epuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makosa 8 ya Ujenzi yanayoongeza gharama epuka kabla haujajuta

    ⚠️ MAKOSA 8 YA UJENZI YANAYOONGEZA GHARAMA — EPUKA KABLA HAUJAJUTA! (Elimu ya Ujenzi wa Kitaalamu) 🏗️ Unapopanga kujenga nyumba — epuka maamuzi ya haraka. Makosa madogo ya awali yanaweza kusababisha hasara kubwa ya mamilioni baadaye — na wakati mwingine kulazimika kubomoa na kuanza upya. Haya ni...
  2. JamiiForums Tanzania Epuka salamu ya kupeana / kushikana mikono, Avoid unnecessary hand shaking

    1.KIROHO spiritually nimeshuhudia ndugu mmoja(jina DINA) aliyekuwa mzima wa afya akiendelea na majukumu yake alianza kuugua ghafla na hatimaye kufariki siku hiyohiyo muda mchache akiwa hospitali alipopelekwa kwa matibabu,hali ya uginjwa wake ilimuanza ghafla mara tu baada ya kutoka kupeana...
  3. JamiiForums Tanzania Ku-file kupitia mfumo mpya wa iDRAS vipengele vimekuwa vingi

    Wakuu salaam. Naomba nichangie jambo ambalo naamini wengi wetu wafanyabiashara na wahasibu tunapitia kwa sasa - ku-file returns kupitia mfumo mpya wa iDRAS wa Tanzania Revenue Authority. Zamani mambo yalikuwa relatively straightforward. Unaingia, una-file, unamaliza. Lakini sasa mchakato...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati wa Kujitafuta, Epuka Sana Maneno Yanayokupa Faraja

    Kuna kipindi maishani ambacho hakihitaji kubembelezwa wala kulainishwa. Ni kipindi ambacho mtu anakuwa katikati ya mapambano ya kujenga maisha yake upya. Hapa bado hujafika, bado hujaonekana, bado huna matokeo yanayoleta pongezi. Upo kwenye hatua ya kujitafuta - na hii ni vita halisi. Vita ya...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EPUKA KUWA WA MTUMWA WA HISIA ZAKO KWENYE MAPENZI..JTATU NJEMA

    EPUKA KUWA MTUMWA WA HISIA ZAKO MWENYEWE📌📌 Watu wengi leo wana ongozwa na hisia kuliko akili. Ukikasirika unafanya maamuzi ya haraka, ukiumizwa una jihukumu, ukifurahi unatoa ahadi usizo weza kutimiza. Mwisho wa siku unajikuta umeharibu mahusiano, kazi, au heshima yako mwenyewe. Kumbuka hili👇...
  6. JamiiForums Tanzania Skybooks Software : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Epuka kupost Taarifa zako binafsi kuepuka Utapeli Mtandaoni

    Ili kujilinda na ukatili na utapeli mtandaoni, ni muhimu kuwa makini na aina ya taarifa unazoshirikisha (share) mtandaoni. Epuka kutoa taarifa binafsi kama namba binafsi za simu, anwani za makazi au picha nyeti. Taarifa hizi zinaweza kutumiwa vibaya na kusababisha ukatili kama vitisho...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

    Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa.. Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa.. Jambo la kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania DPP epuka kushitaki ovyo kesi za Uhaini na Ugaidi Kisiasa, Waharifu wanaweza kutumia mwanya huo kuyatenda kweli

    DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
  10. JamiiForums Tanzania Epuka haya kipindi hiki

    Poleni kwa misiba, Hopefully mko njema kabisa nilipost humu uzi siku kabla ya maandamano uzi ulikuw wazi sana kuhusu mbinu za maandamano nikasema watatumia human shield kama mbinu yao ya kuzibiti maandamano uzi ukafutwa ila mambo niliyozungumza yote yalifanyika. Enewi twende na muda...
  11. JamiiForums Tanzania Uwe raia mwema au mtu wa madili, Epuka mazoea na askari

    Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka kuombwa simu na mwanafunzi usiyemjua

    Nilikuwa napitia uzi huu twitter (X). Kwamba mwanafunzi usiyemjua akiomba simu ukampa, unahatarisha kuoza jela miaka 30. Wanaume tuwe makini aisee. #NimejifunzaKitu
  13. JamiiForums Tanzania Epuka muhuri wa shetani

    JE! UNAJUA JAMBO GANI LITAMPATA MTU YULE, ALIYESIKIA UKWELI HALAFU HATAKI KUBADILIKA? Biblia inaeleza wazi kabisa kulingana na maandiko hayo hapo juu, Mtumwa yule aliyetangaziwa uhuru wake baada ya kutumika miaka 6 akakataa (Yaani akaona ni vyema kuendelea katika utumwa wake.). Jambo linalotokea...
  14. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Epuka kutumia simu ukiwa Barabarani

    Wasalaam, Wajumbe bila shaka mpo salama. Ni muda mrefu sijaandika chochote hapa kijiweni. Leo nataka kurudia tu kile ambacho mara nyingi kimekuwa kikisisitizwa juu ya matumizi ya simu kwa madereva wakiwa wanaendesha. Vijana wengi sasa wanamiliki magari kwa kuwa imekuwa nafuu kumiliki gari...
  15. JamiiForums Tanzania Epuka Dialysis

    Wakati Figo zimeshindwa kufanya kazi yake. Dayalisisi ni njia ya bandia ya kutoa uchafu na maji yasiyohitajika mwilini. Njia bora ya kuokoa maisha kwa watu ambao Figo zao zimedhoofika kabisa. Kazi ya Dayalisisi kwa magonjwa wa figo:- -kusafisha damu kwa kutoa uchafu kama kreatinini na yulea...
  16. JamiiForums Tanzania Epuka Pombe na Sigara

    1. POMBE Madhara 👉maradhi ya moyo 👉 Saratani(Cancer) 👉 Afya ya akili 👉 Inapunguza kuaminika 👉 Upungufu wa nguvu za. kiume 👉 Hatari kwa mama mja...
  17. JamiiForums Tanzania Mpopoma - Mti Usiokuwa na Kazi. Epuka Kuwa (M)Popoma!

    MPOPOMA - Mti usio na kazi Wazaramo walipoona haufai kwa mbao, mkaa wala kwa kuni, wakaususa na kuuita mti usio na maana. Popote ulipomea, haukuguswa wala kushambuliwa na wavunaji wa miti, kwa sababu hauna kazi. Na matokeo yake, umekuwa miongoni mwa miti mirefu hifadhini Pugu Kazimzumbwi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

    Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari. Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani. Zaburi 1: 1-2 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…