Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,878
- 29,392
Kutoka chanzo cha Facebook;-
👉YA NCHIMBI IPO HIVI
- Nimetrace data kuanzia Q692-92 na Zile za Ts629/002/7722/003 za mwezi wa 4 na 8 zote zinaonesha kwanza kabisa !
👉Mifumo wake wa simu ilikuwa traced , na kosa zaidi alikuwa anawasiliana na x , na y, na z wa Chadema sasa mchezo upo hivi Nchimbi hakuwa pekee yake traced alikuwa wanaunganisha simu za watoto wake, wake zake, ndugu zake, jamaa zake, hadi ikafika mahali ndugu yake nchimbi kuandika barua ya malalamiko kuwa anadukuliwa kila mara, usiku na mchana!
👉Game inarudi nyuma kwamba Nchimbi alipata wasaa wa kuwasiliana na chombo cha Haki za binadamu ambacho hiki ni kapuni yani kinaitwa ******** sasa chombo hiki kilimhoji Nchimbi swala la mauwaji ya M29, unajua alichokifanya ?
👉Well Ni kubaya,
Alifunguka yote kuanzia aliyetoa amri, waliotumika kufanya mauwaji, waliohusika na kila kitu kusema yupo tayari kuwa shahidi kwenye mahakama ya ***** ambayo ni ya kimataifa.
So,
Haya yanaendelea kuna mtu wake wa karibu akamzunguka Nchimbi na kuvujisha sakata hilo - Na kuonekana ameenda kumchomea Samia moto kitu kama hiki kinakafanya moto kuwaka ndani na kufanya Nchimbi kuitwa na kamati zaidi ya mara 4 na zote akazipotezea what, Next
👉Nchimbi kama hatakufa ni bahati sana,
Na akiwa hai hadi 2030 ni Neema sana ila list ya watakao patwa na hatari zaidi ya kifo ni pamoja na hawa X, Y na Z wa Chadema ni sharti wafe kwa sababu ya ile communication ya Nchimbi na ndio maana hutakuta wamemwongelea sababu - Aliwapa tafadhali kuwa watafatwa baada ya yeye wakikamilisha.
👉Mizimu inasemaje ; Nchi ipo pabaya shida dawa zilizofanyika kufunga akili za watanzania huwezi kuona watu wanakasirika au kufanya maamzi mazito sababu uchawi nawambiaga unafanya kazi mnapuuza kama kweli maombi yangesaidia now umefanyika uchawi wa kufunga kila akili ya Mtanzania mnajua hilo ??
👉Ndio maana nchi ipo pabaya wengi wapo na Simbaz, Yangoz, na wengine 30 ya mziki wa mtamalizia wenyewe!
Follow👉Kigogo Kigogo