facebook

  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya META inayomiliki WhatsApp, Facebook, Instagram, Threads, Messenger, inashirikiana na mamlaka za Serikali kukamata wahalifu

    Si salama kufanya uhalifu wa njia ya mitandao ya Kijamii kwasababu Kampuni ya META inashirikiana na Serikali zote duniani kukatama wahalifu wa njia ya mitandao ya kijamii Mara kadhaa Kampuni hii imekuwa ikisaidia Mamlaka kukamata wahalifu wanaotumia njia ya mitandao ya Kijamii Ikiwa mamlaka...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ma-IT wa kibongo wazindue whatsapp na facebook za kibongo

    Habari zenu wakuu NImefuatilia utendaji wa facebook hasa kwa wajasiriamali na mwinga ukisponsor ads ,hupati traffic na leads za kutosha kama miaka nilipoanza kusponsor mwka 2016 hadi 2020. Pia naona hata whatsapp business wanlimit mnoo idadi ya wateja kuwasiliana nao. unakuta ukifoward wateja...
  3. JamiiForums Tanzania Facebook wameniita " Superstar",wameniita " Megastar"

    Facebook wamesema posting zangu zinatazamwa sana. To give you an example, video post moja yangu ilipata 300K+ views. I think it was 365K. Kwa hiyo nimeshangaa kuiona hili posting sasa hivi,post ya Jamii Forums October 1 ,2025, posting ya Ezoo ambayo inasema nina matatizo ya akili. Kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania TCRA mnaugomvi gani na Civilian-Coin kwa ku block pages zake za FaceBook.

    Mara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na pages zake: ANS, TVO, Celebrity, Advertisement, Marketing and Promotion, C-C Digital Pro, C-C Daily...
  5. JamiiForums Tanzania Wadau hivi deni LA taifa lina effects kweny uchumi WA mtu binafsi kama huyu mdau alivyoeleza Facebook kwenye hiyo comment yake baada ya Prof Tibaijuka

  6. JamiiForums Tanzania Instagram na Facebook zipo chini, watumiaji walalamika kushindwa kupost content zao

    Wakuu, Kama unahangaika kupost video/picha katika mtandao wa Instagram na ndugu yake Facebook usije ukatupa simu yako ukadhani imekuwa kimeo. Watumiaji wa mitandao hiyo katika maeneo mbalimbali duniani wameripoti kupata changamoto wakijaribu kupost maudhui yao au hata kuweka comment kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Meta kuanzisha Huduma za Kulipia (Subscriptions) Kwenye Instagram, Facebook, na WhatsApp, Mipango ya AI Yaja

    Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions) Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji wa kawaida duniani kote kwenye programu zake kuu za Instagram, Facebook, na WhatsApp. Pia, imeanza...
  8. JamiiForums Tanzania The Cost of Digital Blackouts: Gabon Orders Indefinite Suspension of Facebook and TikTok Amid Security Concerns

    Gabon’s High Authority for Communication (HAC), the country’s media and telecommunications regulator, announced an open-ended suspension of dominant social media platforms to curb what it termed “conflict-inducing excesses.” Facebook and TikTok were no longer available in Gabon on Wednesday...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, huduma ya uwezeshaji kwa njia ya mikopo inatolewa kwa kurasa hizi za Facebook?

  10. JamiiForums Tanzania Kuna Group FB linaitwa “Mabaharia Sailors SA” la Watanzania waliopo South. Aisee, kila siku matangazo ya mwili unarudishwa Tanzania

    Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma. Katika kusoma soma nilikutana na admin wao anaitwa MohamediT Msangi, aisee jamaa kila siku anatangaza Mtanzania...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Marekani inaipenda Facebook kwasababu ni yao China wanaipenda TikTok lakini Tz hawaipendi sana JamiiForums

    ilibidi wa Tz waithamini zaidi Jf
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza Facebook Ads hatua kwa hatua

    Leo Meta hutumia zaidi jina Business Portfolio ndani ya Meta Business Suite, ingawa watu wengi bado husema Facebook Business Manager. Hicho ndicho kitu cha kwanza unachohitaji ili kusimamia Page, ad account, watu wa timu na matangazo yako sehemu moja. Hatua ya 1: Fungua Facebook Business...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL Corporation, Kum-block mteja Facebook kwa kuuliza swali si sawa

    Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi. Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi. Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaotumia Facebook mna akili timamu kweli?

    Ukichunguza kwa makini bila mihemko utagundua Facebook ni kwa ajili ya watu wajinga na washamba na wavivu wa kufikiri. Mambo yanayoendelea Facebook, aina za post, comments na akili za wachangiaji daah! Itoshe tu kusema ujinga ni mwingi sana Facebook kmmmk. Inashangaza kuona bado watu...
  15. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa jinsi ya Kufanya ili Uweze kulipwa na Facebook kila Unapo Post Content Zako

    Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa. Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna UVCCM kule Facebook: Amehoji kwanini Serikali ya Tanganyika iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi

    Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea. Ngoja nimwambie: - Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
  17. JamiiForums Tanzania Aliewahi kumuona Mwambukusi wa TLS akiwa frontline kwa jambo lolote lile anijuze, Tofauti na kule Facebook na X

    Kuna siku nilimuuliza akanipiha Block, Mwambukusi ana bweka tu kwenye socia media ila hutakaa umuone Mahakamani au kokote kule, Maraisi wemgine wa TLS walio tangulia tulikiwa tunawaona Mahakani pia, ila MWambukusi ni tofauti anaongea sana mnoa ila mulete kwemye vitendo. Wakili kama Kibatala ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

    Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k. Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
  19. JamiiForums Tanzania Facebook imepata shambulio la kimtandao?

    Kwa miezi hii mitatu imetumika kwa ukubwa wake kuunganisha sauti za wanaharakati na wapenda mabadiliko Tanganyika Ile FB iliyokuwa inadharauriwa na wasiojitambua ikawa mojawapo ya sehemu muhimu na ya uhakika ya kupata taarifa mbalimbali na updates pia Leo tangu mchana haifunguki tena! Kumbuka...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwijaku amefuta post zote za Samia na CCM Instagram yake

    The national disgrace kubwajinga Mwijaku kafuta posti zote za mama na CCM kwenye ukurasa wake wa Facebook na Instagram
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…