5ca483fc82161906be131ab99e.jpg
c56ea41f5b671d2bb96b69b35a637720.jpg
Mboga gani hiyo
 
Habari Tanzania nimefanya short research nimeangalia watumishi wa umma na binafsi ukilinganisha na wakulima na wanunuzi or madalali wanahela hawa yaniii wanaowekeza kwenye kilimo embu twende sawa
kwa sasa biashara inayolipa ni kilimo au udalali wa mazao yafuatayo
1- kaawa kilo now ni sh 9000 Mbeya hiyo ni kaawa iliyokobolewa ukitaka wekeza kwenye kilimo hiki ni njombe iringa na mbinga

2- ndizi mkungu sh 10,000 ambao halo awali ulikua sh 2000 au 3000 wekeza kilimo iki mikoa ya Mbeya na morogoro arusha

3 gunia ya debe sita huko Mbeya ni 80,000 arusha 150,000 sasa mungu akupe nini wekeza nyanda za juu kusini utatusua
Sasa
Employed people Mshahara mpaka mwisho wa mwezi na hautoshi kitu kutokana na mfumoko wa bei
naomba utuwekee na changamoto zake mkuu
 
Ndio maana niko shamban hapa!! Usione naandika jf...jua nimempa mwenzangu pump apige dawa..nangoja achoke nimpokee!! Tunakomaa ..mwanaume anakula kwa jasho sio kwa kuwa mnafiki ili upate cheo!!!

Hata nchi iwe na uchumi mgumu kama nondo...lazima watu wale!!

Kilimo kwanza viwanda baadae
b602fa5ca483fc82161906be131ab99e.jpg
c56ea41f5b671d2bb96b69b35a637720.jpg
safi sana mkuu, very interesting.

viwanda baadae hahahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom