Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Simu inayomilikiwa na serikali nchini Ethiopia, Mei 9 ilizindua huduma ya simu za mkononi ya 5G na kuifanya nchi hiyobkuwa miongoni mwa nchi chache zenye huduma hiyo barani Afrika, ikiwa ni pamoja na Kenya katika Afrika Mashariki,
Mkurugenzi Mtendaji wa Ethio...