Kuna faida gani ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa?

glass amo

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,568
4,192
Salaaam.

Wakuu mi naona hakuna haja ya kufanya tendo la ndoa kabla hujaoa/kuolewa.

Unakuta mtu yupo na girlfriend au boyfriend wake kwa muda na kwa lengo la kuja kuona ajabu asilimia75% wanashiriki ngono kabla ya kiapo cha ndoa.

Kwa mtazamo wangu huko n kushusha thaman ya neno harusi au ndoa yenyew Kwan watu mnakua tayar mshajuana.

Pia ndio sabab ndoa nying hazidumu maanaa manawahi kuchokana. Mapema.

Hi sio sawa. Naona ina faida hasi nyingi kuliko chanya. Maana ndio sabab hata bikra zenyewe kuzipata kwa wanawake imekua n ngumu sana nyakat za leo.

Kama kuna mtu anazijua faida aje aweke hapa tuzione
Ahsante
 
Back
Top Bottom