enzi

Michael Bradley Enzi ( EN-zee; born February 1, 1944) is an American politician and accountant who served as a United States Senator from Wyoming from 1997 until 2021. He is a member of the Republican Party.
Raised in Thermopolis, Wyoming, Enzi attended George Washington University and the University of Denver. He expanded his father's shoe store business in Gillette, Wyoming before being elected the city's mayor in 1974. In the late 1970s, he worked for the United States Department of the Interior. He served as a state legislator in both the Wyoming House of Representatives (1987–1991) and Wyoming Senate (1991–1997). During the 1980s and 1990s, he worked as an accountant and executive director in the energy industry.
Enzi was elected to the U.S. Senate in 1996 with 54% of the vote and reelected in 2002 with 73% of the vote, in 2008 with 75% of the vote, and in 2014 with 71% of the vote. During his tenure, he was consistently ranked one of the Senate's most conservative members. He was a member of the 2009 Gang of Six that attempted to negotiate health care reform. From 2015 until his retirement from the Senate, he chaired the Senate Budget Committee, during the 114th, 115th, and 116th Congresses.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: CCM makapuku hamna tofauti na House Negro as opposed to Field Negro enzi za utumwa huko Marekani

    Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa makombo wakati wao wanajenga Dubai. Msikilize Heche
  2. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Unamuheshimu mtu vizuri alafu unakuta kajiposti enzi za mwaka 80's na koti linalotrend kwa AI

    Kumekuwa na trend ambayo inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii watu wakipost picha zao walizo edit kwa Akili bandia (AI) zikiwaonyesha wakiwa miaka ya 80's . Shida haijaanza leo, bali imeibuka pale unapomchukulia mtu kwa heshima zote kama mtu wa busara au kaka wa mfano, kisha ghafla...
  4. JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo alikuwa wapi enzi za Magufuli?

    Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilimsibu Idugunde na kuacha kuishabikia CCM kama enzi zile?

    Huyu jamaa alikuwa shabiki mkubwa wa CCM na alikuwa akiwatetea sana hapa jukwaaani Nini kilimsibu huyu jamaa maana mpaka sasa amegeuka kuwa shabiki kindakindaki wa Chadema na Lissu.
  6. JamiiForums Tanzania Enzi za jiwe, tuliogopa kuchunguza vyeti "FEKI" kwenye majeshi yetu, kuofia kutengeneza majambazi mtaani, Nina wasi wasi huyu shahidi na yule alie kuf

    Enzi za jiwe tuliogopa kuchunguza vyeti FEKI kwenye majeshi hasa jeshi la polisi, ILA Nina wasi wasi huyu shahidi Amini Mihamba kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu Kuna mmoja alikuwa anesoma na mwingine alifoji vyeti. Kwa kuwa wa kwanza aliushafariki, na kwa jinsi utetezi wa huyu aliyehai...
  7. JamiiForums Tanzania Jürgen Klopp anazungumzia ubabe wa Pep Guardiola na jinsi Mikel Arteta alivyomaliza enzi hiyo 👀🏆

    🚨| Jürgen Klopp anazungumzia ubabe wa Pep Guardiola na jinsi Mikel Arteta alivyomaliza enzi hiyo 👀🏆 🗣️ “Sote tunajua jinsi Pep alivyokuwa mtawala nchini Uingereza. Kwa miaka mingi alikuwa akidhibiti ligi na wakufunzi/makocha wengi hawakuweza kuendelea na kiwango kile.” Klopp kisha alitania...
  8. JamiiForums Tanzania Mafwele, soma historia ya Eugene de Kock, polisi katili wa enzi za ubaguzi Afrika Kusini

    Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki

    Habari, maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki. Ni taa ambazo zimewekwa tangia enzi za Magufuli..
  10. JamiiForums Tanzania Kina dada acheni kuwasumbua waganga kuwawezesha kuolewa wakati mlikuwa mnajibu hovyo enzi mkiwa kwenye ubora wenu

    Ninaandika kwa hasira kali sana. Unakuta umeenda zako kwa mganga unakutana na foleni kubwa ya kina dada wameenda kupata dawa za kupata waume wakati ndo haohao enzi wakiwa kwenye ubora walikuwa wakijibu kwa karaha waoaji waliojitokeza. Binafsi ni mhanga wa majibu na matendo ya kishenzi enzi...
  11. JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  12. JamiiForums Tanzania Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

    🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran: "Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea? Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako. Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana...
  13. JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo Enzi Za Ujana

    Hapa akiwa fratel
  14. JamiiForums Tanzania Mwisho wa enzi ya Lipumba ndani ya CUF

    Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Muembe Yanga Temeke Dar es Salaam Machi 11, 2012. ====== Waswahili wanasema “Mpanda ngazi hushuka” na “kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.” Hivyo ndivyo aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi, enzi za uhai wake Kadinali Pengo alieleza mwenye wajibu wa kumzika angependa azikwe Pugu

    Wakati w auhai wake Kadinali Polycap Pengo alieza kuwa anatamani azikwe Pugu, mana ndiyo maeneo aliyokuwa akipenda kwenda kupumzika
  16. JamiiForums Tanzania Enzi zangu nikiwa Fisimaji binti kama Lucy mkatoliki wala asingepata muda wa kurekodi mavitu ya ajabu na kufanya hizo Drama

    Mtakuwa mmesahau! 1. Enzi zetu hizo, sio Zama zenu hizi Gen Z za kukata mayeno na kujirekodi. Au mwanaume kuchambana na kusutana kama wanawake. 2. Enzi hizo Sisi tulikuwa tunaitwa MAFATAKI. Weee! Wewe. Ulizeni muambiwe. Nyie si mlikuwa watotom tena wengine mlikuwa hamjazaliwa. 3. Serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Nini kinachangia makampuni ya mabasi kufa, pindi waasisi wanapokufa au kuwaachia watoto?

    Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa. Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz, Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani. Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi awashangaa wanaosema kwa lugha nyepesi tusameheane baada ya mauaji ya Oktoba kama vile mtu amekanyaga tu kitumbua

    Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji makubwa hivi. Awashangaa watu wanaozungumza kwa lugha nyepesi tu kuwa tusameheane kama vile mtu...
  19. JamiiForums Tanzania MTV: Mwisho wa enzi

    Mtandao maarufu wa Muziki Duniani, MTV unajiandaa kufunga Chaneli zake za mwisho za kimataifa za video za muziki Desemba 31 mwaka huu hatua inayohitimisha rasmi enzi ya zaidi ya miaka 40 ya ushawishi mkubwa katika utamaduni wa vijana na tasnia ya burudani. MTV, iliyoanzishwa mwaka 1981, ilikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Watajeni wote waliotekwa au kuuawa Enzi Nyerere akiwa Rais

    Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa. Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…