faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pombe: Ukweli Kuhusu Faida na Hatari Zake

    KWANINI WATU WANAKUNYWA POMBE? JE POMBE INA FAIDA NI HATARI KWA AFYA? Pombe (ethanol) ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi duniani, lakini ndani ya mwili wako hufanya kazi kama kemikali yenye nguvu inayobadilisha namna ubongo na mwili vinavyofanya kazi. Hii ndiyo sababu mtu akinywa hubadilika...
  2. JamiiForums Tanzania Faida za kutumia bawasiri powder na bawasiri flud

    NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER ⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids). FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA...
  3. JamiiForums Tanzania Yote kuhusu D.S.E: Kampuni zilizotengeneza faida kubwa 2020-2024

    Moja ya kipengele muhimu cha kuangalia kabla ya kununua Hisa za kampuni flani,ni Mapato ya kampuni. Kampuni inaweza ikawa ina thamani kubwa labda kutokana na muhemko wa soko katika hiko kipindi lakini unapokuja kwenye biashara,ni kampuni nyengine ndiyo inayoongoza kwa kuzalisha mapato makubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua faida za ibada za asili/ matambiko

    Habari za Ijumaa wana JF. Mimi leo nimeona nije na hii mada tajwa nahitaji kujifunza mambo ya asili hasa matambiko faida zake pamoja hasara zake kama zikiwepo. Na vitu gani vinatakiwa katika kukamilisha zoezi hilo la kutambika. NB: Mimi asili yangu mkurya itapendeza sana kurya iwe case study...
  5. JamiiForums Tanzania Wasomi Wataja Faida za Mradi Mkubwa wa Mafuta Tanga

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi ◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40. ◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini Tanga ipo kimkakati. ◇Ipo ya miundombinu ya EACOP, Jografia, soko Kusini mwa Afrika
  6. JamiiForums Tanzania Faida za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni zipi?

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi? Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
  7. JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazo langu kwa hawa wazazi wenzangu linaweza kuwa na faida?

    Kutokana na harakati za maisha za hapa na pale, nimejikuta nimezaa na wanawake mbali mbali nje ya ndoa; na kabla ya wao kuingia kwenye mahusiano walijua kabisa mimi namilikiwa na mrs Equation x. Ila kwa kutaka kupata chata tu ya equation x iliwalazimu wao wenyewe, kwa mida yao kujibebea mimba...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuwa tajiri?

    Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Nikitazama maisha wanayoishi matajiri nikalinganisha na maisha wanayoishi maskini, nashindwa kuona tofauti ya kimsingi iliyopo kati yao. Fikiria matajiri kama Dangote, MO29 au Bakhressa wanamiliki utajiri uliotapakaa nchi nzima na baadhi...
  11. JamiiForums Tanzania Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini. Hizi...
  12. JamiiForums Tanzania Faida za Asali Mbichi isiyochakatwa

    Haina uchakataji mwingi: Asali mbichi haijapashwa joto kali, hivyo huhifadhi virutubisho vyote vya asili. Ina enzymes hai: Ina vimeng’enya vinavyosaidia mmeng’enyo wa chakula na afya ya mwili. Ina bakteria wazuri (probiotics kwa kiasi): Husaidia usawa wa bakteria kwenye mfumo wa chakula. Ina...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaozuia mtandao mpaka sasa wamepata faida gani?

    Tangu mwaka jana jukwaa hili lilizuiwa kwa muda wa siku 90 na TCRA. Tulipitia wakati mgumu sana kwa sababu hili jukwaa lina manufaa mengi sana hasa kwa ustawi wa taifa letu. Ni kupitia jukwaa hili ambapo wananchi huwasilisha kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili. Ni kupitia jukwaa hili...
  14. JamiiForums Tanzania “Nimeweka vocha ya 10,000 lakini salio limekuwa 10,000 tu… kampuni wanapata faida wapi?

    Nimekuwa nikijiuliza sana. Nikiweka vocha ya 10,000 napata 10,000 exactly. Sasa hawa makampuni ya simu wanapataje faida kama wanarudisha hela ile ile? Au kuna kitu sielewi hapa? Naomba nieleweshe kwa lugha rahisi maana kichwa changu kimegoma kabisa 😅
  15. JamiiForums Tanzania Faida anazopata anayewasaidia masikini wanyonge(WAHITAJI) wagonjwa, yatima, wafungwa n.k

    Yakobo 1:27 Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu. Methali 19:17 BHN Anayemsaidia maskini anamkopesha Mwenyezi-Mungu; Mwenyezi-Mungu atamlipa kwa tendo lake jema. Zaburi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Skybooks : Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Sahau kuhusu kalamu na daftari

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa urahisi kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna faida nyingi kiuchumi kwa mwanaume kuchepuka

    Naungana na ndugu yangu Equation x .Mwanaume kuchepuka kuna faida nyingi sana kiuchumi. Embu fikiria leo hii wanaume kwa umoja tukakubaliana hakuna kuchepuka kila mmoja atulie na mpenzi/mke wake, nini kitatokea. - Wanawake wengi sana watashindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu - Wanawake...
  18. JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kina faida na hasara zake. Je, kuna faida gani za kuwa masikini?

    Kama kila kitu kina faida na hasara zake je, kuna faida gani za kuwa maskini?
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuna nchi inazidi China kwa miundombinu ya kuvutia?

    Hivi duniani kuna nchi ina mind-blowing infrastructure kushinda China Barabara na highways Reli (railway systems) Viwanja vya ndege (airports) BRT system Train stations Bandari (ports & harbours) Nishati (energy infrastructure) Maji na usafi (water & sanitation) Mawasiliano...
  20. JamiiForums Tanzania Je kuna faida kujifunza Kichina?

    Hivi kuna faida ya kujifunza Kichina? Maana naona sikuhizi kuna translators kibao kwenye devices zetu, kuna AI zinasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha mawasiliano mpaka kuna muda najiuliza kama kujifunza Kichina ni worth it anymore Je kuna faida gani ya kujifunza kichina, 2026? Au hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…