faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kuna faida yeyote ya kusoma mpaka PhD ikiwa una 'gentleman' GPA?

    Habari wa kuu, kama swali lilivo ningependa kujua kama mtu ana GPA za lower divisions , kisha anakazana kusoma Masters mpaka PhD, kuna opportunities gani atapata maana tumezoea hayo kwa academicians...
  2. B

    Nina Mil 30, nifanye biashara gani kurudisha pesa na kupata faida ndani ya mwezi?

    Wadau, salaaam? Nina 30m, nataka kuingiza katika biashara ambayo itanirudishia hiyo pesa ndani ya mwezi na kunipata faida juu. Ushauri pls..
  3. SoC01 Faida atakayopata kijana baada ya kuoa

    Pamoja na uwepo wa utitiri wa ndoa sasa lakini bado katika ulimwengu wa sasa kuna vijana wanaogopa kuoa. Kwanza kijana acha uoga kila kijana akiamua anaweza kuoa na kumudu familia hata kama ana kipato kidogo tu. Nina miaka miwili ndani ya ndoa na hizi ni faida nilizopata. MATUMIZI BORA YA...
  4. Hata Manara angekuwa balozi wa Mohammed Enterprises, Mo asingepata faida

    Sina nia mbaya na brand ya Mo ila najaribu kusema tu hata Manara angekuwa anatangaza biashara za huyu Mdosi bado hali ingekuwa mbaya tu sababu tatizo sio ubalozi bali ni ubunifu. Azam ni mbunifu sana ameajiri wataalamu na washauri wa biashara kitu ambacho Mo hana. Mo anatembelea nyota ya azam...
  5. Magoli ya kujifunga ya Manara na Mo: Wakati Manara akiongoza kwa faida ya Goli la ugenini, what is next?

    Manara kwa kusambaza clip aliyokuwa akimshutumu Babra, alijifunga own goal na kuondoka Simba Sc wanamichezo na mashabiki walimlaumu na wengine walisema ni tabia yake mbovu. Hajji akaanza mikakati ya kushambulia na kusawazisha goli kuanzia na ile press yake japo hata hiyo press bado alionekana...
  6. Ni Nini Faida ya Nchi Kutangazwa Kimataifa?

    Habari Yenu wakuu Kuuliza sio ujinga licha yakuwa maswali yakijinga pia yapo. Sitaki kuwa mjuaji katika hili nataka kuwa "open minded" . Tunaposema kuwa nchi kutangazwa kimataifa, faida zake uwa ni zipi. Tumekuwa na watu/taasis mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti ambao wamekua...
  7. N

    Faida na Afya

    Hali iliofikia sasa watu wanajali biashara kuliko afya. Embu chukua mfano wa biashara za ufugaji kuku wa mayai.. je mayai tunayokula ni salama? Japo faida yake kubwa. Najiulizaga sana: hivi watu wanapaita faida au hasara? Yani pesa au mgonjwa kipi kinatawala????🤔
  8. J

    SoC01 Umuhimu wa mazoezi na faida zake kwa watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni. (a)Kabla ya Kuzaliwa. (b) Wakati wa kuzaliwa. (c) Baada ya kuzaliwa. (A)...
  9. J

    SoC01 Saikolojia ya kujiamini na faida zake kwa binadamu

    Kila mwanadamu ana nafsi (self) ya kipekee ambayo inahitaji mazingira chanya na msukumo wa ndani (internal will) ili kukuwa. Wengi wetu hatuthamini msukumo wa ndani kwenye ukuaji wa nafsi zetu bali tunathamini sana mazingira yetu kama kichocheo namba moja cha ukuwaji wa nafsi zetu. Kwa mtizamo...
  10. Naomba kufahamu kazi ya Shanga na Cheni za kiunoni

    Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU.. Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..
  11. Mbowe inabidi aache siasa rasmi sababu hapati faida yoyote

    Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye. Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao? Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa...
  12. Ni ipi faida ya Bima ya vyombo vya moto?

    Habari wana zengo natumai wote ni wazima wa afya tele. Mm naomba kufahamishwa faida ya bima ya vyombo vya moto hasa hii bima ndogo ambayo ni lazima kila chombo cha moto uwe nacho, mm naomba kujua nn faida ya huyu mmili wa chombo kama piki piki, bajaji na gali anapata faida gani akiwa nayo?
  13. Kuna haja gani kumtazama marehemu ikiwa tunamfahamu na tumeishi naye miaka mingi kabla ya kifo?

    Kuna faida gani labda ya Kimantiki Watu Kulazimisha (Kung'ang'ania) Kumuangalia Marehemu akiwa 'Jenezani' tena ameshalala Usingizi wake wa Milele na kwamba hata ukipita Kumuaga kwa kumsogelea au kumgusa na kulia kila aina ya kilio wala hawezi kukujua sana sana utakuwa ni kama vile unapaka tu...
  14. Tunatamani ugaidi au tunatengeneza propaganda? Kwa faida ya nani?

    Kitendo cha kumkamata Mbowe na kumtuhumu kuwa ni gaidi tunajaribu kutengeneza dhana mbaya sana mioyoni mwa watanzania masikini wapenda amani. Tanzania miaka yote haijawahi kufikia hatua hii Wala kuwa na kikundi cha watu wenye kuwaza kuwa magaidi. Sana sana tulichoshuhudia ni utekaji...
  15. Tetesi: Ni nini faida za CWT Kwa wanachama wake ambao ni walimu

    Kama Uzi unavyojieleza. Chama Cha walimu Tanzania (CWT), kimeanzishwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Ninaomba wanachama wa CWT waeleze faida za CWT Kwa wanachama wao ambao ni walimu Pili ninaomba kujua asilimia 2% inayokatwa kutoka Kwa mwalimu ambaye ni mwanachama zinamfaidisha nini mwalimu...
  16. Vodacom imetutangazia hasara vipi kuhusu faida na fedha za CSR?

    Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala. Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia shule,zahanati ,au kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za Corporate Social Responsibility kutoka...
  17. SoC01 Njia ya upatikanaji wa fedha kupitia mzunguko wa fedha nchini

    Mzunguko wa fedha ni kiwango cha fedha ambacho kipo katika jamii kupitia matumizi mbalimbali ya serikali. Mzunguko wa fedha hutokana na sera mbalimbali ambazo ni zimewekwa na Bank kuu katika kuruhusu kiwango cha mzunguko wa fedha KWA NAMNA GANI MZUNGUKO WA FEDHA UNAWEZA KUWA MDOGO Mzunguko wa...
  18. M

    Pata faida kwa kufanya biashara ya Maziwa mtindi

    ONGEZA KIPATO ZAIDI KWA KUSINDIKA NA KUFANYA BIASHARA YA MAZIWA MTINDI. Watu wengi wamegubikwa na kutofahamu kiundani hasa kuhusu utengenezaji na ufanyaji biashara ya Maziwa mtindi na kushindwa kutumia fursa hii adhimu inayoweza kuongeza kipato zaidi katika maisha. Maziwa ni malighafi ambayo...
  19. Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

    Habari wakuu, Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya...
  20. Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha. Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri. Njoni mie mie nimeanzisha tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…