FAIDA 21 YA MAZIWA NA KARAFUU
Kikombe cha maziwa iliochanganywa na kijiko kimoja cha chai cha karafuu iliosagwa husaidia:-
1) Utasa au Ugumba
2)Udhaifu wa tendo la jimai
3)Udhaaifu wa moyo,tumbo,maini na figo
4)Udhaifu wa utenda kazi wa moyo na viungo
5)Maumivu ya viungo vya mwili(joint pain)...