enzi

Michael Bradley Enzi ( EN-zee; born February 1, 1944) is an American politician and accountant who served as a United States Senator from Wyoming from 1997 until 2021. He is a member of the Republican Party.
Raised in Thermopolis, Wyoming, Enzi attended George Washington University and the University of Denver. He expanded his father's shoe store business in Gillette, Wyoming before being elected the city's mayor in 1974. In the late 1970s, he worked for the United States Department of the Interior. He served as a state legislator in both the Wyoming House of Representatives (1987–1991) and Wyoming Senate (1991–1997). During the 1980s and 1990s, he worked as an accountant and executive director in the energy industry.
Enzi was elected to the U.S. Senate in 1996 with 54% of the vote and reelected in 2002 with 73% of the vote, in 2008 with 75% of the vote, and in 2014 with 71% of the vote. During his tenure, he was consistently ranked one of the Senate's most conservative members. He was a member of the 2009 Gang of Six that attempted to negotiate health care reform. From 2015 until his retirement from the Senate, he chaired the Senate Budget Committee, during the 114th, 115th, and 116th Congresses.

View More On Wikipedia.org
  1. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Filamu za Bongo za Enzi izo🤣🤣🤣

    Girlfriend Augua Siri Bosi Nsyuka Fungu La Kukosa Safari Chumba namba 77 Mzee wa Busara Johari Sikitiko Langu Misukosuko Dilema Sabrina Kaburi La Safia Joanita Bifu Dangerous Desire Shusha unazozikumbuka na wewe🤣🤣🤣
  2. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa enzi hizo mpo bado au yalishawafika? Tujuzane!

    Zamani wanaume wenye familia tulikuwa tunanunua vitu kwa jumla, mchele kilo 50, unga kilo 25, sukari kilo 25, mafuta ya kula lita 20, sabuni kiroba kizima, sabuni carton nzima, ges mtungi wa kilo 30, nk, nk na mambo yalikuwa shwari kabisa familia haina shida. Sasa jifanye unanunua vyote hivyo...
  3. Foffana

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini enzi za JKT?

    Habari zenu Wakuu Natumaini mnaendelea vyema kabisa.Leo nimeona tuweze kushare matukio au mambo ambayo tulikutana nayo tukiwa katika makambi ya JKT iwe kwa mujibu wa sheria au kujitolea Tukio ambalo sitolisahau ni kwenye kambi X tukiwa tunapiga kozi yetu na ikiwa tayari ishachanganya kilikuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania wakristo kupigania haki wameanza tangu enzi ya mkoloni mjerumani

    Historia ya taifa letu inatufundisha kuwa mapambano ya kudai haki yamekuwepo tangu enzi za ukoloni. Hasa kipindi cha utawala wa Wajerumani, jamii za Wakristo walionekana kuwa mstari wa mbele katika kupinga dhuluma na ukandamizaji. Wakiwa na misingi ya imani yao, waliamka na kusimama kidete...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nilifumaniwa kwenye geto la demu enzi hizo lakini mzee wa nyumba ile akasema nisipigwe na vijana wanisindikize hadi kwetu.

    Hii huwa inajirudia rudia sana kichwani kwanini mzee yule aliwakataza vijana wake wasinipige na akateua wawili wale wakubwa wanipeleke na wa hakikishe nimefika salama salimini bila kupigwa? Kipindi hicho genye ndo limeshika hatamu yaani huniambii kitu kuhusu mbususu mara kadhaa nilikuwa sili...
  6. T

    JamiiForums Tanzania TBT: Kwa Sisi wa Enzi hizo, je unamkumbuka Manyoto Ndimbo Manyoto?

    Huyu ndie refarii Wana Simba tulikuwa hatuna hamu nae kabisa kwenye dabi ya Kariakoo. Kila akichezesha dabi ilikuwa lazima Simba tulie. Kwa Manyoto Ndimbo, sijui Kayoko akasome, Manyoto alikuwa Moto!
  7. O

    JamiiForums Tanzania Yacht club na Capri cabana enzi hizo

    Enzi hizo zilikuwa moto sana , mbona sizisikii sikuhizi, wadautulumbushane miaka ya 2000 , kwenye hizi location za starehe
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali sana kama nchi. Enzi zile hata ndege moja ikinunuliwa basi nchi nzima inahamia uwanjani kuishangilia!! Duh

    Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu Mbona jk alikuwa anaajiri almost walimu na madaktari wote nchima lakini hatukusikia mayowe na mapambo Mbona samia anafanya mambo...
  9. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kama uliusikiliza huu wimbo enzi hizo, basi fanya uowe/uolewe/uzae haraka

    BURUDANI Leo nakuletea uzi wa burudani, lakini pia nakukumbusha kuwa kama uliusikiliza huu wimbo tangu siku ambayo wimbo ulitambulishwa sokoni basi fanya uowe/uolewe/uzae. Usilete visingizio kuwa unatafuta hela, huenda fungu la hela limekupita kushoto, hivyo usipitwe na fungu la uzao, utakufa...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mama Tabitha Siwale , waziri enzi za Mwalimu, afariki dunia!

    Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo. Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu. Mama Siwale ni kati ya mawaziri wanawake wachache waliotumikia nchi bila mawaa! Juzi ilikuwa Prof Sarungi, passing of times
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuwa Commando wa Simba enzi za Hassan Dalali.ukomandoo una raha yake

    Nikikumbuka kipindi hicho nikiwa comandoo wa Simba namiss mambo mengi,kesho nitawaletea mfululizo wa visa nilivyokutana navyo enzi hizo
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wimbo niliosikiliza enzi za free Satellite dish

    YESHUA - AVION BLACKMAN
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Beki wa Boli, Hamza enzi hizo akiwa kinda wa miaka 12 Mbeya City

    Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT. Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana. Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu Hamza
  14. nzalendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enzi za kupofoa

    Naam katika safari hukosi mwanamke hasa mweupe kiti cha kushoto kwa ajili ya service barabarani,,,manake nyama za oda mara kadhaa hugonganisha magari, Basi kutokana na hali ya tamaa nagharama za maisha kujikimu na kadhalika wa kadha mileage huwa haitoshi na kwa sababu unaendesha buyu basi akili...
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini enzi na enzi wanyama hawa wamekuwa wakihusishwa na allegedly kushirikishwa katika uchawi/ushirikina.

    FISI MAMBA (Maeneo ya Ukerewe) BUNDI NYOKA PAKA NYUKI PANYA Ni siri gani hio ya kiroho inayounganisha viumbe hawa katika utekelezaji wa uchawi au ni stori tu za vijiwe vya gahawa?
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wetu wa pwani hii aina ya ukataji viuno wa mabinti ilikuwepo tangu enzi au sasa imekuwa re-generated hadi kupitiliza?

    Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu. Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi inakuwa "18+". Sasa sijui ni mabinti wa siku hizi wameongeza manjonjo hadi kupitiliza au tangu...
  17. Jumong S

    JamiiForums Tanzania Enzi za JK JWTZ iliwachapa vikali M23

    Nilikua nachungulia pale Goma takribani wiki nzima. Nilipotembelea huko last year kwa mishe zangu, palikua pamekaa kimachale machale. Yaani unawaonea raia huruma mpk unatamani uuze hadi viatu uwaachie tu! Wacongo ni watu peace sana...wanatia huruma! Kipindi cha JK hawa watz walikinukisha balaa...
  18. Area 56

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais Mwinyi wamenikumbusha enzi ya awamu ya tano huku bara

    Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
  19. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

    Je Unaikumbuka Jamboforum? Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum.. Ama Kweli Tumetoka Mbali, asante sana Maxence Melo kwa kutufikisha kwenye Maudhui Bora na Hakika Tumetoka Mbali sana..
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
Back
Top Bottom